UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,885
Easy Come, Easy Go written by James hardley chessy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna soft copy ya hicho kitabu? Kama kipo nakiomba plzProfile of The Perfect Person is my current read, sijafika mwisho but this book is the Eishhh!!!!
Unlike books about how to get rich, this teaches you how to control your desires....
View attachment 428703
QUR AN
QUR-AN ni kitabu chenye sifa ambazo vitabu vingine vyote duniani havina.
ni ktabu kidogo chenye maandishi machache na chenye maana pana kuliko kitabu chochote ulimwenguni.
yeyote atakaye jifunza QUR-AN na akaifuata ataishi vizuri hapa duniani na kesho akhera
SIFA ZA QUR-AN
1. Ni kitabu peke ambacho hakibadilishwi wala hakibadilishiki
2. Ni kitabu pekee ambacho kinasomeka kwa lugha moja tu.
3. Ni kitabu pekee ambacho kinahifadhiwa kichwani na watu.
4. Ni kitabu kepee ambacho kimefafanua kwa ufasaha maisha yaliyopita na ya sasa na yajayo.
5. Ni kitabu pekee chenye sura inayomzungumzia maisha ya mwanamke anavyotakiwa kuishi.
Yapo mengi tosheka na hayo
1. Nimejifunza kupitia QUR-AN kwamba chimbuko la Sayansi ni QUR-AN.
QUR-AN imezungumzia uumbwaji wa dunia karne ya saba, katafute kwenye vitabu vyako vyote ma prophesa waligundua sayansi mwaka gani? utapata jibu.
2. Nime jifunza kupitia QUR-AN kwamba sisi wanaadamu ndio viongozi wa hii dunia, uwezo tuliokuanao wanaadabu majinni hawaufikii hata robo.
Tosheka na hayo ukitaka kujua zaidi kuhusu QUR-AN tafuta waalimu wakufundishe.
Sijui kwakweli, mimi nina hard copy mkuu. Unaweza kutafta google.Kuna soft copy ya hicho kitabu? Kama kipo nakiomba plz
Ulikinunua bei gani?Sijui kwakweli, mimi nina hard copy mkuu. Unaweza kutafta google.
Tshs. 13000/= MAK bookshop Mlimani City Dar es SalaamUlikinunua bei gani?
Nitakitafuta. Asante sanaTshs. 13000/= MAK bookshop Mlimani City Dar es Salaam
Mkuu ntapata wapi Hard copy ya As a Man Thinketh cha James Allen. NatakaAs A Man thinketh, Poor Dady Rich Dady,Holly Bible kjv
Mkuu, duka gani wanauza hard copy ya hivi vitabu.Karibu Mkuu na nakuahidi kuwa hutajuta na tutakuwa pamoja mpaka pale Mungu atasema basi.
Sharing is caring, pamoja sana kiongozi.