Kitabu hiki cha Kiislamu kinasema Shetani ni Muislamu

Kitabu hiki cha Kiislamu kinasema Shetani ni Muislamu

Mkuu uislamu ni umeundwa na umadness ukristo umeingiliwa na umadness For that reason huwezi kuutoa umadness kwenye uislamu kwa kuwa ukiutoa umadness kwenye uislamu basi uislamu unacease to exist,ila kwenye ukristo ukitoa umadness ukristo ùnaexist
Ukristo na uislam zote ni upuuzi.
Natamani hz dini zenu ziwe modified.
Kila mmoja wenu anajiona bora zaidi ya mwenzie wakati nyie wote ni wa wamoja ktk kuamini maujinga.
Tofauti yenu ni wakristo wanaamini utapeli wa wazungu na waislam wanaamin utapeli wa waarabu.

Mnaishi enzi za AI ila mmezidiwa akili na vitapeli vya karne za giza huko mnatukanana kutetea myth.
 
Yaani uislam upo ulikuepo na utaendelea kuepo mpaka unakufa utauacha
Hizo kelele kelele hazitafanya uislam utoeke hata kwa dawa pole kijana
Screenshot_20260926_090239_Chrome.jpg
 
Nini kilifanya usiende Kanisani wala Msikitini? Ulikuwa dini gani hadi ukaona huna haja ya kwenda kanisani au msikitini😂😂,

Nilikuwa kwenye dhehebu moja lisilo amini kwenye Chrismas ILA kukawa na vitu sivielewi vizuri
Baada ya kuwa mtu mzima, nikaona nijipe muda wa kumtafuta Mungu.
Na ujue baadhi ya wahubiri wakitaja mstari pale ukienda kusoma kuanzia mwanzo unakutana na maana tofauti.
USHAURI WANGU NI KUWA PAMOJA NA KUSIKILIZA MAHUBIRI, SOMA, SOMA, SOMA!
Jiulize kwa umri ulio nao umeshasoma kitabu chako unachokiamini walau kwa 50 - 75%% ? au unasubiri mchungaji ataje kamstari kamoja ndio na wewe ukasome?
 
Hilo dhehebu lilikuwa linaenda msikitini na kanisani?
 
Ukristo na uislam zote ni upuuzi.
Natamani hz dini zenu ziwe modified.
Kila mmoja wenu anajiona bora zaidi ya mwenzie wakati nyie wote ni wa wamoja ktk kuamini maujinga.
Tofauti yenu ni wakristo wanaamini utapeli wa wazungu na waislam wanaamin utapeli wa waarabu.

Mnaishi enzi za AI ila mmezidiwa akili na vitapeli vya karne za giza huko mnatukanana kutetea myth.
We dini gani
 
Ikuwaje embu nismulie kwa kifupi
Niliwaambia kama mimi ni mtoto wenu na hamtaki niwaachie laana acheni ujinga wa kuamini myth.Mzee akawa mbishi kidogo ila nilivozidi kutishia kuwalaani wakakubali kunisikiliza na kunielewa na sasa mimi,wazazi wangu na ndugu zangu wote ni mapagan.
Na nimewaambia atakayezingua tu namuachia laana.Na kweli atakayerudia dini namuachia laana.
 
Chai hii unamnywesha nani?
 
Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu
"Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemwisilisha Shetani akawa Muislamu..."
View attachment 3677153
Kwanza kabisa pole maana mfa maji haachi kutapatapa:

Kwasababu kushadadia na kusambaza vitu kwa mihemko bila kuthibitisha taarifa unayoisambaza nayo ni shida nyingine;

Kwa mimi naona dhamira yako ndani kabisa ni UNACHUKI NA UISLAM ko chochote kitakachokuja mbele yako kiwe sahihi au sio sahihi ilimradi tu kinafanya uislam uwe wa hovyo bac utaruka nacho bila kujiuliza hata sekunde.
Naomba nikusaidie kidogo. Nufaika na hizo nukta chache za Gemini.
Siku nyingine njoo na concrete critiques mana hizi nyingine mpaka tunaona uvivu kujibu upumbavu .

Screenshot_20260927_151242_Google.png
Screenshot_20260927_151257_Google.png
Screenshot_20260927_151319_Google.png
 
Nashukuru tu kwakujua kama makundi kama isis yapo kwakuundwa kwa sababu maalum kabisa
Nchi ulizozitaja zimevamiwa direct toka kwa mataifa fulani hili lipo wazi nawala sio sababu ya kua kisa wazungu wanakua sana waislam
Umeisoma vyema historia ya andalusia kijana na kuja na Conclusion ulokuja nalo au ndio umeamua kutaka kupotosha watu wasiojua
Mwisho wanafiq walikuwepo tokea enzi za s a w na wakajulikana kama maswahaba na hawatakaa waishe mpaka qiama
Kwahio kwenye hao wanaingia kwa uislam wapo wenye nia thabiti kabisa ingawa hao wawili watatu wamchongoma kama unavyowatanabaisha hapo juu
Ila majority ya wazungu wameondokana na dhana potovu ambayo nyie mpaka sasa mnaishikilia juu ya uislam na waislam
Kwahiyo proof ya uzuri wa uislamu unaipata kupitia wazungu?

Hii dini imekaa kitapeli sana.
 
interesting, muslims wote reference yao ni Bible na Christianity, islam haiwezi kusimama yenyewe bila ya kurejea kwenye Biblia halafu mimi ndiyo niifwate "dini" kama hiyo? hakuna mahali kwenye Bible ambapo islam au Muhammad ametajwa wala Yesu hakuwahi kukutana na Muhammad wala kumtaja popote lkn muslims reference yao ni Bible bila ya Bible hawana cha kuongelea, they plagiarized the Bible halafu ndiyo niwaamini?

islam haiwezi kusimama yenyewe bila ya ku-refer to the Bible so would i believe that? ukiwasikiliza akina shehe mwaipopo kila kitu ni wana-refer Biblia, hawana kingine cha kuongelea bila ya Bibilia shehe mwaipopo & co. hni jobles, lkn Christians hawahitaji kuitaja islam popote imejitosheleza na inasimama yenyewe, nawajua muslims wengi tu wana Biblia nyumbani kwao na wanazisoma ili kuleta ubishani lkn simfahamu Christian hata mmoja anayeweka msahafu nyumbani kwake ...
Biblia yeyewe wanasema imechakachuliwa ila wakitaka kuhararusha upuuzi wana qoute vifungu kutoka kwenye bibila vya kuwasapoti,vifungu vinavyowapinga wanakataa bibilia wanasema imechakachuliwa.

Hivi vijamaa ni vitapeli haswa.
 
Ukristo na uislam zote ni upuuzi.
Natamani hz dini zenu ziwe modified.
Kila mmoja wenu anajiona bora zaidi ya mwenzie wakati nyie wote ni wa wamoja ktk kuamini maujinga.
Tofauti yenu ni wakristo wanaamini utapeli wa wazungu na waislam wanaamin utapeli wa waarabu.

Mnaishi enzi za AI ila mmezidiwa akili na vitapeli vya karne za giza huko mnatukanana kutetea myth.

UELEWA WAKO WA ELIMU YA USILAM NI SAWA NA UCHUKUE MTOTO WA SHULE YA MSINGI UMPE KITABU CHA CHEMISTRY FORM THREE ASOME. TAFISIRI ATAKAYOITOA 95% ITAKUWA SIO SAHIHI
KWA KUWA ELIMU YAKO JUU YA UISLAM NI NGAZI YA CHEKECHEA, UNGEOMBA UELEKEZWE BADALA YA KUAMINISHA WATU KITU USICHOKUWA NA ELIMU NACHO.....
Mfano; hata ukikariri kuwa, formula ya Sulfuric acid ni H2SO4 haitoshi kusema tayari umeijua chemistry
 
Sikiliza boss wangu!

Matukio/matendo/tabia/majanga/xhuki/ubaguzi/ukatili unaotokana na hizo dini zenu ambao nimeshuhudia tangu niwe na akili ni elimu tosha kuhusu hizo imani zenu sihitaji kupoteza muda wangu kujifunza chochote cha dini yeyote.
 
Back
Top Bottom