Kitabu hiki cha Kiislamu kinasema Shetani ni Muislamu

Lakini Yesu akageuka na kumwambia Petro, “Rudi nyuma yangu, Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Moyo wako hauwazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.”

Ona Yesu aliongea na Shetani kabla ya Quran kushushwa kwa Mtume Mohammed (s.a.w).
SInce then shetan akawa Muislam...
 
Naona unaruka ruka juu kule umesema waislam wanabakia uislamuni sababu ya kuzaliwa kwao
Nimekupa hoja tena naona unaruka ruka
Wewe unawasemea uliwahi kuingia kwenye nafsi zao lini?
Nikujuze tu kwasasa uislam ndio dini inayokua kwakasi zaidi ulaya na ulimwenguni kwa ujumla wake
Kwahio ulaya wengi wamezaliwa wakiwa waislam 😄😃😄
Yaani hamujawahi kuwa na hoja

nimeshaliezea hilo, wazungu wanaokuwa muslims au wanao-promote na kupeleka muslims eu, USA ni communists, na sababu ya communists ku-promote islam siyo kama mnavyodhania kwamba wanawapenda sana au wanaikubali islam ingekuwa ni hivyo how is it that watu pekee wanaokuwa murdered duniani kwa wingi leo kwa mabomu na vita ni muslims? vita vyote na mabomu yanapigwa muslims countries, why is that kama wanawapenda sana?

ni lini ulisikia Christian country imevamiwa na kupigwa mabomu au kuwa na terrorists wanaoharibu nchi kama kosovo, chechnya, yemeni houthis, siria, afghstan, pakistan, sudani, mali, chad, maurtania au barbaria somalia? , wengi mko fooled mnafikri kwa kuwa mnakaribishwa eu na USA basi communists wanawapenda, la hasha, muslims wanatumika kama tool tu ya communists na baada ya hapo all muslims will be expelled ilishatokea before, muslims waliletwa spain, muslims walikaa spain for > 700 years lkn siku moja baada ya kumaliza kutumika walikuja kufurumushwa au unafikiri nani an-fund isis, al kaida, alshabaab, boko haram & co.? kwa nini muslims countries destroyed kama libya, pakistan na sasa iran? ...
 
Nashukuru tu kwakujua kama makundi kama isis yapo kwakuundwa kwa sababu maalum kabisa
Nchi ulizozitaja zimevamiwa direct toka kwa mataifa fulani hili lipo wazi nawala sio sababu ya kua kisa wazungu wanakua sana waislam
Umeisoma vyema historia ya andalusia kijana na kuja na Conclusion ulokuja nalo au ndio umeamua kutaka kupotosha watu wasiojua
Mwisho wanafiq walikuwepo tokea enzi za s a w na wakajulikana kama maswahaba na hawatakaa waishe mpaka qiama
Kwahio kwenye hao wanaingia kwa uislam wapo wenye nia thabiti kabisa ingawa hao wawili watatu wamchongoma kama unavyowatanabaisha hapo juu
Ila majority ya wazungu wameondokana na dhana potovu ambayo nyie mpaka sasa mnaishikilia juu ya uislam na waislam
 
Uislam unaishi vichwani mwenu bila pango
Kutwa kucha kuanzisha na kishabikia ujinga
Hamuwezi kuitaja dini yenu bila kuutaja Allah, Quran, Muhammad na Uislam kwa sababu hamna uhalali wa dini yenu
Muhammad akiwa peke yake na wafuasi wachache alipigwa vita na ndugu, jamaa na kabila/ukoo wake
Leo hii kuna wafuasi 2.5b kati ya watu 8b duniani na bado uongofu unaufuata
Allah alisema hili kwenye Surat Nasr 1-3
IMG_7329.jpeg
IMG_7328.jpeg
IMG_7260.jpeg
IMG_7167.jpeg
IMG_7160.jpeg
IMG_7159.jpeg
IMG_7157.jpeg
IMG_7158.jpeg
IMG_7151.jpeg
IMG_7150.jpeg
 
nimeshaliezea hilo, wazungu wanaokuwa muslims au wanao-promote na kupeleka muslims eu, USA ni communists, na sababu ya communists ku-promote islam siyo kama mnavyodhania kwamba wanawapenda sana au wanaikubali islam ingekuwa ni hivyo how is it that watu pekee wanaokuwa murdered duniani kwa wingi leo kwa mabomu na vita ni muslims? vita vyote na mabomu yanapigwa muslims countries, why is that kama wanawapenda sana?

ni lini ulisikia Christian country imevamiwa na kupigwa mabomu au kuwa na terrorists wanaoharibu nchi kama kosovo, chechnya, yemeni houthis, siria, afghstan, pakistan, sudani, mali, chad, maurtania au barbaria somalia? , wengi mko fooled mnafikri kwa kuwa mnakaribishwa eu na USA basi communists wanawapenda, la hasha, muslims wanatumika kama tool tu ya communists na baada ya hapo all muslims will be expelled ilishatokea before, muslims waliletwa spain, muslims walikaa spain for > 700 years lkn siku moja baada ya kumaliza kutumika walikuja kufurumushwa au unafikiri nani an-fund isis, al kaida, alshabaab, boko haram & co.? kwa nini muslims countries destroyed kama libya, pakistan na sasa iran? ...
Kwa faida hao watu wanaojipenyeza penyeza wamezungumzwa kwenye sura al munafiqun
Allah s w alikua mbele ya muda mzee 😁😁😁
 
Uislam unaishi vichwani mwenu bila pango
Kutwa kucha kuanzisha na kishabikia ujinga
Hamuwezi kuitaja dini yenu bila kuutaja Allah, Quran, Muhammad na Uislam kwa sababu hamna uhalali wa dini yenu
Muhammad akiwa peke yake na wafuasi wachache alipigwa vita na ndugu, jamaa na kabila/ukoo wake
Leo hii kuna wafuasi 2.5b kati ya watu 8b duniani na bado uongofu unaufuata
Allah alisema hili kwenye Surat Nasr 1-3View attachment 3677347View attachment 3677348View attachment 3677349View attachment 3677350View attachment 3677351View attachment 3677352View attachment 3677353View attachment 3677354View attachment 3677355View attachment 3677356

hahaha hakuna binadamu mwenye akili timamu anayeweza ku-convert kuwa muslim, btw japan imepiga marufuku islamu unajua ni kwa nini? ...
 
Nashukuru tu kwakujua kama makundi kama isis yapo kwakuundwa kwa sababu maalum kabisa
Nchi ulizozitaja zimevamiwa direct toka kwa mataifa fulani hili lipo wazi nawala sio sababu ya kua kisa wazungu wanakua sana waislam
Umeisoma vyema historia ya andalusia kijana na kuja na Conclusion ulokuja nalo au ndio umeamua kutaka kupotosha watu wasiojua
Mwisho wanafiq walikuwepo tokea enzi za s a w na wakajulikana kama maswahaba na hawatakaa waishe mpaka qiama
Kwahio kwenye hao wanaingia kwa uislam wapo wenye nia thabiti kabisa ingawa hao wawili watatu wamchongoma kama unavyowatanabaisha hapo juu
Ila majority ya wazungu wameondokana na dhana potovu ambayo nyie mpaka sasa mnaishikilia juu ya uislam na waislam

wazungu wote wanao-convert to islam ni communists, kama tu black americans na nation of islam wote ni communists, sasa swali ni kwa nini communists wanaikumbatia islam na muslims? kwa sababu muslims ndiyo watu pekee ambao wanaweza kutumika kufanikisha agenda maalumu, na hata leo hii communists wanatumia muslims dunia nzima, nchi karibia zote zenye vita na matatizo ni islamic communist dictatorship, kwa nini iko hivyo unafikiri? ...
 
wazungu wojte wanao-convert to islam ni communists, kama tu black americans na nation of islam wote ni communists, sasa swali ni kwa nini communists wanaikumbatia islam na muslims? ...
Hata kipindi cha s a w kulikua na maswali kama haya
Jibu wanaukumbatia uislam baada ya kuufatilia na kuujua na kuuelewa na kuuona unastahili kua mfumo sahihi
Mwisho takwimu zako zakuokoteza okoteza kwamba wakomunist wengi ndio wanaoingia kwenye uislam sio kweli
Chuo kikuu cha Amsterdam takwimu zao rasmi zinaonesha kwamba waliochoshwa na mfumo wa magharibi ndio wanakua waislam
Na takwimu nyingi zinasema haya
 
hahaha hakuna binadamu mwenye akili timamu anayeweza ku-convert kuwa muslim, btw japan imepiga marufuku islamu unajua ni kwa nini? ...
Mnalalamika watu kuwa nchi wanazokataza waislam kuwa makafiri lakini mnashabikia na kupongeza wanaokataza kuwa waislam
Ndumilakuwili!
 
Hata kipindi cha s a w kulikua na maswali kama haya
Jibu wanaukumbatia uislam baada ya kuufatilia na kuujua na kuuelewa na kuuona unastahili kua mfumo sahihi
Mwisho takwimu zako zakuokoteza okoteza kwamba wakomunist wengi ndio wanaoingia kwenye uislam sio kweli
Chuo kikuu cha Amsterdam takwimu zao rasmi zinaonesha kwamba waliochoshwa na mfumo wa magharibi ndio wanakua waislam
Na takwimu nyingi zinasema haya

communists wote hao, nafikiri labda bado haujaielewa vizuri agenda ya communists ...
 
communists wote hao, nafikiri labda bado haujaielewa vizuri agenda ya communists ...
hahaha hakuna binadamu mwenye akili timamu anayeweza ku-convert kuwa muslim, btw japan imepiga marufuku islamu unajua ni kwa nini? ...
IMG_7368.jpeg

God is god
but god isn’t god
but he’s god and they’re god
but they aren’t each other
but they’re god
but they aren’t three separate gods they’re one god
but they’re also the same but they also have different personalities so they’re the same but not

How do people believe this shit😂
 
View attachment 3677363

interesting, muslims wote reference yao ni Bible na Christianity, islam haiwezi kusimama yenyewe bila ya kurejea kwenye Biblia halafu mimi ndiyo niifwate "dini" kama hiyo? hakuna mahali kwenye Bible ambapo islam au Muhammad ametajwa wala Yesu hakuwahi kukutana na Muhammad wala kumtaja popote lkn muslims reference yao ni Bible bila ya Bible hawana cha kuongelea, they plagiarized the Bible halafu ndiyo niwaamini?

islam haiwezi kusimama yenyewe bila ya ku-refer to the Bible so would i believe that? ukiwasikiliza akina shehe mwaipopo kila kitu ni wana-refer Biblia, hawana kingine cha kuongelea bila ya Bibilia shehe mwaipopo & co. hni jobles, lkn Christians hawahitaji kuitaja islam popote imejitosheleza na inasimama yenyewe, nawajua muslims wengi tu wana Biblia nyumbani kwao na wanazisoma ili kuleta ubishani lkn simfahamu Christian hata mmoja anayeweka msahafu nyumbani kwake ...
 
Muslims unaowajua wana bible kwa sababu walipewa bure makanisani, mashuleni na mahotelini
Ukiingia hotel au gest huwezi kukuta Qoran lakini biblia zimejaa
Kila lugha kila toleo
Hakuna mkiristo anayeweza kuielewa Qoran kwa sababu hata hiyo bible mnaelekezwa wapi msome, wana kondoo!
Muislam akifundishwa kusoma kiarabu, kile cha awali ataweza kusoma na kutafuta tafsiri na kuielewa, utekelezaji ni suala lingine
Waislam pia wanafanya reference si kwa biblia tu, ambao ni mkusanyiko wa vitabu, bali Injili, Taurati na Zaburi kama walivyoamrishwa na mafundisho na ni sehemu ya imani, kuamini katika vitabu vilivyo tangulia
Si ajabu kwa hilo!

Ndiyo maana nasema uislam umejaa vichwani mwenu, kila wakati kuandika ujinga mnasahau ya kwenu
Allah alishasema
Lakum dinikum waliyadin!
 
Wazungu wengi wanaokuja huku wala hawakuzaliwa huku ila wame

Uislam ndio mfumo sahihi wamaisha ya mwanaadam

Uislam ni mfumo wa ibilisi shetani. Shetani siku zote alipenda awe na ufalme wake, naye awe kama Mungu, aabudiwe na kupewa sifa kama Mungu, awe na nyumba za kumwabudia kama Mungu, alilifanikisha hilo kupitia Muhamad.

Allah ni kinyume cha Yahwe, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Mungu wa manabii wote wa kale, Mungu aliyekuja kufunuliwa na Kristo Yesu , mwanaye wa pekee. Ndiyo maana sifa za Allah ni kinyume kabisa na Mungu aliyefunuliwa kwa wanadamu na Kristo Yesu:

Mungu wa KristoYesu:
1. Mfalme wa mbingu, Mwingi wa msamaha, mwingi wa upendo na huruma, Mungu aliye mwaminifu na mkweli daima wa ahadi zake. Mungu anayehimiza upendo kwa wote, hata maadui zako.

2. Allah, mfalme wa Ulimwengu, Bingwa wa hadaa, anayehimiza mauaji na kisasi. Allah anahimiza mauaji dhidi ya wasiomkubali.
 
kuwa mwangalifu na wazungu wanaokuwa muslims, wengi wao ni communists na wana-agenda maalumu ni kama kama tu thomas mwaipopo aka shehe mwaipopo, kazi yake kuu ni kusilimisha hana kazi nyingine, kuna sababu kwa nini anatokea (shehe mwaipopo) mbeya na siyo tanga mjini, bagamoyo, kigoma au hata lindi hivyo yuko kazini na hiyo ndiyo kula yake, lkn kwa hali ya kawaida hakuna Christian mwenye akili timamu anayeweza kuwa Muslim kwa hiari i mean, hivi kuna kitu gani hasa kinachoweza kumvutia Christian aache Christianity na kufwata islam ukiondoa mambo ya siasa? ...

Umenena vema, hakuna mkristo anayemwabudu Mungu wa kweli, eti akaufuate uislam ambao unamwabudu Allah ambaye sifa zake, kwenye Biblia ni sifa za ibilisi shetani.
 
Back
Top Bottom