Kitabu hiki cha Kiislamu kinasema Shetani ni Muislamu

Kitabu hiki cha Kiislamu kinasema Shetani ni Muislamu

View attachment 3677363
God is god
but god isn’t god
but he’s god and they’re god
but they aren’t each other
but they’re god
but they aren’t three separate gods they’re one god
but they’re also the same but they also have different personalities so they’re the same but not

How do people believe this shit😂
UANITHI wa nafsi tatu za Mungu feki huu.... NAFSI YA MUNGU NI MOJA MILELE ...
 
Shida unaandika huku unaharisha kwahio siwezi kuelewana na mtu anaehara kama wewe
Hujisikii vibaya kutukana.?

Anyway,once you die its over.
Bahati mbaya ukifa hutajua hata kuwa umeishi maisha yako yote ukiamini maujinga .
 
Hao wazungu unao wasema , waislamu wenzako awana hamu nao baada ya kutambua kuwa wanachezeshwa shere na majasusi ya dunia yanayo jidai kusilimu ...hakuna mkristo mwenye kuujua ukristp anaye weza kuwa muislamu isipokuwa huyo mkristo ana ajenda ya siri.
Kuhusiana na huo unafiq nilisha uelezea kule juu
Hata enzi za s a w walikuwepo pia kama hao
Walokua wanafiq(majasusi) walikua haswa kuliko hawa unaowasema sasa
Nawalokua waumini walikua waumini hasa kuliko hawa wasasa na wakautetea uislam to the maximum
Kwahio hawa hawana jipya na wale walopita
Una hoja nyengine???
 
Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu
"Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemwisilisha Shetani akawa Muislamu..."
View attachment 3677153
Aya za shetani, kitabu cha shetani, hadithi za shetani, mtume ni wa shetani, na mungu huyu ni Ibilisi mwenyewe mwenye kuupeleka umati wake kuzimu.
 
Tufanye hamna tusi.

Cha muhimu natamani tu ujue kuwa wewe ni mpumbavu unaewachukia wapumbavu wenzio.
Wazungu na waarabu wamewafanya MAJINGA.

Namaanisha
Bado hoja huna 😁😁😁
 
Hata ukristo ni total madness.
Sina heshima hata moja kwa yale mazombi ya mwamposa.
Jitu gari inasumbua linamwagia udongo.
Jitu linanunua udongo.

Kuna takataka moja la mwamposa lilinilalamikia hali ngumu nukatoa tu sent nikamgea akahemee na kupunguza ada ya mtoto likaenda kumhonga yote mwamposa kwa sadaka ya kujimaliza likakosa hadi nauli ya kurudia nyumbani.Na lilinieleza lenyewe likidhan linaongea kitu kizuri.Siongei nae hadi leo.

Anyway,karibuni kwenye upagani ambako peponi yako unaitengeneza hapa hapa duniani.Ambako ukiwa na hela unaweza kutafuna hata bikira

Hata ukristo ni total madness.
Sina heshima hata moja kwa yale mazombi ya mwamposa.
Jitu gari inasumbua linamwagia udongo.
Jitu linanunua udongo.

Kuna takataka moja la mwamposa lilinilalamikia hali ngumu nukatoa tu sent nikamgea akahemee na kupunguza ada ya mtoto likaenda kumhonga yote mwamposa kwa sadaka ya kujimaliza likakosa hadi nauli ya kurudia nyumbani.Na lilinieleza lenyewe likidhan linaongea kitu kizuri.Siongei nae hadi leo.

Anyway,karibuni kwenye upagani ambako peponi yako unaitengeneza hapa hapa duniani.Ambako ukiwa na hela unaweza kutafuna hata bikira 500.
Mkuu uislamu ni umeundwa na umadness ukristo umeingiliwa na umadness For that reason huwezi kuutoa umadness kwenye uislamu kwa kuwa ukiutoa umadness kwenye uislamu basi uislamu unacease to exist,ila kwenye ukristo ukitoa umadness ukristo ùnaexist
 
Yaani uislam upo ulikuepo na utaendelea kuepo mpaka unakufa utauacha
Hizo kelele kelele hazitafanya uislam utoeke hata kwa dawa pole kijana
 
Waislamu, wasabato na waprotestanti wamekuwa wanaipinga Kanisa Katoliki kwa miaka mingi nilijua ipo siku wakiwageukia na kuwakosoa hadharani italeta shida na watu watafahamu madudu mengi.
 
Yaani uislam upo ulikuepo na utaendelea kuepo mpaka unakufa utauacha
Hizo kelele kelele hazitafanya uislam utoeke hata kwa dawa pole kijana
Ni kweli utaendelea kuwepo kwasababu shetani mwenye uislamu wake nae ataendelea kuwa nao.Halafu jambo lingine ni kwamba we jamaa mimi nitakuroga humuhumu JF
 
Hao wazungu unao wasema , waislamu wenzako awana hamu nao baada ya kutambua kuwa wanachezeshwa shere na majasusi ya dunia yanayo jidai kusilimu ...hakuna mkristo mwenye kuujua ukristp anaye weza kuwa muislamu isipokuwa huyo mkristo ana ajenda ya siri.
Tatizo waislamu wengi ni mazezeta utasikua takbiiir😂 kumbe yamesilimisha jasusi
 
Yaani uislam upo ulikuepo na utaendelea kuepo mpaka unakufa utauacha
Hizo kelele kelele hazitafanya uislam utoeke hata kwa dawa pole kijana

Nani amesema uislam utapotea? Kusema uislam utapotea ni sawa na kusema shetani atapotea.

Mohamad, kwa maelezo yake ni kuwa alitokewa na shetani kule pangoni, na shetani akamwambia aandike atakayomwambia (ndiyo hiyo ambayo leo inaitwa Quran). Binamu yake. Muhamad ndiye aloyebadilisha story ya Muhamad kutokewa na shetani, akamwambia Muhamad kuwa aliyemtokea atakuwa malaika Jibril, wakati Muhamad kwa maneno yake aliwaambia kuwa alitokewa na shetani, na alimkaba shingo nusura ya kumwua. Uislam hauwezi kufa kwa sababu ndio ufalme wa shetani.
 
Hujisikii vibaya kutukana.?

Anyway,once you die its over.
Bahati mbaya ukifa hutajua hata kuwa umeishi maisha yako yote ukiamini maujinga .
Akifa ataenda kukutana na mito ya Pombe . Na wanawake wazur Peponi.
Ambao bao moja atapiga kwa miaka 70 non stop.
 
Mimi nilikaa bila kwenda kanisani wala msikitini kwa takribani miaka 7
Nini kilifanya usiende Kanisani wala Msikitini? Ulikuwa dini gani hadi ukaona huna haja ya kwenda kanisani au msikitini😂😂,
 
Back
Top Bottom