Kitabu hiki cha Kiislamu kinasema Shetani ni Muislamu

Muslims unaowajua wana bible kwa sababu walipewa bure makanisani, mashuleni na mahotelini
Ukiingia hotel au gest huwezi kukuta Qoran lakini biblia zimejaa
Kila lugha kila toleo
Hakuna mkiristo anayeweza kuielewa Qoran kwa sababu hata hiyo bible mnaelekezwa wapi msome, wana kondoo!
Muislam akifundishwa kusoma kiarabu, kile cha awali ataweza kusoma na kutafuta tafsiri na kuielewa, utekelezaji ni suala lingine
Waislam pia wanafanya reference si kwa biblia tu, ambao ni mkusanyiko wa vitabu, bali Injili, Taurati na Zaburi kama walivyoamrishwa na mafundisho na ni sehemu ya imani, kuamini katika vitabu vilivyo tangulia
Si ajabu kwa hilo!

Ndiyo maana nasema uislam umejaa vichwani mwenu, kila wakati kuandika ujinga mnasahau ya kwenu
Allah alishasema
Lakum dinikum waliyadin!

siyo kweli nawajua wengi tu bongo tena mkianza kuongea kidogo tu anaingia ndani na kutoa Bible kuanza kuonyesha mistari ya kukosoa ...
 
Sasa we bibi mzima huna la kuongea zaidi ya “muslims” na “ communist” na aina ya marafiki ulio nao wote mna shida!
 
communists wote hao, nafikiri labda bado haujaielewa vizuri agenda ya communists ...
Uzuri hata nikiielewa uislam sio wangu una mwenyewe na kaahidi ataulinda na kuusimamia
Nimekupa mifano ya wazi kua walikuapo watu wa mifano ya hao kabla ya hawa wa leo
Kwahio uislam upo na unaendelea kuenea kama unavyoenea leo kule ulaya naduniani kwa ujumla wake
 
Uislam ni mfumo wa ibilisi shetani. Shetani siku zote alipenda awe na ufalme wake, nage awe kama Mungu, aabudiwe na kuoewa sifa kama Mungu, awe na nyumba za kumwabudia kama Mungu, alilifanikisha hilo kuoitia Muhamad.

Allah ni kinyume cha Yahwe, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Mungu wa manabii wote wa kale, Mungu aliyrkuja kufunuliwa na Kristo Yesu , mwanaye wa pekee. Ndiyo maana sifa za Allah ni kinyume kabisa na Mungu aliyefunuliwa kwa wanadamu na Kristo Yesu:

Mungu wa KristoYesu:
1. Mfalme wa mbingu, Mwingi wa msamaha, mwingi wa upendo na huruma, Mungu aliye mwaminifu na mkweli daima wa ahadi zake. Mungu anayehimiza upendo kwa wote, hata maadui zako.

2. Allah, ufalme wa Ulimwengu, Bingwa wa hadaa, anayehimiza mauaji na kisasi. Allah anahimiza mauaji dhidi ya wasiomkubali.
Huna hoja toa hoja zijibiwe kwa hoja kijana
 
Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu
"Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemwisilisha Shetani akawa Muislamu..."
View attachment 3677153
Hivi nyinyi wagalatia tutakufundisheni mpaka lini kuhusu kumjua Mungu wa kweli na viumbe vyake?

Jini ni kiumbe Cha Mungu
Binadamu pia ni kiumbe Cha Mungu

Shetani ni sifa ya kumuasi Mungu Yani Kuna majini ni waasi hivyo wanapata sifa ya ushetani

Pia Kuna binadamu ni waasi nao wanapata sifa ya ushetani

Shida ni kwamba nyinyi wagalatia mmeshazoea kudanganywa kiasi kwamba hamjui
Shetani ni nani
Jini ni nani

Endeleeni tu kudanganyana siku zenu za kufa zifike muende Jahanam

Maana Allah anasema atakuingizeni Jahanam alafu atakuambie mwambieni Mungu wenu Yesu aje kukutoeni kama anaweza hapo ndiopo mtapojikita mnaishi Jahanam milele
 
Haya ni matapishi ya Allah mkuu wala Mungu hshusiki hapo.
 
Hao waliokuletea ukiristo hawamjui Mungu ndio utamjua wewe?

Kama unamjua niambie
Mungu wako anaitwa nani?
Mungu wa Yesu anaitwa nani ?
Mungu wa Mariam mama yake Yesu anaitwa nani?
 
Uzuri hata nikiielewa uislam sio wangu una mwenyewe na kaahidi ataulinda na kuusimamia
Nimekupa mifano ya wazi kua walikuapo watu wa mifano ya hao kabla ya hawa wa leo
Kwahio uislam upo na unaendelea kuenea kama unavyoenea leo kule ulaya naduniani kwa ujumla wake

hao ummah wenzako, kwa nini hawaendi saudi arabia, uae, katar au hata omani tena ni karibu tu?

1790328005649.png
 
hao ummah wenzako, kwa nini hawaendi saudi arabia, uae, katar au hata omani tena ni karibu tu?

View attachment 3677489
😁😁😁
Uzuri kila utapokuja utakula tu za ugoko dogo mpaka ukimbie
Wanaenda kula pension zao zilizofanywa na hao wahalifu na wauaji waloziharibu nchi zao sababu kabla ya kuharibiwa nchi zao na hao wanyang'anyi walikua wametulia makwao vyema tuuu
 
Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu
"Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemwisilisha Shetani akawa Muislamu..."
View attachment 3677153
Kitabu kimeandikwa na mtu unasemaje cha kiislamu?
Au kwasababu nwandishi ni muisalamu?
 
Wengi ni kwasababu walizaliwa huko mkuu.
Mimi nilikaa bila kwenda kanisani wala msikitini kwa takribani miaka 7 na hapo nilisha maliza elimu ya sekondari.
Kipindi hicho niliweza kusoma biblia kwa takriban 90% na Quran kwa takriba 90% na kuhudhuria makongamano yote makubwa ya dini zote; Mwakasege namuelewa sana kuliko wengine.
Hata hivyo; nilijiridhisha pasina shaka kuwa natakiwa kuwa Muislam. Hivyo mimi ni Muislam kwa kusoma vitabu na sio kwa kufuata mkumbo....
WATU WENGI HAWANA ELIMU, WANAFIKIRI KILA KILICHO ANDIKWA KWA KIARABU NI CHA KIISLAM
 
Uislam ni mfumo wa ibilisi shetani. Shetani siku zote alipenda awe na ufalme wake, nage awe kama Mungu, aabudiwe na kuoewa sifa kama Mungu, awe na nyumba za kumwabudia kama Mungu, alilifanikisha hilo kuoitia Muhamad.

Allah ni kinyume cha Yahwe, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Mungu wa manabii wote wa kale, Mungu aliyrkuja kufunuliwa na Kristo Yesu , mwanaye wa pekee. Ndiyo maana sifa za Allah ni kinyume kabisa na Mungu aliyefunuliwa kwa wanadamu na Kristo Yesu:

Mungu wa KristoYesu:
1. Mfalme wa mbingu, Mwingi wa msamaha, mwingi wa upendo na huruma, Mungu aliye mwaminifu na mkweli daima wa ahadi zake. Mungu anayehimiza upendo kwa wote, hata maadui zako.

2. Allah, ufalme wa Ulimwengu, Bingwa wa hadaa, anayehimiza mauaji na kisasi. Allah anahimiza mauaji dhidi ya wasiomkubali.
Yeremia 3:14 'rudini enyi watoto wenye kuasi asema BWANA maana mimi ni mume wenu.....
 
😁😁😁
Uzuri kila utapokuja utakula tu za ugoko dogo mpaka ukimbie
Wanaenda kula pension zao zilizofanywa na hao wahalifu na wauaji waloziharibu nchi zao sababu kabla ya kuharibiwa nchi zao na hao wanyang'anyi walikua wametulia makwao vyema tuuu

wow, it makes sense ...
 
ndugu zangu hata ikitokea trump akaslimu, haibadilishi ukweli. Ukweli ni ukweli na ukweli hata ukiuficha vipi ni tabia yake kujitenga na uongo na ukweli wala hauitaji kutetewa huwa unatabia ya kujitetea wenyewe . kama unachokiamini ni kweli basi ipo siku ya udhihirisho wake. siku hiyo hakutakuwa na kujitetea na kusema mbona hata trump alipita njia hii. ndugu zangu itakuwa kilio cha kusaga meno. sasa ukiona ukweli umejionyesha mbele yako na unahangaika kuuficha kwa uongo na kuutaftia sababu kuujustify ama ukiona ukweli unakutrigger na kutaka kujidefend kwa kuwa emotional, kuwa mkali, kubadili mada kukwepa discussion kuhusu huo ukweli, kutumia lugha ya ,matusi,ndugu yangu usijipuuze.. jiulize tu maswali ya kina ya kwa nini unareact unavyoreact na ukweli utakupatia majibu.
 
Back
Top Bottom