Ukristo na uislam zote ni upuuzi.Mkuu uislamu ni umeundwa na umadness ukristo umeingiliwa na umadness For that reason huwezi kuutoa umadness kwenye uislamu kwa kuwa ukiutoa umadness kwenye uislamu basi uislamu unacease to exist,ila kwenye ukristo ukitoa umadness ukristo ùnaexist
Yaani uislam upo ulikuepo na utaendelea kuepo mpaka unakufa utauacha
Hizo kelele kelele hazitafanya uislam utoeke hata kwa dawa pole kijana
Nini kilifanya usiende Kanisani wala Msikitini? Ulikuwa dini gani hadi ukaona huna haja ya kwenda kanisani au msikitini😂😂,
Hilo dhehebu lilikuwa linaenda msikitini na kanisani?Nilikuwa kwenye dhehebu moja lisilo amini kwenye Chrismas ILA kukawa na vitu sivielewi vizuri
Baada ya kuwa mtu mzima, nikaona nijipe muda wa kumtafuta Mungu.
Na ujue baadhi ya wahubiri wakitaja mstari pale ukienda kusoma kuanzia mwanzo unakutana na maana tofauti.
USHAURI WANGU NI KUWA PAMOJA NA KUSIKILIZA MAHUBIRI, SOMA, SOMA, SOMA!
Jiulize kwa umri ulio nao umeshasoma kitabu chako unachokiamini walau kwa 50 - 75%% ? au unasubiri mchungaji ataje kamstari kamoja ndio na wewe ukasome?
We dini ganiUkristo na uislam zote ni upuuzi.
Natamani hz dini zenu ziwe modified.
Kila mmoja wenu anajiona bora zaidi ya mwenzie wakati nyie wote ni wa wamoja ktk kuamini maujinga.
Tofauti yenu ni wakristo wanaamini utapeli wa wazungu na waislam wanaamin utapeli wa waarabu.
Mnaishi enzi za AI ila mmezidiwa akili na vitapeli vya karne za giza huko mnatukanana kutetea myth.
Sina dini.We dini gani
Wazazi wako walikuwa/ni wa dini ganiSina dini.
Niite pagani ukipenda.
Basi hiyo vita ya kupinga dini uianze kwa wazazi wako itakuwa na maana sanaMuslims
Tayari mbona.Basi hiyo vita ya kupinga dini uianze kwa wazazi wako itakuwa na maana sana
Ikuwaje embu nismulie kwa kifupiTayari mbona.
Niliwaambia kama mimi ni mtoto wenu na hamtaki niwaachie laana acheni ujinga wa kuamini myth.Mzee akawa mbishi kidogo ila nilivozidi kutishia kuwalaani wakakubali kunisikiliza na kunielewa na sasa mimi,wazazi wangu na ndugu zangu wote ni mapagan.Ikuwaje embu nismulie kwa kifupi
Chai hii unamnywesha nani?Niliwaambia kama mimi ni mtoto wenu na hamtaki niwaachie laana acheni ujinga wa kuamini myth.Mzee akawa mbishi kidogo ila nilivozidi kutishia kuwalaani wakakubali kunisikiliza na kunielewa na sasa mimi,wazazi wangu na ndugu zangu wote ni mapagan.
Na nimewaambia atakayezingua tu namuachia laana.Na kweli atakayerudia dini namuachia laana.
Wewe kuamini si jukumu langu.Chai hii unamnywesha nani?
Kwanza kabisa pole maana mfa maji haachi kutapatapa:Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu
"Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemwisilisha Shetani akawa Muislamu..."
View attachment 3677153
PoaWewe kuamini si jukumu langu.
Happy sunday mkuu.
Kwahiyo proof ya uzuri wa uislamu unaipata kupitia wazungu?Nashukuru tu kwakujua kama makundi kama isis yapo kwakuundwa kwa sababu maalum kabisa
Nchi ulizozitaja zimevamiwa direct toka kwa mataifa fulani hili lipo wazi nawala sio sababu ya kua kisa wazungu wanakua sana waislam
Umeisoma vyema historia ya andalusia kijana na kuja na Conclusion ulokuja nalo au ndio umeamua kutaka kupotosha watu wasiojua
Mwisho wanafiq walikuwepo tokea enzi za s a w na wakajulikana kama maswahaba na hawatakaa waishe mpaka qiama
Kwahio kwenye hao wanaingia kwa uislam wapo wenye nia thabiti kabisa ingawa hao wawili watatu wamchongoma kama unavyowatanabaisha hapo juu
Ila majority ya wazungu wameondokana na dhana potovu ambayo nyie mpaka sasa mnaishikilia juu ya uislam na waislam
Biblia yeyewe wanasema imechakachuliwa ila wakitaka kuhararusha upuuzi wana qoute vifungu kutoka kwenye bibila vya kuwasapoti,vifungu vinavyowapinga wanakataa bibilia wanasema imechakachuliwa.interesting, muslims wote reference yao ni Bible na Christianity, islam haiwezi kusimama yenyewe bila ya kurejea kwenye Biblia halafu mimi ndiyo niifwate "dini" kama hiyo? hakuna mahali kwenye Bible ambapo islam au Muhammad ametajwa wala Yesu hakuwahi kukutana na Muhammad wala kumtaja popote lkn muslims reference yao ni Bible bila ya Bible hawana cha kuongelea, they plagiarized the Bible halafu ndiyo niwaamini?
islam haiwezi kusimama yenyewe bila ya ku-refer to the Bible so would i believe that? ukiwasikiliza akina shehe mwaipopo kila kitu ni wana-refer Biblia, hawana kingine cha kuongelea bila ya Bibilia shehe mwaipopo & co. hni jobles, lkn Christians hawahitaji kuitaja islam popote imejitosheleza na inasimama yenyewe, nawajua muslims wengi tu wana Biblia nyumbani kwao na wanazisoma ili kuleta ubishani lkn simfahamu Christian hata mmoja anayeweka msahafu nyumbani kwake ...
Ukristo na uislam zote ni upuuzi.
Natamani hz dini zenu ziwe modified.
Kila mmoja wenu anajiona bora zaidi ya mwenzie wakati nyie wote ni wa wamoja ktk kuamini maujinga.
Tofauti yenu ni wakristo wanaamini utapeli wa wazungu na waislam wanaamin utapeli wa waarabu.
Mnaishi enzi za AI ila mmezidiwa akili na vitapeli vya karne za giza huko mnatukanana kutetea myth.
Sikiliza boss wangu!UELEWA WAKO WA ELIMU YA USILAM NI SAWA NA UCHUKUE MTOTO WA SHULE YA MSINGI UMPE KITABU CHA CHEMISTRY FORM THREE ASOME. TAFISIRI ATAKAYOITOA 95% ITAKUWA SIO SAHIHI
KWA KUWA ELIMU YAKO JUU YA UISLAM NI NGAZI YA CHEKECHEA, UNGEOMBA UELEKEZWE BADALA YA KUAMINISHA WATU KITU USICHOKUWA NA ELIMU NACHO.....
Mfano; hata ukikariri kuwa, formula ya Sulfuric acid ni H2SO4 haitoshi kusema tayari umeijua chemistry