Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

Endelea kujidanganya,hiyo ndoto inakuhusu wewe kuwa hautofika ukiwa hai 2025, take it from me 100%✓
Muonja asali analalamika kwa kutaka mtoto wake ndio awe yeye wakati huyo mwanae hata uwezo hana pamoja na huyu mwenzake muuza ngada wote hawana uwezo baba zao ndio wanalazimisha watoto wao lazima wawe vinara tupende tusipende
 
Mleta mada aliokota kijikaratasi au note book yaliyoandikwa Mambo ya zamani yanayohusu watu wa zamani akaja kuturingishia hapa.
Haya ni Mambo ya zamani yaliyopitwa na wakati na watu wake.
Kinachowapa watu matumaini ni hiyo tafsiri ya katiba mpya na zamani wakati yalitamkwa maneno haya kabla ya katiba ya Jaji Warioba.
 
Usponsor umejaa uncertainties timing za Kutosha sasa ukijikuta uko Circled na Ndugu zangu wachunga Ngombe lazima tu kichwa kisepe, Ila pia ushawishi kwenye izo entities ni Muhimu sana mimi nimegoma kuamini Rais ambaye ni Full Civilian anaweza kutawala kwa Ubabe hio Haipo.
 
Bado kuwa ni Mifumo ya Check and Balance ni Muhimu sana ili linapokuja swala la nani wa Kumfunga paka Kengele, Liwezekane
 
Kama ndio wenyewe hao uliowataja basi naweza nikahisi hao wanaojiita the state.
 
Huo mfumo ndio unaanza kujengwa na namna bora ya Muungano.
Muungano wa kweli ni serikali moja. Ilitakiwa wote tuwe kitu kimoja, yalifanyika makosa kuruhusu Zanzibar kubaki na utambilisho wake. Mwananchi wa kawaida anahitaji uhakika wa kushiriki katika kujenga uchumi wake na wa taifa katika hali ya utulivu na amani. Haya masuala ya serikali zaidi ya moja ni uchu wa vyeo kwa watawala.
 
Kwahiyo the late nae hakuwa full civilian na ubabe ule?
 
Unaweza ukawa sahihi hasa ulipomuongelea Chief of Station Kiwelu
 
Hii imenifanya nijione uwezo wangu upo chini sana, bila bila yaani!😇
 
yalifanyika makosa kuruhusu Zanzibar kubaki na utambilisho wake.
Kwani ilikuwa ruhusa au makubaliano? au kulikuwa na bwana na mtwana wakati wa kuungana?
 
yalifanyika makosa kuruhusu Zanzibar kubaki na utambilisho wake.
Kwani ilikuwa ruhusa au makubaliano? au kulikuwa na bwana na mtwana wakati wa kuungana?
Kitabu kinasema zibaki mbili kama zilivyo Sasa maana ya katiba sijui itakuwaje!!changamoto zitakuwa zile zile!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…