Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

Kuna "codes" zikifunguka kuhusu
Director
Recrato (I&II)
Logasto (I&II)
Financo (I&II)
Basi ujumbe wote utakuwa wazi kabisa. Kutokana na mtiririko wa matukio, yaelekea;
Director ni mwenyewe ex CEO
Recrato I & II ni BCM na Kapilimba
Logasto I & II ni Rostam na Kinana
Financo I & II ni Mpango na Mwigulu

Lakini zote hizi ni "speculations" tu
 
Jambo moja la dhahiri ni kwamba idara za usalama ziko very powerful kuliko sponser wao na hii ipo hivyo pote duniani kama sponsor ukionyesha kuzingua idara hizi zina idara ya ndani ambayo ndio ALFA NA OMEGA hawa ndio wanao mnyamazisha sponser milele akionyesha kukiuka misingi ya taifa. CORE STATE VALUES. fanya ufanyavyo ukiwa sponsor kuna mstari huwezi kuvuka utakuwa muted tu ikibidi forever. Mifano michache ni john kenedy Yitzhak rabin hata yule mzee wa zanzibar aliepigwa detention kigamboni. Japo walimbakizia oksjen yake. Kwahiyo madaraka ya usponser ni matamu lakini yana watu wanaomu oversee sponsor akizingua wanakula kichwa bila taharuki ya uma nyie mtaambiwa ni presha kumbe ni IDARA NDANI YA IDARA. Michael sata wa zambia nae alikuwa muted baada ya kugundulika ni mtanzania piwa. IDARA NI NYOKO hao watu hawana urafiki na kima wao wanaangalia continuity na safety ya STATE NATION NA COUNTY .
 
Mkuu umeenda deep kweli kweli. Kumbe Sata alikuwa wakwetu? Kennedy yule alipowazingua CIA ile misheni ya Cuba wakaamua kumpoteza. Ila ni muhimu sana kwa nchi kuwa na vyombo vya namna hii ili kudhibiti nguvu za sponsa.
 
Jambo moja la dhahiri ni kwamba idara za usalama ziko very powerful kuliko sponser wao na hii ipo hivyo pote duniani kama sponsor ukionyesha kuzingua idara hizi zina idara ya ndani ambayo ndio ALFA NA OMEGA hawa ndio wanao mnyamazisha sponser milele akionyesha kukiuka misingi ya taifa. CORE STATE VALUES. fanya ufanyavyo ukiwa sponsor kuna mstari huwezi kuvuka utakuwa muted tu ikibidi forever. Mifano michache ni john kenedy Yitzhak rabin hata yule mzee wa zanzibar aliepigwa detention kigamboni. Japo walimbakizia oksjen yake. Kwahiyo madaraka ya usponser ni matamu lakini yana watu wanaomu oversee sponsor akizingua wanakula kichwa bila taharuki ya uma nyie mtaambiwa ni presha kumbe ni IDARA NDANI YA IDARA. Michael sata wa zambia nae alikuwa muted baada ya kugundulika ni mtanzania piwa. IDARA NI NYOKO hao watu hawana urafiki na kima wao wanaangalia continuity na safety ya STATE NATION NA COUNTY .

Kama hivyo ni kweli ilikuwaje wakamuachia Vasco Dagama akawaruhusu HOME SHOPPING CENTRE wakateka state kwa kufanya ufisadi kwa muda mrefu unhindered?
 
Jambo moja la dhahiri ni kwamba idara za usalama ziko very powerful kuliko sponser wao na hii ipo hivyo pote duniani kama sponsor ukionyesha kuzingua idara hizi zina idara ya ndani ambayo ndio ALFA NA OMEGA hawa ndio wanao mnyamazisha sponser milele akionyesha kukiuka misingi ya taifa. CORE STATE VALUES. fanya ufanyavyo ukiwa sponsor kuna mstari huwezi kuvuka utakuwa muted tu ikibidi forever. Mifano michache ni john kenedy Yitzhak rabin hata yule mzee wa zanzibar aliepigwa detention kigamboni. Japo walimbakizia oksjen yake. Kwahiyo madaraka ya usponser ni matamu lakini yana watu wanaomu oversee sponsor akizingua wanakula kichwa bila taharuki ya uma nyie mtaambiwa ni presha kumbe ni IDARA NDANI YA IDARA. Michael sata wa zambia nae alikuwa muted baada ya kugundulika ni mtanzania piwa. IDARA NI NYOKO hao watu hawana urafiki na kima wao wanaangalia continuity na safety ya STATE NATION NA COUNTY .
Mike Sata mmbongo?
 
Wabongo viazi mbatata kabisa. Umbeya na vimajungu mpaka kwenye siasa
 
Back
Top Bottom