Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mimi nilichoelewa hapa Tumia akili alichofanya ni kuandika kuhusu mwanzo wa the state na nini wanataka kwa Sasa. Kweli ni kama Hawa watu Wana jambo lao.Ukiconnect dots na Yoga ni kwamba after mission hatasurvive ataenda kuonana na Yule aliesema ataongoza malaika
Wakuu
'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza.
Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna atakayeharibu.
Recrato ulitolewa kule na umekidhi vigezo. Utashughulika na upatikanaji wa watu. (Upatikanaji ulipokuwa mgumu kwasababu alikuwa nje ya stronghold ikabidi arudishwe tena kuwa namba mbili).
Baadae sana alipewa sifa ya juu kabisa ingawa hakushika nafasi ya juu. Aliendelea na kazi 'on the ground' mpaka alipomkabidhi 'Recrato II' miaka kadhaa kabla hajatangulia.
Logasto, ulifanikisha kazi mbalimbali siku zilizopita. Sasa utashughulikia kuwaunganisha wanaoletwa na Recrato kwa mafunzo. Utahakikisha wanafika kwenye handling ya Financo.
Baadae majukumu yake yalichukuliwa na 'Logasto II'. Hakufanikiwa kuaminika juu ya mawasiliano fulani. Ingawa alinyoosha mikono, lakini vyuma vilipenya.
Financo, wewe ni mkubwa kwa kukaimu, ninataka nikupeleke mbali. Nenda kajifunze namna ya kutunza mfuko wa ogani ili uendelee kukua. Pia utasimamia mafunzo mbali huko.
Aliendelea kufanya kazi mpaka alipokabidhi majukumu kwa 'Financo II'. Alirudi, akaongoza tena muunganiko wa nje. Akapelekwa kwingine na akatangulia akiwa huko.
Baadae ilibidi apatikane atakayeongoza wote. Recrato akafanya kazi hatimaye akapatikana mwanzoni mwa muongo mpya. Akapata mafunzo hapa na huko. In his early 30s akakabidhiwa.
Wanataka sasa kile kitabu cha zamani kiachwe. Kipya kiwe kile kilicholetwa mwanzo lakini kifanyiwe badiliko dogo ndipo kithibitishwe. Idadi zibakie mbili kama zilivyo. Wote kuanzia AIC, SIN na 6IM wamefanya utafiti.
Siku tisini halafu siku nyingine mia themanini tayari. Hii hesabu itaanza baada ya ile ya kustaafu. Next stage (ambayo ilishaandikwa) itakuwa tayari kuanza wakati hapatakuwa na kuendelea kwa haya baada ya hiyo ishara na hiyo hesabu.
Wakati boss anatoka akasema hii imekamilika. Aga kabisa maana hautarudi. Nilishtuka sana maana namfahamu vizuri. Basi hivyo ndio ninafanya. Ninaaga.
Bado naitafakari hii ndoto tangu nilipoamka. Ngoja tuendelee kusubiri.
theState
Mwandishi noma, neno ndoto ni CODE pia. Ukiniambia Uliona MAONO au ulikuwa ktk ULIMWENGU wa ROHO ntakubali maana njia hizo tu ndo unaweza kuandika uloshuhudia Kwa ufasaha.Wakuu

theState.
Taasisi ndani ya taasisi, unatumwa pia nyuma anakuwepo wa kufuta nyayo zako🙂🙂Mwanzoni sijakusoma aisee.
The clinic mkapa aliandika kwenye Kitabu chake kwamba ni pale msasani kwa mwalimu.
Kama hiyo ni sahihi basi ngoja niweke makisio yangu.
Stronghold ndio ngome?
Aliyenyoosha mikono sio Imran kweli?
Mkubwa kwa kukaimu hawezi kuwa Mahiga?
Huyo aliyerudishwa akawa namba mbili halafu tena akawa mkubwa bila nafasi ya juu sio Kiwelu? Nakumbuka huyu alirudi bila kutegemewa miaka ile na kuwa CoS.
Kama hii ndio basi ni taasisi ndani ya taasisi.
Anaanza Kwa kusema '' Miaka 2 Sitaendelea tena'' na MWISHO wakati boss anatoka akasema Aga kabisa maana hautarudi'' Code ingine tena. Ukiona unasoma na kurudia tena na usielewe jua UJUMBE HUJAANDIKIWA wewe, waliokusudiwa wameelewa.Wakuu
'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza.
Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna atakayeharibu.
Recrato ulitolewa kule na umekidhi vigezo. Utashughulika na upatikanaji wa watu. (Upatikanaji ulipokuwa mgumu kwasababu alikuwa nje ya stronghold ikabidi arudishwe tena kuwa namba mbili).
Baadae sana alipewa sifa ya juu kabisa ingawa hakushika nafasi ya juu. Aliendelea na kazi 'on the ground' mpaka alipomkabidhi 'Recrato II' miaka kadhaa kabla hajatangulia.
Logasto, ulifanikisha kazi mbalimbali siku zilizopita. Sasa utashughulikia kuwaunganisha wanaoletwa na Recrato kwa mafunzo. Utahakikisha wanafika kwenye handling ya Financo.
Baadae majukumu yake yalichukuliwa na 'Logasto II'. Hakufanikiwa kuaminika juu ya mawasiliano fulani. Ingawa alinyoosha mikono, lakini vyuma vilipenya.
Financo, wewe ni mkubwa kwa kukaimu, ninataka nikupeleke mbali. Nenda kajifunze namna ya kutunza mfuko wa ogani ili uendelee kukua. Pia utasimamia mafunzo mbali huko.
Aliendelea kufanya kazi mpaka alipokabidhi majukumu kwa 'Financo II'. Alirudi, akaongoza tena muunganiko wa nje. Akapelekwa kwingine na akatangulia akiwa huko.
Baadae ilibidi apatikane atakayeongoza wote. Recrato akafanya kazi hatimaye akapatikana mwanzoni mwa muongo mpya. Akapata mafunzo hapa na huko. In his early 30s akakabidhiwa.
Wanataka sasa kile kitabu cha zamani kiachwe. Kipya kiwe kile kilicholetwa mwanzo lakini kifanyiwe badiliko dogo ndipo kithibitishwe. Idadi zibakie mbili kama zilivyo. Wote kuanzia AIC, SIN na 6IM wamefanya utafiti.
Siku tisini halafu siku nyingine mia themanini tayari. Hii hesabu itaanza baada ya ile ya kustaafu. Next stage (ambayo ilishaandikwa) itakuwa tayari kuanza wakati hapatakuwa na kuendelea kwa haya baada ya hiyo ishara na hiyo hesabu.
Wakati boss anatoka akasema hii imekamilika. Aga kabisa maana hautarudi. Nilishtuka sana maana namfahamu vizuri. Basi hivyo ndio ninafanya. Ninaaga.
Bado naitafakari hii ndoto tangu nilipoamka. Ngoja tuendelee kusubiri.
theState.
Hatari sana maana Hapo hakuna namna ya Kugeuza maagizo. Ni kama Hii taasisi alianzisha mwalimu kusimama behind the scenes kuhakikisha wale Rasmi hawaendi kusikofaa.Taasisi ndani ya taasisi, unatumwa pia nyuma anakuwepo wa kufuta nyayo zako🙂🙂
Anaanza Kwa kusema '' Miaka 2 Sitaendelea tena'' na MWISHO wakati boss anatoka akasema Aga kabisa maana hautarudi'' Code ingine tena. Ukiona unasoma na kurudia tena na usielewe jua UJUMBE HUJAANDIKIWA wewe, waliokusudiwa wameelewa.
Nchi hii IPO juu sana ktk mambo hayo. Yule jamaa kutaka atawale kinyume Cha KITABU ni challenge ndomana ni lazima wakuu wapunguziwe nguvu kupitia KITABU kipya.Hatari sana maana Hapo hakuna namna ya Kugeuza maagizo. Ni kama Hii taasisi alianzisha mwalimu kusimama behind the scenes kuhakikisha wale Rasmi hawaendi kusikofaa.
Kumbuka inafanana na miaka 2 tangu importation ya chanjo ya kwanza ''tunatikiswa tena'' ni ''Same message, different messengers.''TTatizo ni Miaka miwili tangu lini ndio hatoendelea!!?tangu 2021 au mwaka huu 2022!!?code Hapo ndio kali Sana!!
Alitaka kubadilisha Kitabu ili aendelee mpaka achoke Sasa ikabidi apumzike kwa amani. Mfumo Inaonekana Umekaa vizuri kwenye Eneo hili.Nchi hii IPO juu sana ktk mambo hayo. Yule jamaa kutaka atawale kinyume Cha KITABU ni challenge ndomana ni lazima wakuu wapunguziwe nguvu kupitia KITABU kipya.
Ametoa succession plan matata ambayo itaendelea baada ya yeye Kama mkuu wao...Hao wengine wamekuwa trained kwa muda mrefu somuwea....Kisha wanatakiwa wawa groom na wengine ndani na nje baada ya kuwa scrutinize....Eti na mimi najidai najua, daah wajuaji sisi kumbe speculations tu hizi....Hizi ni hadithi za paukwa pakawa zinasaidia sana sana kutuondolea stress wengi wetu tunaotamani taifa hili lifike sumuwea!Yaani mimi nilichoelewa hapa Tumia akili alichofanya ni kuandika kuhusu mwanzo wa the state na nini wanataka kwa Sasa. Kweli ni kama Hawa watu Wana jambo lao.
Huyu atakuwa ndio Mkuu Wao kweli? ninaona anamtaja Boss mwingine. Lakini Kama kweli wapo kwa maslahi ya Nchi ninadhani ni watu Wa muhimu sana.Ametoa succession plan matata ambayo itaendelea baada ya yeye Kama mkuu wao...Hao wengine wamekuwa trained kwa muda mrefu somuwea....Kisha wanatakiwa wawa groom na wengine ndani na nje baada ya kuwa scrutinize....Eti na mimi najidai najua, daah wajuaji sisi kumbe speculations tu hizi....Hizi ni hadithi za paukwa pakawa zinasaidia sana sana kutuindolea stress wengi wetu tunaotamani taifa jili liwe sumuwea!
17/3/2021 waliweka mambo sawa heko kwaoHuyu atakuwa ndio Mkuu Wao kweli? ninaona anamtaja Boss mwingine. Lakini Kama kweli wapo kwa maslahi ya Nchi ninadhani ni watu Wa muhimu sana.
'' Idadi zibakie mbili kama zilivyo'' ndo penye utata hapo. KRM alitaka iwe 1 by mwl ndo akapendekeza 2, Nia ilikuwa baadae tuje kuwa na moja, bt tunavoelekea pwani wanazidi kujiimarisha. Kwa Hal ilivyo sasa 3 hazikwepeki. Hata huyo ajaye ni muumini wa bendera iliyokuwa inapepea nyumbani Kwa mchungaj alitangulia mbele za HAKI Kwa ajali ya gar ya mchongo.Wakuu
'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza.
Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna atakayeharibu.
Recrato ulitolewa kule na umekidhi vigezo. Utashughulika na upatikanaji wa watu. (Upatikanaji ulipokuwa mgumu kwasababu alikuwa nje ya stronghold ikabidi arudishwe tena kuwa namba mbili).
Baadae sana alipewa sifa ya juu kabisa ingawa hakushika nafasi ya juu. Aliendelea na kazi 'on the ground' mpaka alipomkabidhi 'Recrato II' miaka kadhaa kabla hajatangulia.
Logasto, ulifanikisha kazi mbalimbali siku zilizopita. Sasa utashughulikia kuwaunganisha wanaoletwa na Recrato kwa mafunzo. Utahakikisha wanafika kwenye handling ya Financo.
Baadae majukumu yake yalichukuliwa na 'Logasto II'. Hakufanikiwa kuaminika juu ya mawasiliano fulani. Ingawa alinyoosha mikono, lakini vyuma vilipenya.
Financo, wewe ni mkubwa kwa kukaimu, ninataka nikupeleke mbali. Nenda kajifunze namna ya kutunza mfuko wa ogani ili uendelee kukua. Pia utasimamia mafunzo mbali huko.
Aliendelea kufanya kazi mpaka alipokabidhi majukumu kwa 'Financo II'. Alirudi, akaongoza tena muunganiko wa nje. Akapelekwa kwingine na akatangulia akiwa huko.
Baadae ilibidi apatikane atakayeongoza wote. Recrato akafanya kazi hatimaye akapatikana mwanzoni mwa muongo mpya. Akapata mafunzo hapa na huko. In his early 30s akakabidhiwa.
Wanataka sasa kile kitabu cha zamani kiachwe. Kipya kiwe kile kilicholetwa mwanzo lakini kifanyiwe badiliko dogo ndipo kithibitishwe. Idadi zibakie mbili kama zilivyo. Wote kuanzia AIC, SIN na 6IM wamefanya utafiti.
Siku tisini halafu siku nyingine mia themanini tayari. Hii hesabu itaanza baada ya ile ya kustaafu. Next stage (ambayo ilishaandikwa) itakuwa tayari kuanza wakati hapatakuwa na kuendelea kwa haya baada ya hiyo ishara na hiyo hesabu.
Wakati boss anatoka akasema hii imekamilika. Aga kabisa maana hautarudi. Nilishtuka sana maana namfahamu vizuri. Basi hivyo ndio ninafanya. Ninaaga.
Bado naitafakari hii ndoto tangu nilipoamka. Ngoja tuendelee kusubiri.
theState.
Mzee mtikila alikuwa chama GANI VILE!!!? Halafu Pole pole Sio wa kubeza ni kama ana mishe za kimkakati!!!maswala ya mpinga kristo aliwahi kuyazungumza na utawala wa yesu hapa DUNIANI!!labda Mawazo ya Pole pole yapo kichwani mwako Rabbon!'' Idadi zibakie mbili kama zilivyo'' ndo penye utata hapo. Mwl alitaka iwe KRM alitaka iwe 1 by mwl ndo akapendekeza 2, Nia ilikuwa baadae tuje kuwa na moja, bt tunavoelekea pwani wanazidi kujiimarisha. Kwa Hal ilivyo sasa 3 hazikwepeki. Hata huyo ajaye ni muumini wa bendera iliyokuwa inapepea nyumbani Kwa mchungaj alitanguliza mbele za HAKI Kwa ajali.
Duh mnazidi kunichanganya. Pohamba ndiye master wa code ngumu. Pohamba saidia sisiMwanzoni sijakusoma aisee.
The clinic mkapa aliandika kwenye Kitabu chake kwamba ni pale msasani kwa mwalimu.
Kama hiyo ni sahihi basi ngoja niweke makisio yangu.
Stronghold ndio ngome?
Aliyenyoosha mikono sio Imran kweli?
Mkubwa kwa kukaimu hawezi kuwa Mahiga?
Huyo aliyerudishwa akawa namba mbili halafu tena akawa mkubwa bila nafasi ya juu sio Kiwelu? Nakumbuka huyu alirudi bila kutegemewa miaka ile na kuwa CoS.
Kama hii ndio basi ni taasisi ndani ya taasisi.
Haki JF toa mada tu, muendelezo utapata. Nimepata pakuanziaNilichodecode ni
AIC ni CIA
SIN ni NIS
6IM ni MI6
Hizi ni idara za Usalama ambako hao jamaa tajwa (vijana) wamepata mafunzo
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Huijui bendera ilikuwa inapepea nyumbani kwake yule mzee? Ina RANGI NYEUSI, NJANO na KIJANI.Mzee mtikila alikuwa chama GANI VILE!!!? Halafu Pole pole Sio wa kubeza ni kama ana mishe za kimkakati!!!maswala ya mpinga kristo aliwahi kuyazungumza na utawala wa yesu hapa DUNIANI!!labda Mawazo ya Pole pole yapo kichwani mwako Rabbon!
Slow slow hayupo mjengoni, pia muda wa kuifungua seal hiyo ya ajaye Bado Ili kumpunguzia mashambulizi.Huijui bendera ilikuwa inapepea nyumbani kwake yule mzee? Ina RANGI NYEUSI, NJANO na KIJANI.