Jambo moja la dhahiri ni kwamba idara za usalama ziko very powerful kuliko sponser wao na hii ipo hivyo pote duniani kama sponsor ukionyesha kuzingua idara hizi zina idara ya ndani ambayo ndio ALFA NA OMEGA hawa ndio wanao mnyamazisha sponser milele akionyesha kukiuka misingi ya taifa. CORE STATE VALUES. fanya ufanyavyo ukiwa sponsor kuna mstari huwezi kuvuka utakuwa muted tu ikibidi forever. Mifano michache ni john kenedy Yitzhak rabin hata yule mzee wa zanzibar aliepigwa detention kigamboni. Japo walimbakizia oksjen yake. Kwahiyo madaraka ya usponser ni matamu lakini yana watu wanaomu oversee sponsor akizingua wanakula kichwa bila taharuki ya uma nyie mtaambiwa ni presha kumbe ni IDARA NDANI YA IDARA. Michael sata wa zambia nae alikuwa muted baada ya kugundulika ni mtanzania piwa. IDARA NI NYOKO hao watu hawana urafiki na kima wao wanaangalia continuity na safety ya STATE NATION NA COUNTY .