Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

Aliwah kusema kuwa mama ni mpitaji tu yupo atakae kuja kuishika vema nchi.

Ni mwaka 2020 tena may kbla ya uchaguzi kabla ya kifo cha CHUMA kabla ya mpango kuwa namba 2. Kabla ya kila kitu alijua haya
 
Ni bora sasa haya mambo yakawa tu kupanguana kisiasa isiwe tena vifo vya viongozi. Ni hatari sana kwa utulivu wa nchi kwasbb wanasiasa mara zote n waroho sana hawataona shida kutafuta upenyo kweny haya.

Vyovyote iwavyo TUMIA AKILI amekua km macho yetu ya kesho kwenye uongozi wa taifa letu. Sijui ni nani huyu mtu
 
Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna atakayeharibu.

Ujumbe wa msingi hapa ni huu

"miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani."

Inamaan 2025 ataachia wengine au ndio FDR atakuja na miaka 12. Au raisi ambaye hajawah kugombea umakamu na uraisi neema inamwangukia kuwa raisi..??

Je ni mwaka huu 2024? Kwasbb alisema miaka miwili ijayo sitaendelea au anaachia tu 2025..??
 
Kwani yeye ni kwa kiasi gani hahusiki na utekaji?

Kama hahusiki na utekaji na mauaji je ni kwa kiasi gani ameonyesha kukerwa nao?

Je wateule wake amewawajibisha kwa kiasi gani?

Je ametoa hotuba yoyote ya kukemea au wenye kufanya huu unyama?

Kama sivyo basi atakuwa hatengenezewi mazingira na mtu ila ni yeye mwenyewe anajitengenezea mazingira ya kujichafua imagine yake ndani na nje ya nchi.
 

Kuna kete ngumu sana zinasogezwa yeye mwenyewe kwa kujua na kuna kete ngumu zaidi zinasogezwa bila kujua nani anasogeza.

Baada ya watoto pendwa kutenguliwa mwezi uliopita wiki moja baadae makamu wake kichama akajivua wadhifa, from there ni mipango after mipango na kete zinasogezwa pole pole tu, nani atamuwahi mwenzake?? Nani atawahi kufika kingi??

Yale yote aliyoyapinga aliposhika hatamu, ndio yale yote aliyoyakataza late CEO na ndio anayafanya yeye pia sasa hivi. Yeyote atakayempinga ama zake ama za mpingaji. Tengua tengua hizi ni maandalizi ya kukabiliana na 2025,

Alikuwa chini ya uongozi inayoongoza nchi nje ya kitabu, kama binadamu wengine uvumilivu ukifika mwisho hakuna wa kuzuia shari ya mtu huyu kirahisi hasa akiwa na mamlaka makubwa au mwenye pesa nyingi.

Wale wafugaji walioandamana masikuu huko nyuma (Kete Ngumu)

Utekaji wa watu mashuuri na vifo vyao (Kete Ngumu)

Changamoto za SGR (Kete Ngumu)

Waropokoji kuhusu hali ya october, 2022, ukianza na Pena kabla ya kutenguliwa kuhusu namna chaguzi zinavyofanyika (Kete Ngumu), mkuu wa wilaya yule wanapotoka wafugaji (Kete Ngumu)

Ni mambo yanatokea kwa mfumo wa bahati mbaya ila behind the scene hakuna bahati mbaya.

Ukitazama matukio haya hajitokezi hadhari kuzungumzia, Kwa nini?? Alijifunza kwa late CEO, haina haja ya kunufaisha maadui hata kama wanakuumiza dawa na kulilia chumbani, ili wasione kama wamekugusa.

Kete zinasogezwa kwa pande zote mbili, NANI ATAWAHI KUINGIA KINGI”,.
 
Aiseee hatari, I ila hizi kete nahisi zinaumiza upande ambao kwa wachezaji wa kete hawaumii, Iaiti kete zingekuwa zinahusika na kwa kampuni ya Green nao kutekwa tungeona kuna watu wako serious hasa na kumaliza mechi...
 
Aiseee hatari, I ila hizi kete nahisi zinaumiza upande ambao kwa wachezaji wa kete hawaumii, Iaiti kete zingekuwa zinahusika na kwa kampuni ya Green nao kutekwa tungeona kuna watu wako serious hasa na kumaliza mechi...

Kwenye mchakato hakuna anayeumia baina ya pande mbili hizi kwa ngazi za juu, ila baada ya mchakato kuna maumivu makali sana kwa upande utakaoshindwa.

Umewahi kukutana aliyewahi kumiliki mali nyingi akafilisika hali yake iko vipi? Hivi ndivyo atakayechelewa kuingia kingi ataumia.

Kwenye mchakato wasioelewa hali ndio wataumia, baada ya mchakato kwisha wakuu wa juu ndio wakati wao.
 
Aiseee,
Mungu asaidie kuvuka na kubaki salama, Mungu asaidie kuangukia kwa Wazalendo, wapenda haki, atuepushe kubaki/kuangukia mikononi mwa wahuni.
 
Hivi kila mtu akiandika mifumbo humu tutaelewana why mtu uandike mifumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…