Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

Umeshaaga mkuu hutoandika tena Sio!!
 
Hii ngoma unaweza kurudia mara kumi na bado kila unapoona umeelewa kumbe ndio unapotea! Katiba mpya pekee ndio wengi wamenasa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Namba mbili aliyerudishwa ipo clear kwa wanaofutilia matukio ya hivi karibuni...Huyo ndipo tumaini lipo kwake, tumwombee asikengeuke 🙏
 
Ok okay...Ahsante now I understand, yangu ni kuendelea kuwaombea ili uratibu huu usitibuliwe na wana wa uasi....kila la heri wana wa Tanzania!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataman nkujue ndugu yangu mana tumekua wafuatiliaji wazuri sana wa maona ya kaka tumia akili na uko sahihi sana ni vyema hii elimu au taaluma wakalithisha wengine kwa maslahi mapana ya taifa
 
Hawa jamaa watatuua humu jamvini Wana akili kama MAJINI vile hatari TUPU AISEH!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…