Yule mzee sio YEYE! KUMBE mnahisi ATAKUWA anampigia chapuo mwanae na ile uzi yake ya NCHI inaongozwa na aliye NYUMBANI waliopo OFISINI hawajui wafanye nini!!akaongeza kuwa AJAYE ni muislamu tena mwenye NGUVU kama jpm!!!?Ninahisi ni yeye huyu, kama ilivyo Magamba matatu = Makamba senior.
Elimu ya matumizi ya code yanahitajika sana kwenye hizi mada unless otherwise kunguni kama hawa watatuharibia kwenye uziUnaweza kufuta hii post yako mkuu!?
Sahihi mkuuElimu ya matumizi ya code yanahitajika sana kwenye hizi mada unless otherwise kunguni kama hawa watatuharibia kwenye uzi
Hahahahaha [emoji1] [emoji1787] [emoji23]Tumia akili na yoga wanatupiga mande
Mkuu umeenda deep kweli kweli. Kumbe Sata alikuwa wakwetu? Kennedy yule alipowazingua CIA ile misheni ya Cuba wakaamua kumpoteza. Ila ni muhimu sana kwa nchi kuwa na vyombo vya namna hii ili kudhibiti nguvu za sponsa.Jambo moja la dhahiri ni kwamba idara za usalama ziko very powerful kuliko sponser wao na hii ipo hivyo pote duniani kama sponsor ukionyesha kuzingua idara hizi zina idara ya ndani ambayo ndio ALFA NA OMEGA hawa ndio wanao mnyamazisha sponser milele akionyesha kukiuka misingi ya taifa. CORE STATE VALUES. fanya ufanyavyo ukiwa sponsor kuna mstari huwezi kuvuka utakuwa muted tu ikibidi forever. Mifano michache ni john kenedy Yitzhak rabin hata yule mzee wa zanzibar aliepigwa detention kigamboni. Japo walimbakizia oksjen yake. Kwahiyo madaraka ya usponser ni matamu lakini yana watu wanaomu oversee sponsor akizingua wanakula kichwa bila taharuki ya uma nyie mtaambiwa ni presha kumbe ni IDARA NDANI YA IDARA. Michael sata wa zambia nae alikuwa muted baada ya kugundulika ni mtanzania piwa. IDARA NI NYOKO hao watu hawana urafiki na kima wao wanaangalia continuity na safety ya STATE NATION NA COUNTY .
Jambo moja la dhahiri ni kwamba idara za usalama ziko very powerful kuliko sponser wao na hii ipo hivyo pote duniani kama sponsor ukionyesha kuzingua idara hizi zina idara ya ndani ambayo ndio ALFA NA OMEGA hawa ndio wanao mnyamazisha sponser milele akionyesha kukiuka misingi ya taifa. CORE STATE VALUES. fanya ufanyavyo ukiwa sponsor kuna mstari huwezi kuvuka utakuwa muted tu ikibidi forever. Mifano michache ni john kenedy Yitzhak rabin hata yule mzee wa zanzibar aliepigwa detention kigamboni. Japo walimbakizia oksjen yake. Kwahiyo madaraka ya usponser ni matamu lakini yana watu wanaomu oversee sponsor akizingua wanakula kichwa bila taharuki ya uma nyie mtaambiwa ni presha kumbe ni IDARA NDANI YA IDARA. Michael sata wa zambia nae alikuwa muted baada ya kugundulika ni mtanzania piwa. IDARA NI NYOKO hao watu hawana urafiki na kima wao wanaangalia continuity na safety ya STATE NATION NA COUNTY .
Mike Sata mmbongo?Jambo moja la dhahiri ni kwamba idara za usalama ziko very powerful kuliko sponser wao na hii ipo hivyo pote duniani kama sponsor ukionyesha kuzingua idara hizi zina idara ya ndani ambayo ndio ALFA NA OMEGA hawa ndio wanao mnyamazisha sponser milele akionyesha kukiuka misingi ya taifa. CORE STATE VALUES. fanya ufanyavyo ukiwa sponsor kuna mstari huwezi kuvuka utakuwa muted tu ikibidi forever. Mifano michache ni john kenedy Yitzhak rabin hata yule mzee wa zanzibar aliepigwa detention kigamboni. Japo walimbakizia oksjen yake. Kwahiyo madaraka ya usponser ni matamu lakini yana watu wanaomu oversee sponsor akizingua wanakula kichwa bila taharuki ya uma nyie mtaambiwa ni presha kumbe ni IDARA NDANI YA IDARA. Michael sata wa zambia nae alikuwa muted baada ya kugundulika ni mtanzania piwa. IDARA NI NYOKO hao watu hawana urafiki na kima wao wanaangalia continuity na safety ya STATE NATION NA COUNTY .
Kwao taboraMike Sata mmbongo?
Swali zuri.Kama hivyo ni kweli ilikuwaje wakamuachia Vasco Dagama akawaruhusu HOME SHOPPING CENTRE wakateka state kwa kufanya ufisadi kwa muda mrefu unhindered?
Ndugu zake wakapotezea?Kwao tabora
Hatari na ½Kwao tabora
Ndugu zake wakapotUnaju?
Ndugu zake wa bongoland wakapotezea?Unajua nguvu ya ile idara lakini?
Hata kama unajua, unapiga kimya tu hahahaNdugu zake wa bongoland wakapotezea?