Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

Wakuu

'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza.

Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna atakayeharibu.

Recrato ulitolewa kule na umekidhi vigezo. Utashughulika na upatikanaji wa watu. (Upatikanaji ulipokuwa mgumu kwasababu alikuwa nje ya stronghold ikabidi arudishwe tena kuwa namba mbili).

Baadae sana alipewa sifa ya juu kabisa ingawa hakushika nafasi ya juu. Aliendelea na kazi 'on the ground' mpaka alipomkabidhi 'Recrato II' miaka kadhaa kabla hajatangulia.

Logasto, ulifanikisha kazi mbalimbali siku zilizopita. Sasa utashughulikia kuwaunganisha wanaoletwa na Recrato kwa mafunzo. Utahakikisha wanafika kwenye handling ya Financo.

Baadae majukumu yake yalichukuliwa na 'Logasto II'. Hakufanikiwa kuaminika juu ya mawasiliano fulani. Ingawa alinyoosha mikono, lakini vyuma vilipenya.

Financo, wewe ni mkubwa kwa kukaimu, ninataka nikupeleke mbali. Nenda kajifunze namna ya kutunza mfuko wa ogani ili uendelee kukua. Pia utasimamia mafunzo mbali huko.

Aliendelea kufanya kazi mpaka alipokabidhi majukumu kwa 'Financo II'. Alirudi, akaongoza tena muunganiko wa nje. Akapelekwa kwingine na akatangulia akiwa huko.

Baadae ilibidi apatikane atakayeongoza wote. Recrato akafanya kazi hatimaye akapatikana mwanzoni mwa muongo mpya. Akapata mafunzo hapa na huko. In his early 30s akakabidhiwa.

Wanataka sasa kile kitabu cha zamani kiachwe. Kipya kiwe kile kilicholetwa mwanzo lakini kifanyiwe badiliko dogo ndipo kithibitishwe. Idadi zibakie mbili kama zilivyo. Wote kuanzia AIC, SIN na 6IM wamefanya utafiti.

Siku tisini halafu siku nyingine mia themanini tayari. Hii hesabu itaanza baada ya ile ya kustaafu. Next stage (ambayo ilishaandikwa) itakuwa tayari kuanza wakati hapatakuwa na kuendelea kwa haya baada ya hiyo ishara na hiyo hesabu.

Wakati boss anatoka akasema hii imekamilika. Aga kabisa maana hautarudi. Nilishtuka sana maana namfahamu vizuri. Basi hivyo ndio ninafanya. Ninaaga.

Bado naitafakari hii ndoto tangu nilipoamka. Ngoja tuendelee kusubiri.

theState.
Wamekupoteza na wewe?
 
Master NAMBA MOJA AJAYE NCHINI, Rabbon, The MoNA Tumia akili britanicca, TUJITEGEMEE, TumainiEl nk nk,
Kwenye uhalisia hawa ni akina nani?
1. Retractor.
2. Rectracto ii.
3. Logastor.
4. Financo.
5. Financo ii.
6. Director?
 
Tunangoja sana hizi hesabu kama zitatimia kweli.
Hazitotimia coz aliepewa atimize keshaharibu ,ndio maana wakaja na Uzi "usaliti wa.jemadari wa marekani"

Kwenye huo Uzi Kuna sentence hii"original plan in and out,Desert mission"

Original plan ni ipi!!?ni ule uzi wa mwanzo kabisa"Raise ambaye hajawahi kugombea ilitokea marekani itatokea na huku"

Kwanini operation ilisitishwa !!?walifikiri mtajwa angetimiza matakwa(maagizo) yao lakini mtajwa kayatimiza baadhi,lakini agizo mojawapo lilikua hili"uchaguzi was serikali za mitaa na ule mkuu usubiri katiba mpya"

Yeye kafanyaje ,kupitia waziri wa Tamisemi katangaza ratiba ya uchaguzi wa serikali za mitaa bila katiba mpya!!
Sisi wanajamhuri tunasubiri kitakachojiri kabla uchaguzi wa mitaa na ule mkuu ujao!

Soma "operation imesitishwa the state wamesema apewe muda"

Hii tengua teua nadhani ni mashaka ya mteuzi na kuchanganyikiwa coz anajua anapambana na unknowns!!?how !!!?anakosanishwa na marafiki Ili wawe maadui halafu anawarudia maadui wa zamani na hao maadui wa zamani ndio wamebeba ajenda kuu ya the state!yaani hao ndio wataenda kutekeleza mission Yao vizuri kuliko marafiki zake aliowatengua!!

HIZI NI NADHARIA TU ZA MLIPA KODI!!SIO ANDIKO HALISI!
 
Aiseee, draft linaendelea kuchezwa na kete kusukumwa.
 
KAZI yetu ni kusoma trend reading TU!

Recrato = upatikanaji wa watu ulipokua mgumu,alirudishwa Tena kwenye stronghold kama namba mbili japo hakuwa mkuu!! Huyo ni mama yetu huyu aliepo Sasa hapo stronghold!

Kwanini,kwasababu alipopewa jukum la kusimamia katiba aliishindwa kutafuta watu wa kuipush ajenda ile ikakamilika ndio Maana alirudishwa kama namba mbili(makam) kipindi Cha awamu ya tano akafanya kazi iliyotukuka Hadi akawa namba moja ndio akapewa jukum la kumalizia lakini ndio hivyo ameacha kumalizia kabla ya uchaguzi!!!

Najaribu!
 
Huo hapo chini.

Wakuu

Mwaka 1779 jenerali wa Marekani, Benedict Arnold, alianza kuingia makubaliano ya usaliti na majeshi ya uingereza ili kuwasaidia kushinda vita kule Marekani.

Mkakati wake kudhoofisha ngome pale New York uligundulika na aliyekuwa handler wake upande wa uingereza meja John Andre alikamatwa na majeshi ya Marekani na kunyongwa.

Upande wa pili nikawa nimeingia ofisini kwa director nikakuta mazungumzo fulani nikahitaji ufafanuzi.

Nikauliza mbona ilisitishwa? Akajibu, "that's above your paycheck". Nikamwambia hata bado hajastaafishwa akajibu, "JAL 1 is done, 2 and 3 are next".

Nikasema mbona kitabu na fdr hamna dalili akasema stop huku akinionesha nitoke pale ofisini. Basi nikainuka na kusema nilishaaga akajibu, "taarifa zinatoka juu kuja chini".

Akabonyeza namba kwenye simu wakati namalizia kutoka nikasikia anatamka "code PJLK, next stage is ON, desert mission, original plan, over and out."

Nilisikia mlango unagongwa kumbe ni binti yangu aliyekuwa anatoka alfajiri. Hapo nikajua kumbe ilikuwa ni ndoto.

Just a few days.
theState.
 
KAZI yetu ni kusoma trend reading TU!

Recrato = upatikanaji wa watu ulipokua mgumu,alirudishwa Tena kwenye stronghold kama namba mbili japo hakuwa mkuu!! Huyo ni mama yetu huyu aliepo Sasa hapo stronghold!

Kwanini,kwasababu alipopewa jukum la kusimamia katiba aliishindwa kutafuta watu wa kuipush ajenda ile ikakamilika ndio Maana alirudishwa kama namba mbili(makam) kipindi Cha awamu ya tano akafanya kazi iliyotukuka Hadi akawa namba moja ndio akapewa jukum la kumalizia lakini ndio hivyo ameacha kumalizia kabla ya uchaguzi!!!

Najaribu!
Sawa shukurani mkuu, basi Rectrato nilidhani ni Mzee Mabendera, kumbe nilipigwa chenga.
 
Sawa shukurani mkuu, basi Rectrato nilidhani ni Mzee Mabendera, kumbe nilipigiwa chenga
Unaweza ukawa sahihi au lah!tuna bashiri TU!

"Aliendelea Hadi alipomkabidhi Recrato Ii kabla hajatangulia!!it means atakabidhi Kwa mwingine mchakato huu halafu atatangulia !!!?kutangulia wapi!!?nadhani ni kule ambapo Huwa hawarudi!!?

Nafikiria tu!
 
Aiseee hatari sana kwa maslahi ya wengi na taifa, ila Tumia Akili ana Code matata sana, sisi raia wa huku Bush bush ngumu kuvunja vunja codes zake, ila kupitia comment zako NAMBA MOJA AJAYE NCHINI na wengine kuna kuona kivuli kwa mbaaaali.
 
“code PJLK, next stage is ON, desert mission, original plan, over and out."

Original plan ilikua FDR na hesabu ya miaka 12 kujirudia kwetu. Mtu mpole, smart, intelligent na mwenye uwezo.

Next stage is on, lbd kupata sababu za kumpt mwingine au aliyekusudiwa hivyo kuanza kuratibu mipango huwenda kumgombanisha na wapiga kura au lbd ndio haya ya kutekana na kuuwana ili raia wasimsikilize kbsa au maandamano yanayopangwa kufanyik ili kuweka pressure sn.

Desert mission, jangwa ni sehem yenye mchanga isiyo na miti. Lbd ndio hasa ya kukata miti(kuteka na kuua) ili kuleta pressure ya raia kureact against gavo.. ili wapate mwanya wa kukamilisha original plan..??

Hatahivyo it’s above my paycheck
 
Iliandikwa hapa NEXT STAGE

“Siku tisini halafu siku nyingine mia themanini tayari. Hii hesabu itaanza baada ya ile ya kustaafu. Next stage (ambayo ilishaandikwa) itakuwa tayari kuanza wakati hapatakuwa na kuendelea kwa haya baada ya hiyo ishara na hiyo hesabu.”
 
Back
Top Bottom