Kitabu kipya: Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania

Mzee Mohamed Said, unajidhalilisha kwa maneno yako mwenyewe kwamba hujui tafsiri ya cover ya kitabu chako!
Watu wanao design cover ya kitabu kwa kawaida hupewa short synopsis toka kwa author kuhusu overall mood, tone na theme ya kitabu husika. Hizi components husaidia kutengeneza cover nzuri ya kitabu yenye ujumbe wenye afya. Ikiwa huna unalojua kuhusu cover ya kitabu chako basi wewe ni bogus!
Imagine upo ana kwa ana na mtangazaji wa TV anakurushia swali kuhusu tafsiri ya cover ya kitabu chako kisha unajibu kuwa huna ulijualo labda aulizwe publisher!

Sent using Jamii Forums mobile app
Iselemagazi,
Hayo niliyoeleza ndiyo kweli sina sababu ya kusema uongo hata kama wewe utasema kuwa kwa kuwa sijui cover ya kitabu changu mimi ni ''bogus.''

Lakini wachapaji wa vitabu na kazi nyingine ambazo nimepata kufanya na wao naamini ukiwauliza kama mimi ni mbabaishaji watakwambia Oxford Universty Press haingii ila mtu wa namna yao.

Kwa hiyo sina wasiwasi na vipi unavyoniona.
Kwa hakika sijapatapo hata siku moja kuulizwa kuhusu cover ya kitabu changu.

Mwalimu wangu Sheikh Haruna Fakir kanifunza.

Sheikh Haruna anasema kama hujui kitu sema hujui wala si ujinga kutokujua jambo na kama huyo akuulizae yeye ni mjuzi basi muombe akufunze.

Akasema ikiwa hujui jambo na ukajidai unalijua na ukataka uonekane unalijua mwisho wake ni fedheha kwani katika ubabaishaji wako katika kutaka kulivaa joho lisokuwa lako halitokuenea.

Hivyo hata kama mtangazaji wa TV ataniuliza kuhusu cover ya kitabu changu nitamweleza ukweli wangu kuwa sijui awaulize Oxford Unversity Press Nairobi au New York.

Mara nyingi tu katika mahojiano na watangazaji mbalimbali nimetoa jibu kuwa sijui kitu kadha wa kadha na sikupata kuwaona wanashtuka wala mimi sikuhisi nimedhalilika.

Hivi ndivyo alivyonisomesha mwalimu wangu marehemu Sheikh Haruna.
Allah atamlipa kwa yote aliyotufunza wanafunzi wake.

Hapo chini ni cover ya kitabu changu kipya.
Publisher hakuniuliza na nimeipenda.

1578148758734.png
 
Nilimwuliza swali hilo mwanzo hakunijibu. Mara nyingi maandiko yake ni ya kushtumu sana dini ya Nyerere; na anaposema udini, huelekea kuamini kuwa Nyerere aliwaacha waislamu na kuweka watu wa dini yake (wakatoliki). Mara zote neno Udini kwake ana maana ya Ukatoliki dhidi ya Usilamu, na neno kanisa lina maana ya Ukatoliki.

Katika serikali ya Nyerere kulikuwa na wakatoliki wawili tu; Nyerere mwenyewe na George Kahama. Lakini kuna wakati huyu bwana aliwahi kuashilia kuwa Nyerere aliweka Padri wa katoliki kuwa waziri wa Elimu (Padri Simon Chiwanga) kusudi apendelee wakatoliki tu na kuwazima waislamu kielimu. Yaani hakufanya hata utafiti kidogo tu kujua kuwa Chiwanga huyo hakuwa mkatoliki. Yeye anaposikia ukristo anaamani kuwa ni taasisi moja inayopingana na uislamu, yaani hajui kuwa ukiristo una denomination nyingi sana ambazo hazikubali kiitikadi, ni kama uislamu ulivyo na denomination nyingi zisizo kubaliana kiitikadi, mfano Sunni vs Shiite. Kwa mheshimiwa huyu mambo yangekuwa sawa kama nchi yoote ingekuwa inaongozwa na waislamu tu, ingawa sijui huwa anataka waislamu wa namna gani!
Huyu huwa anasikitisha sana. Hilo swali ukimuuliza abadani hakujibu.

Naomba nimkumbushe tena maybe atajibu mzee Mohamed Said unaposema KANISA kwenye hiki kitabu chako unamanisha nini?

Nitashukuru sana ukinijibu hili suala kijana wako tafadhali.
Cc Nguruvi3 JokaKuu Pascal Mayalla Mag3
 
Mtu ambaye kila mara ukiwa na maswali au ukitaka ufafanuzi wa maandishi yake mwenyewe anajibu "soma kitabu majibu yote yamo humo" kama vile hicho kitabu ni msahafu na hautakiwi kudadisiwa ni intellectual fraud. A pretender.
 
Iselemagazi,
Hayo niliyoeleza ndiyo kweli sina sababu ya kusema uongo hata kama wewe utasema kuwa kwa kuwa sijui cover ya kitabu changu mimi ni ''bogus.''

Lakini wachapaji wa vitabu na kazi nyingine ambazo nimepata kufanya na wao naamini ukiwauliza kama mimi ni mbabaishaji watakwambia Oxford Universty Press haingii ila mtu wa namna yao.

Kwa hiyo sina wasiwasi na vipi unavyoniona.
Kwa hakika sijapatapo hata siku moja kuulizwa kuhusu cover ya kitabu changu.

Mwalimu wangu Sheikh Haruna Fakir kanifunza.

Sheikh Haruna anasema kama hujui kitu sema hujui wala si ujinga kutokujua jambo na kama huyo akuulizae yeye ni mjuzi basi muombe akufunze.

Akasema ikiwa hujui jambo na ukajidai unalijua na ukataka uonekane unalijua mwisho wake ni fedheha kwani katika ubabaishaji wako katika kutaka kulivaa joho lisokuwa lako halitokuenea.

Hivyo hata kama mtangazaji wa TV ataniuliza kuhusu cover ya kitabu changu nitamweleza ukweli wangu kuwa sijui awaulize Oxford Unversity Press Nairobi au New York.

Mara nyingi tu katika mahojiano na watangazaji mbalimbali nimetoa jibu kuwa sijui kitu kadha wa kadha na sikupata kuwaona wanashtuka wala mimi sikuhisi nimedhalilika.

Hivi ndivyo alivyonisomesha mwalimu wangu marehemu Sheikh Haruna.
Allah atamlipa kwa yote aliyotufunza wanafunzi wake.

Hapo chini ni cover ya kitabu changu kipya.
Publisher hakuniuliza na nimeipenda.

Kama hata book cover ya kitabu chako mwenyewe hujali imetungwa na nani, basi there's a good chance maandishi yako mengi kama vitabu, articles etc ni ghost-written aka wewe siyo Mwandishi halali au original.

Iweje hata maswali ya msingi ya maandishi yako mwenyewe ushindwe kujibu? Kila ukiulizwa swali unang'ang'ania muulizaji asome kitabu. Seriously?
 
Ndjabu...
Hakika cover haijapatapo kunihangaisha hiyo kazi nawaachia publishers.
Mimi ni kuandikika tu ndicho kitu nikijuacho.

Nkrumah alipoanza kuandika Wazungu hawakuamini kuwa ni yeye na nadhani unajua kwa nini waliona hawezi kuwa yeye.

Mwishowe walikuja kuujua ukweli baada ya kuona ule mtiririko wa uandikaji wake haubadiliki.
Ikiwa na mimi umeniona kuwa yuko ''ghost'' mgongoni kwangu...

Umenimithilisha na ''hero,'' wangu Osegafyo.
Nimesoma, ''Challenge of the Congo,'' nikiwa kitoto kidogo sana.

Wenzangu wakistaajabu kwani wao walikuwa bado wanamsoma Enid Blyton

Umenifurahisha sana.
 
Sio kwamba ni dar tu.. Tena msikitini kwa mtoro
Torch,
Kwa kweli mimi hupigwa na mshangao mkubwa sana nikiwasoma watu kama wewe.

Mimi nimenunua vitabu vingi sana Cathedral Bookshop hapo St. Joseph's Church na wala sijasema kitu.

Ibn Hazm duka lake la vitabu hapo Mtoro na Manyema ni kiduka kidogo katika nyumba ya kupanga kipo uchochoro unaounganisha Mtaa wa Narung'ombe na Mtaa wa Mahiwa na wala si ndani ya eneo la msikiti.

Halikadhalika Manyema duka la vitabu liko ubavuni wa nyumba ya kupangisha Mtaa wa Mafia ni frame tu ila zinaangaliana na msikiti.

Ingekuwaje laiti Mungu angejaalia Cathedral Bookshop ndiyo mali yetu sisi na nyie ndiyo mko vumbini upenuni uchochoro wa Narung'ombe Uswahilini?

Ningeweza kusema mengi.

Kimahama Book Shop,Arusha.
 
Sawa mzee nimekuelewa.. Nisaidie swali langu linalonisumbua.

Unaposema "KANISA" kwenye hiki kitabu unamaanisha nini?
 
Ikiwa umeelewa Cathedral Bookshop pale Kanisa la Mtakatifu Joseph jibu unalo mwenyewe.
 
Waelimishe waislamu wafanyeje ili kujikwamua hapa sasa hivi walipo, sio kuwajaza chuki kwa mambo yaliyopita ambayo hayarekebishiki, wewe ni mchochezi mkubwa wa chuki, kwa iyo unataka waislamu wabebe mapanga wawakate waliowadhulumu, kuwa na busara hata kidogo
Kwangu mimi huyu mpuuzi anayejiita Mohamed Said ni mchochezi na muongo, period. Kwa wenye hekima mpuuzi hupuuzwa, tatizo si binadamu wote wana hekima hivyo, na kama kawaida, wapo watakaoshabikia uchochezi wake.
Laki Si Pesa, Laki...
Kitabu hiki kinatokana na baadhi ya sura katika kitabu cha Abdul Sykes ambacho kwa mara ya kwanza kilitoka mwaka wa 1998. Hakuna Muislam aliyebeba hata wembe achilia mbali panga.
Kama kawaida ukiwa muongo utunze kumbukumbu kwani mwaka unaoutaja baadhi ya Waislaam walibeba mawe, mapanga na kila aina ya silaha kuvamia maduka mjini Dar es Salaam ya makafiri kwa kuuza nyama ya nguruwe. Mohamed Said kwa makusudi mazima hataki kuhusisha tukio hilo na uchochezi uliopandikizwa kabla.

Mohamed Said, njama zako wewe na wengine katika kubadilisha historia ya Tanganyika naona zinaendelea kwa kasi na hivi sasa hata Wikipedia mtu akiipitia inaanza hivi, nanukuu;

Kleist Sykes (1894–1949) was a Tanganyikan political activist. He helped form the Tanganyika African Association.

Ha ha haa...wapo wanaoamini unaandika historia ya Waislaam wakati ukweli ni kuwa unaandika historia ya walowezi wa iliyokuwa Tanganyika ukiwatumia Waislaam. Baadhi yao kwa kutojua wanakuunga mkono lakini historia unayoiandika hasa ni ya walowezi walioletwa Tanganyika kama askari wa kukodi kuzima harakati za Wazalendo Watanganyika.

Ndio, kuna baadhi ya Watanganyika Waislaam unawataja ili kuficha njama zako lakini nawaomba wasomi wote wazalendo wakae chonjo na wakuogope kama ukoma. Wewe ni mchochezi, mfitini na muongo. Unapanda mbegu za chuki miongoni wa wazalendo wa nchi hii kwa lengo la kuhalalisha uwepo wa hawa walowezi kutoka Afrika Kusini, Kongo na Sudan.

Askari wa kukodi kutoka kusini mwa Afrika na kutoka baadhi ya nchi kama Sudan na kwingineko, waliletwa Tanganyika kwa lengo moja tu, kuimarisha utawala wa kikoloni wa Wajerumani. Wengi wao walishirikiana na hawa Wakoloni kuwatesa Wazalendo kabla na baada vita vya pili vya dunia kwa mfano yaliyompata Chifu wa Wahehe, Mkwawa.

Nawatahadharisha Waislaam wa Tanzania kumpuuza huyu mchochezi anayejita Mohamed Said hawatetei bali anawadhihaki tu kufaniskisha malengo yake. AA ilianzishwa na Mtanganyika, Mwalimu Cecil Matola. TAA ilianzishwa na Mtanganyika Dr. Vedasto Kyaruzi na TANU ilianzishwa na Mtanganyika, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Wote tunaompinga huyu mchochezi anatuelezea kama wenye ghadhabu, sijui yeye anapata wapi ujasiri kwa vitendo vyake vya hatari. Walipokuwepo bado wazee kama Marehemu Rashid Kawawa tuliwahi kumuuliza huyu Mohamed Said kwa nini hawahoji wakiwa hai lakini wakishatangulia mbele ya haki anadai kuwanukuu...chukueni tahadhari ndugu zangu.
 
Kwangu mimi huyu mpuuzi anayejiita Mohamed Said ni mchochezi na muongo, period. Kwa wenye hekima mpuuzi hupuuzwa, tatizo si binadamu wote wana hekima hivyo, na kama kawaida, wapo watakaoshabikia uchochezi wake.
Kama kawaida ukiwa muongo utunze kumbukumbu kwani mwaka unaoutaja baadhi ya Waislaam walibeba mawe, mapanga na kila aina ya silaha kuvamia maduka mjini Dar es Salaam yaliyotuhumiwa kuuza nyama ya nguruwe. Mohamed Said kwa makusudi mazima hataki kuhusisha tukio hilo na uchochezi uliopandikizwa kabla.

Mohamed Said, njama zako wewe na wengine katika kubadilisha historia ya Tanganyika naona zinaendelea kwa kasi na hivi sasa hata Wikipedia mtu akiipitia inaanza hivi, nanukuu;

Kleist Sykes (1894–1949) was a Tanganyikan political activist. He helped form the Tanganyika African Association.

Ha ha haa...wapo wanaoamini unaandika historia ya Waislaam wakati ukweli ni kuwa unaandika historia ya walowezi wa iliyokuwa Tanganyika ukiwatumia Waislaam. Baadhi yao kwa kutojua wanakuunga mkono lakini historia unayoiandika hasa ni ya walowezi walioletwa Tanganyika kama askari wa kukodi kuzima harakati za Wazalendo Watanganyika.

Ndio, kuna baadhi ya Watanganyika Waislaam unawataja ili kuficha njama zako lakini nawaomba wasomi wote wazalendo wakae chonjo na wakuogope kama ukoma. Wewe ni mchochezi, mfitini na muongo. Unapanda mbegu za chuki miongoni wa wazalendo wa nchi hii kwa lengo la kuhalalisha uwepo wa hawa walowezi kutoka Afrika Kusini, Kongo na Sudan.

Askari wa kukodi kutoka kusini mwa Afrika na kutoka baadhi ya nchi kama Sudan na kwingineko, waliletwa Tanganyika kwa lengo moja tu, kuimarisha utawala wa kikoloni wa Wajerumani. Wengi wao walishirikiana na hawa Wakoloni kuwapiga vita Wazalendo kabla na baada vita vya viwili vya dunia na mfano mzuri ni yaliyompata Chifu wa Wahehe, Mkwawa.

Nawatahadharisha Waislaam wa Tanzania kumpuuza huyu mchochezi anayejita Mohamed Said hawatetei bali anawadhihaki tu kufaniskisha malengo yake. AA ilianzishwa na Mtanganyika, Mwalimu Cecil Matola. TAA ilianzishwa na Mtanganyika Dr. Vedasto Kyaruzi na TANU ilianzishwa na Mtanganyika, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Wote tunaompinga huyu mchochezi anatuelezea kama wenye ghadhabu, sijui yeye anapata wapi ujasiri kwa vitendo vyake vya hatari. Walipokuwepo bado wazee kama Marehemu Rashid Kawawa tuliwahi kumuuliza huyu Mohamed Said kwa nini hawahoji wakiwa hai lakini wakishatangulia mbele ya haki anadai kuwanukuu...chukueni tahadhari ndugu zangu.
Tumekuzowea kwa chuki na ufataani wako.

Mshume Kiyate unamfahamu?
 
Baada ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanganyika na pia Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) tarehe 14 Oktoba 1999 mengi yamesemwa na kuandikwa kuhusu msimamo wake na uadilifu kuhusu Uislam Tanzania.

Nia ya kitabu hiki ni kueleza jinsi Mwalimu Nyerere katika kipindi chake cha uongozi alivyoshughulikia suala la Uislam na Waislam wa Tanzania.

Hii ni historia ya uhusiano wa Mwalimu Nyerere na Waislam kwa kipindi cha takriban robo karne toka pale aliposhika madaraka ya nchi mwaka 1961 hadi alipoachia madaraka mwaka 1985.

Ni mategemeo ya mwandishi kuwa kitabu hiki kidogo kitaweka wazi yale ambayo hayafahamiki kwa wengi.

Kitabu kinapatikana Ibn Hazm Media Centre: Msikiti wa Manyema, Mtoro na Mtambani kwa bei ya Shs: Elfu Mbili.

Kwangu mimi huyu mpuuzi anayejiita Mohamed Said ni mchochezi na muongo, period. Kwa wenye hekima mpuuzi hupuuzwa, tatizo si binadamu wote wana hekima hivyo, na kama kawaida, wapo watakaoshabikia uchochezi wake.
Kama kawaida ukiwa muongo utunze kumbukumbu kwani mwaka unaoutaja baadhi ya Waislaam walibeba mawe, mapanga na kila aina ya silaha kuvamia maduka mjini Dar es Salaam ya makafiri kwa kuuza nyama ya nguruwe. Mohamed Said kwa makusudi mazima hataki kuhusisha tukio hilo na uchochezi uliopandikizwa kabla.

Mohamed Said, njama zako wewe na wengine katika kubadilisha historia ya Tanganyika naona zinaendelea kwa kasi na hivi sasa hata Wikipedia mtu akiipitia inaanza hivi, nanukuu;

Kleist Sykes (1894–1949) was a Tanganyikan political activist. He helped form the Tanganyika African Association.

Ha ha haa...wapo wanaoamini unaandika historia ya Waislaam wakati ukweli ni kuwa unaandika historia ya walowezi wa iliyokuwa Tanganyika ukiwatumia Waislaam. Baadhi yao kwa kutojua wanakuunga mkono lakini historia unayoiandika hasa ni ya walowezi walioletwa Tanganyika kama askari wa kukodi kuzima harakati za Wazalendo Watanganyika.

Ndio, kuna baadhi ya Watanganyika Waislaam unawataja ili kuficha njama zako lakini nawaomba wasomi wote wazalendo wakae chonjo na wakuogope kama ukoma. Wewe ni mchochezi, mfitini na muongo. Unapanda mbegu za chuki miongoni wa wazalendo wa nchi hii kwa lengo la kuhalalisha uwepo wa hawa walowezi kutoka Afrika Kusini, Kongo na Sudan.

Askari wa kukodi kutoka kusini mwa Afrika na kutoka baadhi ya nchi kama Sudan na kwingineko, waliletwa Tanganyika kwa lengo moja tu, kuimarisha utawala wa kikoloni wa Wajerumani. Wengi wao walishirikiana na hawa Wakoloni kuwatesa Wazalendo kabla na baada vita vya pili vya dunia kwa mfano yaliyompata Chifu wa Wahehe, Mkwawa.

Nawatahadharisha Waislaam wa Tanzania kumpuuza huyu mchochezi anayejita Mohamed Said hawatetei bali anawadhihaki tu kufaniskisha malengo yake. AA ilianzishwa na Mtanganyika, Mwalimu Cecil Matola. TAA ilianzishwa na Mtanganyika Dr. Vedasto Kyaruzi na TANU ilianzishwa na Mtanganyika, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Wote tunaompinga huyu mchochezi anatuelezea kama wenye ghadhabu, sijui yeye anapata wapi ujasiri kwa vitendo vyake vya hatari. Walipokuwepo bado wazee kama Marehemu Rashid Kawawa tuliwahi kumuuliza huyu Mohamed Said kwa nini hawahoji wakiwa hai lakini wakishatangulia mbele ya haki anadai kuwanukuu...chukueni tahadhari ndugu zangu.
swali kwako unaejiita Mag3, umeshasoma nondo mpya hizo? Au roho zinawauma tu? Maana toka mmeahidi kushirikiana na kuja na kitabu miaka ile, Allama Mohamed Said kishatoa kingine/vingine, Sasa sijui mtajibu kipi kwanza?

Au ndiyo tutegemee povu tu kama lililokutoka humu?
 
Kwangu mimi huyu mpuuzi anayejiita Mohamed Said ni mchochezi na muongo, period. Kwa wenye hekima mpuuzi hupuuzwa, tatizo si binadamu wote wana hekima hivyo, na kama kawaida, wapo watakaoshabikia uchochezi wake.
Kama kawaida ukiwa muongo utunze kumbukumbu kwani mwaka unaoutaja baadhi ya Waislaam walibeba mawe, mapanga na kila aina ya silaha kuvamia maduka mjini Dar es Salaam ya makafiri kwa kuuza nyama ya nguruwe. Mohamed Said kwa makusudi mazima hataki kuhusisha tukio hilo na uchochezi uliopandikizwa kabla.

Mohamed Said, njama zako wewe na wengine katika kubadilisha historia ya Tanganyika naona zinaendelea kwa kasi na hivi sasa hata Wikipedia mtu akiipitia inaanza hivi, nanukuu;

Kleist Sykes (1894–1949) was a Tanganyikan political activist. He helped form the Tanganyika African Association.

Ha ha haa...wapo wanaoamini unaandika historia ya Waislaam wakati ukweli ni kuwa unaandika historia ya walowezi wa iliyokuwa Tanganyika ukiwatumia Waislaam. Baadhi yao kwa kutojua wanakuunga mkono lakini historia unayoiandika hasa ni ya walowezi walioletwa Tanganyika kama askari wa kukodi kuzima harakati za Wazalendo Watanganyika.

Ndio, kuna baadhi ya Watanganyika Waislaam unawataja ili kuficha njama zako lakini nawaomba wasomi wote wazalendo wakae chonjo na wakuogope kama ukoma. Wewe ni mchochezi, mfitini na muongo. Unapanda mbegu za chuki miongoni wa wazalendo wa nchi hii kwa lengo la kuhalalisha uwepo wa hawa walowezi kutoka Afrika Kusini, Kongo na Sudan.

Askari wa kukodi kutoka kusini mwa Afrika na kutoka baadhi ya nchi kama Sudan na kwingineko, waliletwa Tanganyika kwa lengo moja tu, kuimarisha utawala wa kikoloni wa Wajerumani. Wengi wao walishirikiana na hawa Wakoloni kuwatesa Wazalendo kabla na baada vita vya pili vya dunia kwa mfano yaliyompata Chifu wa Wahehe, Mkwawa.

Nawatahadharisha Waislaam wa Tanzania kumpuuza huyu mchochezi anayejita Mohamed Said hawatetei bali anawadhihaki tu kufaniskisha malengo yake. AA ilianzishwa na Mtanganyika, Mwalimu Cecil Matola. TAA ilianzishwa na Mtanganyika Dr. Vedasto Kyaruzi na TANU ilianzishwa na Mtanganyika, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Wote tunaompinga huyu mchochezi anatuelezea kama wenye ghadhabu, sijui yeye anapata wapi ujasiri kwa vitendo vyake vya hatari. Walipokuwepo bado wazee kama Marehemu Rashid Kawawa tuliwahi kumuuliza huyu Mohamed Said kwa nini hawahoji wakiwa hai lakini wakishatangulia mbele ya haki anadai kuwanukuu...chukueni tahadhari ndugu zangu.
Mag 3,
Unaandika huku umejawa na ghadhabu.
Katika hali kama hiyo kwa kawaida akili hupoteza umakini.

Umenitukana kwa kuniita mpuuzi na sifa nyingine mbaya na kusema kuwa nipuuzwe.
Mimi si mpuuzi na ndiyo maana wewe umeshindwa kunipuuza umekuwa ukinisoma siku zote.

Mimi si mpuuzi na ndiyo maana unaona nimeweza kuandika vitabu kadhaa na vikachapwa na wachapaji wa sifa kama Oxford University Press.

1578194954502.png

Matoleo tofauti ya kitabu kwa Kiingereza na Kiswahili

Unaumizwa kwa jinsi kitabu cha Abdul Sykes kilivyobadili historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Unasema ati Cecil Matola ndiye aliyeanzisha African Association nk. nk.
Lakini huna ushahidi wa hilo.

Nenda Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, East Africana kasome Seminar Paper ya mwaka wa 1968 iliyoandikwa na Aisha "Daisy"Sykes, ''Kleist Sykes (1894 - 1949),'' mwanafunzi wa gwiji wa historia ya Tanganyika John Iliffe, inayotokana na mswada wa kitabu alioandika babu yake Kleist Sykes kabla hajafariki mwaka wa 1949.

1578194210234.png

Aisha ''Daisy'' Sykes kama alivyo hivi sasa

Humo utapata historia yote ya uasisi wa African Association 1929, kwa majina ya waasisi wake: Cecil Matola (Rais), Kleist Sykes (Secretary), Mzee bin Sudi, Zibe Kidasi, Ibrahim Hamisi, Ali Said Mpima, Suleiman Majisu, Raikes Kusi na Rawson Watts.

Utapata pia historia ya kuasisiwa kwa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika Kleist Sykes 1933 Kleist akiwa Secretary na Mzee bin Sudi akiwa Rais.

1578195335146.png

Kushoto wa kwanza ni Father Gibbons

Kleist anaeleza pia na utasoma humo kuwa kabla ya kuasisiwa kwa African Association, Waafrika walikuwa wakiwakilishwa na Mzungu Father Gibbons kutoka Pugu Mission na Wakristo wakionywa wasijiingize katika siasa.

Hii ndiyo sababu ya kuona waasisi wa African Association wengi wao ni Waislam.

1578194339319.png

John Iliffe

Haya si maneno yangu bali ni maneno ya Kleist Sykes ndani ya mswada wake ambao sasa ni sura katika kitabu alichohariri John Iliffe (1973).

Isingewezekana kwa hali hii kwa Cecil Matola kuwa kinara wa harakati hili achilia mbali ile hali ya siasa ya Dar es Salaam ya miaka ile ambayo Wakristo walipangiwa hadi maeneo ya kuishi na wakoloni.

Cecil Matola akiishi Mission Quarters sehemu ambako kulikuwa na kanisa pekee Kariakoo.

TANU ilipokuja kuundwa mwaka wa 1954 hali haikubadilika Waislam walikuwa mstari wa mbele.

Umeandika na unasema kuwa mimi nawahalalisha Wazulu, Wanubi na Wamanyema waliongizwa Tanganyika na Wajerumani kama askari mamluki kuja kuwasaidia Wajerumani katika vita yao na wananchi wa Tanganyika waliokuwa wakipigana dhidi ya ukoloni chini ya viongozi wao Mtwa Mkwawa na Bushiri bin Salim Al Harith.

1578194423820.png

Bushiri bin Salim Al Harith

Haya ni matokeo ya ukoloni na mimi nimeeleza historia hii si kwa nia yoyote ya kutukuza dhulma.

Katika hawa mamluki walioingizwa Tanganyika mwishoni mwa miaka ya 1800 alikuwapo babu yangu mkuu, Abdallah Samitungo Muyukwa kutoka Belgian Congo.

Lakini watoto wa hawa askari mamluki ndiyo waliowasha cheche za ukombozi wa Tanganyika.
Historia ya Kleist Sykes na wanae hivi sasa si ngeni katika ukombozi wa Tanganyika.

Babu yangu Salum Abdallah ni mmoja katika wanachama wa TAA na ni muasisi wa TANU Tabora 1954 na mwaka wa 1955 aliasisi Tanganyika Railways African Union (TRAU) akiwa Rais na Kassanga Tumbo Secretary.

Mchango wa babu yangu katika vyama vya wafanyakazi wa Tanganyika ni mkubwa sana ingawa historia bado haijamtambua.

1578194645838.png

Kushoto ni Salum Abdallah Rais wa TRAU akivishwa mgolole kama ishara ya kiongozi wa mapamabano na wa mwanzo kulia Christopher Kassanga Tumbo Katibu wa TRAU

Salum Abdallah aliongoza migomo mitatu ya wafanyakazi wa reli na migomo hii ikaenea nchi nzima dhidi ya wakoloni 1947, 1949 na 1960, mgomo wa mwaka wa 1960 ukidumu kwa siku 82 rekodi ambayo bado haijavunjwa inawezekana Afrika nzima kwani mgomo mkubwa na mrefu ulikuwa siku 62 ulioongozwa na Makhan Singh, Kenya.

Nina mswada wa Dr. Vedasto Kyaruzi katika Maktaba yangu, ''The Muhaya Doctor.''
Hakuna popote amasema kuwa yeye aliasisi TAA.

TAA hakikuwa chama kipya bali ni ile ilie African Association ilibadilishwa jina mwaka wa 1948 ili kuitofautisha na African Association ya Zanzibar.

Ungependa na kwa hakika nafsi yako na wengi wanatamani kama labda Dr. Kyaruzi angeanzisha TAA kama chama kipya na Nyerere akawa muasisi pekee wa TANU lakini majaaliwa hayakuwa hivi.

Ushahidi wa historia hii unasema vinginevyo.

Historia ya vyama hivi viwili nimeiandika kutokana na Nyaraka za Sykes na sasa imetiwa katika Dictionary of African Biography (DAB) mimi nikiwa mwandishi.

Ikiwa wewe hukubaliani na historia hii itabidi uje na ushahidi kuthibitisha hayo unayoyatamani yawe.

Kunishambulia mimi kama mtu binafsi badala ya kuleta ushahidi wa hiyo historia unayotamani iwe hakutobadilisha ukweli wa historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana FaizaFoxy kwa kufuzu darasa la Mohamed Said!
Mag3,
Nilikuwa nimemaliza kuwasilisha mada yangu Chuo Kikuu Cha Iowa, Marekakani dakika 45 presentation na dakika 15 za kujibu maswali nimerudi kukaa kitini kwangu.

Inaelekea darsa ile ilimwingia vyema Jonathon Glassman.
Mtafute kwa Prof. Google ukijue hiki kigogo.

1578198206439.png

Basi kanifuata nilipokaa akanialika Northwestern University nikatoe mhadhara kama ulie niliotoa pale University of Iowa.

Unajua nafasi ya chuo hiki katika mawanda ya African History?
Wanaongoza ulimwenguni.

Nilikwenda na nilizungumza katika ukumbi wa Eduardo Mondlane.

Jonathon Glassman katika kutoa neno la shukurani alisema kuna mengi hawakuwa wanayajua katika historia ya Tanzania na akanishukuru kwa juhudi zangu.

Sipigi tarumbeta langu mwenyewe lakini hata wewe umefuzu kwenye darsa zangu na ndiyo maana kila mkiniona mnajazana hapa Majlis kunisikiliza.

Haya ninayokuelezeni hamkuwa mnayajua kabla.
Ulikuwa unamjua Mshume Kiyate?
 
Mohamed Said, mbona huanzi kwa kutaja mahusiano ya ukoo wako na ukoo wa Sykes. Huna ushahidi wowote zaidi ya ngano ulizosimuliwa utotoni. Wanaomeza wataendelea kumeza kama akina FaizaFoxy. Mimi nimeingia humu tu baada ya kuona nimetajwa pahala, sina muda wa kusoma huo upuuzi...pole sana!
 
Kleist Sykes na babu yangu Salum Abdallah nyumba zao zikielekezana Mtaa wa Kipata sasa unaitwa Kleist Sykes.

Halikadhalika walikuwa wote ni waajiriwa wa Tanganyika Railways Kleist akiwa Accounts Clerk na babu yangu Mfua Chuma (Foundry).

Hii ilikuwa miaka ya mwanzoni 1900s.

Wake zao Bi. Mruguru bint Mussa mwanamke wa Kindengereko na bibi yangu Zena bint Farijallah mama wa Kimanyema walikuwa marafiki na waliwalea watoto wao katika usuhuba huu.

Nimezaliwa mimi nimemkuta baba yangu katika udugu huu.

Mke wa Abdul Sykes Bi. Mwamvua bint Mrisho na mama yangu Baya bint Mohamed walikuwa marafiki.

Sisi watoto tukakua katika mitaa ile ya Gerezani katika mazingira haya.

1578205979624.png

Kulia waliosimama Mohamed Said, Yusuf Zialor, Kleist Sykes, Bubby Bukhari, Abdallah Tambaza kulia waliochutama ni Abdul Mtemvu, Wendo Mwapachu na Kaisi 1968

Sisi sasa tuna watoto na wanetu lau ule usuhuba si mkubwa kama huu wa kwetu lakini wanafahamiana.

Historia hii unarudi nyuma sasa miaka 100.

Katika miaka hii nimepokea simulizi nyingi za nyakati zile simulizi ambazo ingawa wewe unaziita ngano ndizo zilizosahihisha historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Msiba mkubwa sana kwako ni kuwa wewe huna hata hizo ngano ukapata kuhadithia kuhusu kwenu.

1578205213451.png

Bi. Habiba Abdallah Simba

Ningependa kuhitimisha kwa kukufahamisha kuwa mmoja kati ya wazee wangu walioyaona haya yote ninayoeleza hapa Bi. Habiba bint Abdalllah Simba tumemzika juma lililopita.

Bi. Habiba ameishi maisha yake yote Gerezani na ni kati ya manesi wa mwanzo nchini na mdogo wake Bi. Mwajuma na Happy Mtamila ni katika wasichana wa mwanzo kutoka Kariakoo kusoma St. Joseph's Convent School miaka ya mwanzo 1960s.

1578205606258.png

Happy Mtamila na Mwandishi 2014

Baba yake Happy ni Clement Mtamila aliyekuwa Katibu wa TAA katika miaka ya 1940 wakati Thomas Plantan alipokuwa Rais.

Happy anaishi Ulaya kwa miaka mingi na alipokuja Tanzania alikuja kunitembelea nyumbani kwangu na alitukaribisha chakula cha mchana mimi na marehemu Kleist Sykes lakini mimi nilikuwa na dharura sikuhudhuria.
 
Hayo siyo mafunzo mema maana hupandikiza chuki

Leo hii mnatengeneza taswira ya uislamu kudhurumiwa wakati mnayokutana nayo toka serikalini au kwenye jamii,hata dini nyingine yanakumbana nayo ila wapo kimya ifike muda mtambue inapofika muda unapofanyiwa jambo usilolipenda haimaanishi umefanyiwa sababu wewe ni muislamu lahasha

Bali unafanyiwa pasipo kuangalia wewe ni wa Imani,asili gani wala tabaka,epukeni kutengeneza nadharia za uongo,Tz bado haijawa na udini wala ukabila wa kuanza kubaguana @TudumisheUpendo #TzOneLove SISI-SOTE-NDUGU
Actions speak louder than words.

"Tz bado haijawa na udini wala ukabila"

Tusisikie malalamiko ya sijui kanda ya ziwa wala kanda ya kaskazini (kilimanjaro na Arusha).
 
Natumaini humo pia umeongelea udini mkubwa uliojitokeza ktk awamu ya 4 chini ya Jakaya Kikwete. La sivyo tuachane na masuala haya maana unafiki na kujipendelea ni kwingi sana.
Hili litathibitisha kwamba udini upo Tanzania tofauti na mnavyojifanya kuficha eti udini haupo Tanzania
 
Back
Top Bottom