Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Anachokifanya mzee Mohamed Said ni kuuonyesha ukweli ambao kwa maslahi flani wapo watu wanauficha.Shekh wangu @Mohaded Said
Hata kama unapenda kusoma na kuandika toka utoto wako, je ni sahihi kutumia upenzi huo kufitinisha jamii?
Kwa nini usiandike yale yanayotuunganisha zaidi?...ya nini kuandika yanayotujengea shimo kubwa kati yenu Waislamu, Wakristu na sie wa dini za asili?
Unafaidika na nini wajukuu zako wakwanza mafarakano na ndugu zao wa imani tofauti nao?
Hatuwezi kujua pa kwenda mpaka tujue tulipotoka