Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #101
Alwayz,
Kinauzwa Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro, Manyema na Mtambani bei elfu mbili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alwayz,
Kichuguu,
Baada ya uhuru mwaka wa 1961 mwaka wa 1962 palifanyika Muslim Congress iliyokusanya taasisi za Kiislam Tanganyika nzima na agenda ya mkusanyiko huu ilikuwa elimu.
Azimio kuu la mkutano huu ilikuwa kujenga shule na chuo kikuu ili kujikwamua na udhalili wa Waislam katika elimu uliosababishwa na ukoloni.
Kitabu kinaeleza yale yaliyotokea baada ya azimio hilo na kusababisha farka kubwa ndani ya jamii ya Kiislam iliyoishia kwa kupigwa marufuku East African Muslim Welfare Society (EAMWS) na kuundwa BAKWATA mwaka wa 1968.
Ndani ya kitabu hiki msomaji atasoma historia nzima ya nyakati zile na ataweza kuelewa kwa nini hali iko hivi hii leo.
Kichuguu,
Kichuguu,
Umeandika kwa ghadhabu.
Kenya tatizo lao ni ukabila.
Tanzania tatizo letu si sana katika ukabila bali dini ingawa tunajifanya hatuna tatizo hili na serikali kwa sababu za wazi inaogopa kujadili tatizo hili lakini viongozi wetu wanajua hili tatizo lipo na tunalo tokea uhuru.
Nia ya kitabu ni kuweka wazi haya ili kuwapa fursa viongozi wetu kuukabili ukweli huu na kutafuta dawa.
Umoja unapatikana pale ambapo kuna haki sawa kwa wote.
Lakini ikiwa wewe unaona mambo yote ni shwari hakuna tatizo unaweza ukaeleza fikra zako kiungwana tu bila ya kutukana.
= kudhulumiwaHayo siyo mafunzo mema maana hupandikiza chuki
Leo hii mnatengeneza taswira ya uislamu kudhurumiwa wakati mnayokutana nayo toka serikalini au kwenye jamii,hata dini nyingine yanakumbana nayo ila wapo kimya ifike muda mtambue inapofika muda unapofanyiwa jambo usilolipenda haimaanishi umefanyiwa sababu wewe ni muislamu lahasha
Bali unafanyiwa pasipo kuangalia wewe ni wa Imani,asili gani wala tabaka,epukeni kutengeneza nadharia za uongo,Tz bado haijawa na udini wala ukabila wa kuanza kubaguana @TudumisheUpendo #TzOneLove SISI-SOTE-NDUGU
Acha maneno mengi ndgu MS umeambiwa unaposema "kanisa" unamanisha nn?Kichuguu,
Baada ya uhuru mwaka wa 1961 mwaka wa 1962 palifanyika Muslim Congress iliyokusanya taasisi za Kiislam Tanganyika nzima na agenda ya mkusanyiko huu ilikuwa elimu.
Azimio kuu la mkutano huu ilikuwa kujenga shule na chuo kikuu ili kujikwamua na udhalili wa Waislam katika elimu uliosababishwa na ukoloni.
Kitabu kinaeleza yale yaliyotokea baada ya azimio hilo na kusababisha farka kubwa ndani ya jamii ya Kiislam iliyoishia kwa kupigwa marufuku East African Muslim Welfare Society (EAMWS) na kuundwa BAKWATA mwaka wa 1968.
Ndani ya kitabu hiki msomaji atasoma historia nzima ya nyakati zile na ataweza kuelewa kwa nini hali iko hivi hii leo.
Kaka maneno yako ni makali sana.Juzi nilikuwa nasikiliza hotuba za viongozi wa Kenya wakati wa kongamano la uzinduzi wa BBI wakiombea umoja wa kitaifa, na wanataka kuchukua mfano kutoka Tanzania lakini leo kuna hawa wababaishaji pumba akina Mohamed Said bado wanatafuta namna ya kugawa watanzania kwa misingi ya dini. Pumba tupu hapo.
Kama ukianza kusema waislamu walifanya hivi na wakristo walifanya hivi, ndipo unapoanza kuingia kwenye mlolongo wa wachagga walifanya hivi na wamatengo walifanya hivi hadi mwisho mnakuwa taifa la vipande vipande tena.
Anaposema Kanisa ana maana ya ukiristo, ila anasahau kuwa katika ukristo kuna madhehebu mengi sana mengine ambayo hata hayakubaliani na kabisa ni misingi ya ukatoliki wa Nyerere ambaye ndiye adui wake mkubwa.
Vile vile Tanzania kuna watu wengi ambao hawajipambanui na dini yoyote, kama hayati Kingunge na vile vile kuna dini ambazo siyo za kiislamu au za kikiristo.Mtu huyu leo hii kutuletea anachoita "kitabu kipya" cha udini ni mtu pumba kweli kweli kuliko hata nilivyokuwa naamini. Tunaingia 2020!!!
Security Code,Kingekuwa ni kitabu cha kuwaeleza waislam wajikwamue vipi kimaisha hasa kuhusu elimu, ingekuwa jambo jema na lakheri kwa Waislam wote.
Kuwakumbusha yaliyopita ni kuwatengenezea chuki mioyoni mwao na kuwafanya wanyonge na wagonjwa.
Kitakachowakomboa Waislam ni Elimu tu na sio majambia, ngamia au punda, mkumbuke kuna bunduki na vifaru.
Elimu, elimu, elimu, hamtaki basi andaeni kizazi chenu kuishi maisha ya dhiki na chuki, magereza yapo, risasi zipo, bahari ipo na maeneo ya kuzika yapo. Kitabu buku 2!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Torch,Acha maneno mengi ndgu MS umeambiwa unaposema "kanisa" unamanisha nn?
Mtama...Mzee duniani hakuna nchi yenye usawa timilifu. Vitu vingine ni kuviacha tu, wewe himiza vijana wapige kazi.
McMahoon,Kama mtoto anashinda madrasa unategemea atafaulu? Never. Elimu ni kwa wenye akili tu
Wapelekeni watoto wenu shule
"Don't judge a book by its cover"Mohamed Said, Labda kwa sababu wasomaji wako wengi ni kama wewe, hawana attention to detail.
Na unaposema wewe si alarmist, maudhui ya vitabu vyako yanaweza kukufanya uitwe si tu alarmist, bali pia petty alarmist pia.
Huenda hujawahi kusoma vitabu vyake na kujua maudhui yake; hiki siyo kitabu chake cha kwanza..Kaka maneno yako ni makali sana.
Wengine tumeona tu picha ya kitabu, wala hatujakisoma na kujua kama mwandishi anataka kutuambia nini.
Kujibu bila kujua kusudio la mwandishi ni kumhukumu bila hata kumsikiliza.
Anayo haki ya kisikilizwa, na baadae kama ipo haja basi ajibiwe kwa hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry Mimi ndie nimeleta maneno mengi.Torch,
Yako wapi maneno mengi?
Wingi ukifananisha na uchache upi?