Kitabu kipya: Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania

Anachokifanya mzee Mohamed Said ni kuuonyesha ukweli ambao kwa maslahi flani wapo watu wanauficha.

Hatuwezi kujua pa kwenda mpaka tujue tulipotoka
 
Ndio kusema kikishaandikwa kitabu kimoja kuhusu historia ya chief Mkwawa haifai kuandika kitabu chengine??
 
Haya ndio matatizo ya kupeleka watoto madrasa wakija kuwa wakubwa wanatumia upuuzi waliofundishwa madrassa na maudtadhi wavaa njiwa a.k.a wachonga fitina.......

Sio kila mtu anapashwa kusikilizwa maana wengine ajenda zao zimegubikwa na upweke wa fikra waliobebelea vichwani mwao.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini humo pia umeongelea udini mkubwa uliojitokeza ktk awamu ya 4 chini ya Jakaya Kikwete. La sivyo tuachane na masuala haya maana unafiki na kujipendelea ni kwingi sana.
Hiyo huwa hawajadili. Wao wanachojua ni kulalama tu utadhani wana ajanda ya maana...

Ni upuuzi tu umewajaa kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kuna shida fulani mkuu Ndjabu Da Dude!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nadhani wewe ndie wale watu ambao wanatafuta uhalali na huku kichwani wamefilisika sera.

Dini ni miongoni mwa hoja dhaifu sana katika kujadili swala la maendeleo. Najua hauwezi kuelewa kwasababu tayari kichwa chako kimezongwa na maisha ya misingi ya udini na sio imani.

Wewe kama unataka kufanya kazi ya MUNGU basi nenda huko msikitini kahubiri maagizo yake mazuri maana uovu umetamalaki katika jamii kwa sasa. Ila ukija na upuuzi wa kutuingizia historia amabazo hata tukizijua hazitakuwa na msaada ila zitaanza kuamsha marumbano yasio na mbele wala nyuma, then wewe hauna faida na sisi.

Kama kuishi maisha ya dini ni muhimu basi nenda kwenye mataifa ambayo wanautambua mfumo wa dini moja kwa moja kama Saudia huko au Iran, nenda kakae na wabaguzi wenzako, tuache sisi tunaoishi kwa kuweka utanzania mbele kwanza kabla ya imani zetu.

Watu kama nyinyi mnajifanya mnamalengo mazuri ila ndio wazandiki na wanafiki ambao hamlitakii mema taifa letu. Huo ni uhaini na ufisadi dhidi ya uzalendo kwa inchi yetu.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaaah bwana weeee hebu tupishe zako bwana. Aaaaakh.

Mambo gani unatuletea hapa ya kipuuzi. Hao wanaodhurumiwa wanadhurumiwaje, mimi nina marafiki kibao wapo kwenye maisha mazuri na ni waislam kama wewe....

Wewe ndio wale waliokuwa wanatoroka shule kushinda madrasa maisha yamekuwa magumu unaanza kuongea upuuzi wa miaka kenda na wajua haina faida..... Cha zaidi ni hauna jipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu huyu mwandishi wa kitabu anavuta na bange kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana jipya huyu ndio wale waliofirisika sera...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu anaweza kuwa gaidi katumwa na alishabaabu kuja kutelea mambo yao ya kichoko hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzee ni tapeli na mhalifu wa kidini! Amejaa laghai, hila udini na chuki!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua hii jamii tunayoishi kuna ma' Sociopath wenhi sana..... Huyu mwandishi ni mojawapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubinafsi tu na uchochezi..... Hakuna jpya...... Tangu nimezaliwa had nakua sijawahi sikia Wakristo wakipgania ukristo..... Kulikon ndugu zetu Waislam...?!!...... Ifke mahal muwe nA ajenda za msingi wenye tija kwa taifa na dunia kwa ujumla...
Fikra dhaifu huzaa watu dhaifu. Imagine huyu mzee ndio anakabidhiwa watoto awafundishe imani..... Pumba anazowajaza sasa humo kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni kitu kimoja, Dini haijawahi kuwa productive means ya kucreate wealth hata siku moja. Na jamii yoyote ina survive kupitia wealth creation.

Sasa ukitazama Dini zetu zinatutaka kukaa nyumba za ibada masaa 24 tuiomba na kuabudu. Usipojua kuseparate Maisha ya dini na maisha ya imani utashindwa kuelewa mfumo wa maisha.

Kwa kifupi huyu mleta uzi amefeli kwenye hilo, anaishi kidini zaidi na sio kiimani. Maana imani unaibeba popote uendapo huku maisha yako yakiendelea katika shughuli za kimaendeleo.

Sasa yeye yupo busy na dini masaa 24 halafu anataka awe na maisha sawa na wenzake wanaotafuta hizo si bange za mchana kweupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unataka kutuambia mapambano ya uhuru wa tanganyika yalikuwa ni mapambano ya dini dhidi ya wakoloni?!

Kwa akili yako ina maana kwa miaka ile sisi jamii ya kiafrika tulikuwa na organization ngapi au zipi za kisasa ambazo zingeweza kutetea haki za mtu mweusi?!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli huyu mzee ni mhalifu kabisa anayejificha ktk kivuli cha dini!!

Eti historia iliyofichwaa!! Yaleyaleee! Dini B inasema eti dini A imefuta maneno kwenye kitabu chake(Dini A) ili kuuficha ukweli wa dini B !! Maajabu ya dunia!!
Kupindua ukweli uwe uongo, uongo uonekane ukweli! Hii ni hulka ya Ibilisi!
Me nashangaa wanahangaika na akina kabendera wakati kuna watu wakuwadinya wapo huku jf

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samcezar,
Unapotosha maudhui ya kitabu changu.

Mimi nimeandika kile kinachoitwa, "corrective history," yaani nimesahihisha historia rasmi iliyoandikwa na Chuo Cha CCM Kivukoni ambayo ilipotosha mambo mengi.

Bahati mbaya unakuja na hoja nje ya maudhui ya kitabu huku umeghadhibika ukiandika kwa jeuri iliyojaa kejeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…