Kitabu kipya: Tanzania na propaganda za udini na prof. Ibrahim Noor

Mkuu xiexie, asante, nitaufuata ushauri wako.
Pasco
 
Africans have so much illusions about these organized religions, nothing came from any European or Arab mind that meant to do anything to help us Africans but to facilitate their domination over us, I said nothing….every idea, every religion which was brought here was meant to control and subjugate the African people. Africans were taken as slaves by cruel Arabs long before Europeans set foot in Africa, and when they (Europeans) started doing, it became a commercial and organized. Million of million Africans died from this holocaust but no one seems to care about. We think that our best ways to survive or to go to heaven (as we still think) is to become most those things that unlikely ourselves, and when you start believing in those things unlikely ourselves we become nothing but slaves, and to those whom we are imitating they become our prisoners whether they build a jail or not, and in most cases they don't have to build a jail because "the psychological jail of depending on someone else for religion, culture and image (God) is a more binding jail than any steel can be erected for u" –Dr John Henrik Clarke
 

Sio wabantu tu wa Africa Mashariki bali hata makabila yote yalifikiwa na Uislam huwa wanaamini kuwa Wao ni waarabu, Ukifika Nigeria hasa kabila la Hausa, wao ndio wanajiita waarabu kabisa, nimewahi fanya kazi pia Mali na Mauritania wao pia wanajiita Waarabu japo ni weusi kama sisi tu,
 

watu wanaama dadangu, Africa kuwa na Waarabu wengi haimaanishi kuwa hao Waarabu wanaasili ya Africa, hao ni waamiaji tu, Wabantu wako wengi sana Africa kusini lakini nao ni waamiaji tu wenyeji ni bushmen (Khoi na San) na kwa sasa wako wachache mno

Kwa kiarabu kuongelewa kwa uwingi wake hapa Africa, haimaanishi kuwa ni Hiyo lugha inachimbuko lake hapa Africa, hiyo ni lugha ya kuja tu,
Spanish ndio lugha kubwa inayoongelewa South America ukitoa Brazil na nchi ndogo chache, lakini haimaanishi hicho Kispanyola kina Asili ya South America, bali ni ya kuja tu
 
yani kitabu kina tuaminisha kuwa Wabantu walifika Visiwani Karne ya 16 na Waarabu walifika maelfu ya miaka iliyopita?....
Ni ajabu la dunia.

Kitabu kina tuaminisha waarabu hawakufanya sana biasha ya utumwa?.....vichekesho.

Warabu walivyo kuja Visiwani walikuja kwa lengo la kufanya biashara, na waliwakuta wenyeji ambao ni wabantu..


Naomba niulize Watumwa walio kuwa wanapelekwa nch za kiarabu kutoka africa, mbona hata watu weusi hawapo uko uwarabuni? waliwauwa? mbona Latin america wapo na hata america wapo?....
 
Kitabu hiki kipigwe marufuku na serikali tukufu ya Tanzania.......ova!!!
 

Huko "South America" unaweza kupata tarehe yao walivyoanza safari ya kwenda huko.

Sasa nisome tena, unielewe:


Waarabu wengi leo hii wako Afrika, lugha ya kwanza kuongewa na wengi Afrika ni Kiarabu na haijawahi kuwa vinginevyo, jana , juzi , majuzi, rudi nyuma miaka mia, elfu, maelfu upendavyo utakuta ni hayo hayo. Utapofikia katika usomi wako ukakuta "wamekuja" nioneshe nami nipaelewe.
 

Tunaomba nukuu za kutoka kwenye kitabu, si kichwani mwako.
 

Hapo ndipo nnapoamini kuwa shule ulisomea ujinga.
 
Ajakosea maana waarabu wenyewe mtu mweusi kwao sio mwarabu mwenzao.
 
"... Mlango wa Kwanza unahusu “ Taarikh ya
Kuwasili Kwa Wabantu, Washirazi na
Waarabu Pwani ya Afrikaya Mashariki. ” Hapa
anaeleza kwa ushahidi wa taarikh usiokatalika
kwamba Waarabu wamefika Pwani ya Afrika
Mashariki maelfu ya miaka iliopita na
Wabantu wamefika pwani hiyo katika karne ya
16 B.K. Makusudio ya mlango huu ni
kuonesha kwamba Waarabu si wageni bali ni
wenyeji wenye haki hapa sawasasa na
wenyeji wengineo..."

kwa kipande hiki tayari amenivunja moyo kukitafta kitabu chake. warabu hawakuja Africa mashariki kufanya utalii, bali walikuja kwa kusudi la kuchuma. kupitia vito vya thamani na kupitia rasilimali watu.

huyu anasema hayo kwa kuwa yeye si mbantu wala non bantu African societies bali ni mwarabu. hivyo upuuzi wake ni kuonesha warabu ni wenyeji kuliko wabantu. huuu ni ujinga
 

kama ilivyokuwa kwa mzungu kufanya de industrialization kwa kuua na kuwafanya vilema wa kudumu, ndivyo warabu walivyofanya kwa mtu mweusi. kwanza walihasiwa ili wasiweze kusababisha mimba, halafu mwanamke wa kiarabu alifundishwa kumwona nwafrica ni nyani tu na ikitokea amepata mimba aidha mimba iharibiwe au mwarabu auawe.

ndio maana pamoja na kupeleka waafrica wengi kuzidi hata amerika lkn arabuni no black race
 

Unaandika tu kwa kuwa unajua kuandika lakini unacho kianda hukijui na huna ithbati nacho.
 
mimi sina chuki na uislam lakini maudhui ya mchambuzi yana akisi kuwa kitabu kinajenga dhana kuwa kunapropaganda katika elimu ambazo zinaminya uislam,

samahani sana kama nimegusa imani yako halikuwa lengo langu, pengine mchambuzi kaweka ya kwake ngoja nikakitafute nijisomee mwenyewe nimejaribu online hakipo
 
unamfanyia favor kusema ana chembechembe za udini..ni mdini through and through..na hicho kitabu wasome, may be it will make them feel better..besides what else have they zaidi ya hizo feelings zao?
hahaha wanazidi kuongezeana misimamo mikali ili waendelee kujilipua.
 
mkuu Pasco mimi binafsi nimesema wazi kwamba kitabu hiki kinalenga kujenga shari zaidi kati ya waislam na wakristo tofauti na mtoa mada alivyosema, title yake yenyewe inasadifu kilichomo ndani, mbaya zaidi kimekuja katika kipindi ambacho kunachembechembe za udini zinazidi kumea katika nchi yetu. kwangu kwa hadhira ya kawaida it is a worthless book to read.
 
Tunaomba nukuu za kutoka kwenye kitabu, si kichwani mwako.

tunajuwa fika kuwa Wazungu wameshiriki vema kufanya biashara ya utumwa,

wazungu waliwachukuwa watu wengi sana toka africa kwendwa utumwani America, Europe, south america. lakini mpaka sasa tunaona watu weusi bado wapo isikokuwa nch kama Argentina ambapo walibaki na kuwinda na kuuwawa kama swala. lakini marekani, brazili, chile, cuba, england, canada, jamaika na kwingineko watu weusi walio chululiwa kutoka biashara ya utumwa vizazi vyao mpaka leo vipo,

Ushahidi asilimia 12 ya watu million 320 wa marekani ni masalia ya Watumwa.


Dada vipi kwa ndugu zetu walio kuwa wanachukuliwa kwenda Uarabuni! enzi za biashara ya utumwa!?....mbona hatuoni hata masalia?..nch kama Saudia hatuwaoni kabisa vip.........

walienda wapi?.....

walifanywa nini?...

walipotelea wapi?...

Vizazi vyao viko wapi huko?...

vipi kitabu kina tuaminisha kuwa Mapinduzi ya Zanziber hayakuwa halali....

kitabu kina tuaminisha Sultan ni Mzawa na alikuwepo kabla ya Wabantu...hii imekaaje?
 
Hapa nimepata definition mpya ya Uarabu, kumbe ni lugha tu, sio kabila wala rangi, kwa hiyo hata wewe kama unazungumza kiarabu basi ni muarabu?, hata mzungu wa ulaya akiwa mzungumzaji wa kiarabu hatumuiti mzungu tena bali anakua ni muarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…