othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Mmebanwa kende mijicho imetoka, kabendera endelea kumwaga petrol kwenye kichuguu siafu zimeanza kutoka njeSasa hivi tutaambiwa kitabu kimeuza nakala nyingi na kumuingizia fedha nyingi.
Kumbe huu ni mkakati wa kutaka kutakatisha fedha chafu zenye lengo la uhaini.
Vyombo viendelee kumonitor transactions zake na za wanaomfadhili.
Kamwe fedha hizi zisiingizwe kuja kuchafua uchaguzi 2025.