Kitabu ni njia ya kutakatisha fedha chafu

Mmebanwa kende mijicho imetoka, kabendera endelea kumwaga petrol kwenye kichuguu siafu zimeanza kutoka nje
 
Bado hamjasema, na mtasema. Malipo ni hapahapa Duniani.. Karma is bitch and real.
 
Upo jingalao? Samaleko!
 
Kitabu kinauzwa mitandaoni, huwezi kuja na hoja ya pesa za kutakatishwa wakati upatikanaji wake hautazami Tanzania peke yake.

Kitabu hiki kitapatikana zaidi online hivyo sioni ni kwa namna gani pesa ya mauzo yake ihusiane na utakatishaji.
 
Acha woga wa kitoto huo...jipange ujibu hoja....kitabu kina trend jibu hoja......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…