Kamanda mkuu wa jeshi la Marekani nchini Ulaya, Jenerali Alexus Grynkewich, ameionya Pentagon kwamba Jeshi la Wanamaji la Marekani linaweza hivi karibuni kushindwa kuendelea kuilinda Israel dhidi ya mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran kutokana na uhaba wa meli za kivita aina ya destroyer.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, meli za kivita za Marekani zinazohusika na kutungua makombora yanayolenga Israel kwa sasa zimeondolewa karibu na Israel na kurudishwa kulinda nyumbani US.
Amesema kutokana na uhaba wa silaha za kutungua makombara US ina chaguo gumu la aidha kulinda Israel au kujilinda yenyewe.
Kwasababu hiyo inaweza kuifanya Israel kutegemea mifumo yake ya ulinzi wa anga pekee bila ya uwepo wa mifumo ya anga ya Marekani kutokea katika meli vita zake hivyo Israel itajikuta kuwa na uwezo mdogo wa kujilinda kama Iran akifanya mashambulizi.