Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Kama unavyo nyooka wewe na mama akoSafari hii mtanyooka tu na Mama yako!!
Kama unavyo nyooka wewe na mama akoSafari hii mtanyooka tu na Mama yako!!
Ila marekani imeweza kuiteka iranRussia imeshindwa kuiteka Ukraine na huu ni mwaka wa tano na China ameshindwa kuitwaa Taiwan kwa miaka nenda rudi.
Vita sio lelemama.
Mazafakas Trump na Hegseth walivyo wapumbavu wanaweza kumpiga chini huyo mjeda kwa kusema ukweli.Kamanda mkuu wa jeshi la Marekani nchini Ulaya, Jenerali Alexus Grynkewich, ameionya Pentagon kwamba Jeshi la Wanamaji la Marekani linaweza hivi karibuni kushindwa kuendelea kuilinda Israel dhidi ya mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran kutokana na uhaba wa meli za kivita aina ya destroyer.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, meli za kivita za Marekani zinazohusika na kutungua makombora yanayolenga Israel kwa sasa zimeondolewa karibu na Israel na kurudishwa kulinda nyumbani US.
Amesema kutokana na uhaba wa silaha za kutungua makombara US ina chaguo gumu la aidha kulinda Israel au kujilinda yenyewe.
Kwasababu hiyo inaweza kuifanya Israel kutegemea mifumo yake ya ulinzi wa anga pekee bila ya uwepo wa mifumo ya anga ya Marekani kutokea katika meli vita zake hivyo Israel itajikuta kuwa na uwezo mdogo wa kujilinda kama Iran akifanya mashambulizi.
View attachment 3641467View attachment 3641466
Utasikia tu muda sio mrefu wamemtemaMazafakas Trump na Hegseth walivyo wapumbavu wanaweza kumpiga chini huyo mjeda kwa kusema ukweli.
Huyo Iran mnayesema anauwezo wa kumshambulia Israel ni huyu ambaye viongozi wake wanadunguliwa Ikulu au kuna Iran mwingine. Iran ambaye anapigwa na Israel halafu anarusha makombora kwa waarabu wenzie badala ya kupiga Washington au Telaviv. Huyo Iran mwenye hizo sifa ni yupiKamanda mkuu wa jeshi la Marekani nchini Ulaya, Jenerali Alexus Grynkewich, ameionya Pentagon kwamba Jeshi la Wanamaji la Marekani linaweza hivi karibuni kushindwa kuendelea kuilinda Israel dhidi ya mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran kutokana na uhaba wa meli za kivita aina ya destroyer.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, meli za kivita za Marekani zinazohusika na kutungua makombora yanayolenga Israel kwa sasa zimeondolewa karibu na Israel na kurudishwa kulinda nyumbani US.
Amesema kutokana na uhaba wa silaha za kutungua makombara US ina chaguo gumu la aidha kulinda Israel au kujilinda yenyewe.
Kwasababu hiyo inaweza kuifanya Israel kutegemea mifumo yake ya ulinzi wa anga pekee bila ya uwepo wa mifumo ya anga ya Marekani kutokea katika meli vita zake hivyo Israel itajikuta kuwa na uwezo mdogo wa kujilinda kama Iran akifanya mashambulizi.
View attachment 3641467View attachment 3641466
Unawapangia kazi?Mazafakas Trump na Hegseth walivyo wapumbavu wanaweza kumpiga chini huyo mjeda kwa kusema ukweli.
Narudia sana Iran wanyonge wake ni Waarabu!!! Na hawezi kudhubutu kupigana au kuishambulia nchi ndogo ya Israel maana anajua Ukubwa wa Pua si wingi wa Makamasi!!mbon umejibu kinyonge ivyo...
Kivipi?Unawapangia kazi?
Unaishi kwa kuhisi kama mganga wa kienyeji!!Kivipi?
Wakati iran viongozi wao wanauwawa kama nzige jeshi lao lilikuwa linanyoa ndevu au Majini yao yalikuwa yamepanda kiasi cha kushindwa kuwalinda viongozi wao wa nchi?Israel hawezi vita anachoweza yeye ni ugaidi kuvizia viongozi wapo sebuleni kwao wanapata dinner yeye ndio anakuja na vindege vyake vya msada na kuwauwa
Elewa Israel haitishiwi nyau!! Israel iliwaua viongozi karibu wote na Iran sasa hivi wanabwabwaja tu wakijua hawawezi kutamba mbele ya wanaume wa IDF!!Lakini Irani anakuambia kabisa nakuja kukushambulia na kweli anakuja
Kuna uwezekano hamjui Mwamba waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ndiyo maana unabwabwaja ovyoovyo tu!@Na ndio maana Netanyau Sasa hivi ametulia kimya kama sio yeye maana anajua Sasa hivi ameshachika kuwavumilia hivyo ukija subiri kiama chako
What did you just do?Unaishi kwa kuhisi kama mganga wa kienyeji!!
Sawa na Iran ilivyoweza kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia.Ila marekani imeweza kuiteka iran