Kitaeleweka si muda mrefu: Marekani yaonya uwezo wa kujilinda wa Israel dhidi ya Makombora ya Iran

Russia imeshindwa kuiteka Ukraine na huu ni mwaka wa tano na China ameshindwa kuitwaa Taiwan kwa miaka nenda rudi.

Vita sio lelemama.
Ila marekani imeweza kuiteka iran
 
Mazafakas Trump na Hegseth walivyo wapumbavu wanaweza kumpiga chini huyo mjeda kwa kusema ukweli.
 
Wayahudi wakizidiwa wanakula pozi, Waajemi sasa na wao wawe wanaanzisha mashambulizi sio kujibu tu
 
Huyo Iran mnayesema anauwezo wa kumshambulia Israel ni huyu ambaye viongozi wake wanadunguliwa Ikulu au kuna Iran mwingine. Iran ambaye anapigwa na Israel halafu anarusha makombora kwa waarabu wenzie badala ya kupiga Washington au Telaviv. Huyo Iran mwenye hizo sifa ni yupi
 
mbon umejibu kinyonge ivyo...
Narudia sana Iran wanyonge wake ni Waarabu!!! Na hawezi kudhubutu kupigana au kuishambulia nchi ndogo ya Israel maana anajua Ukubwa wa Pua si wingi wa Makamasi!!
 
Israel hawezi vita anachoweza yeye ni ugaidi kuvizia viongozi wapo sebuleni kwao wanapata dinner yeye ndio anakuja na vindege vyake vya msada na kuwauwa

Lakini Irani anakuambia kabisa nakuja kukushambulia na kweli anakuja

Na ndio maana Netanyau Sasa hivi ametulia kimya kama sio yeye maana anajua Sasa hivi ameshachika kuwavumilia hivyo ukija subiri kiama chako
 
Israel hawezi vita anachoweza yeye ni ugaidi kuvizia viongozi wapo sebuleni kwao wanapata dinner yeye ndio anakuja na vindege vyake vya msada na kuwauwa
Wakati iran viongozi wao wanauwawa kama nzige jeshi lao lilikuwa linanyoa ndevu au Majini yao yalikuwa yamepanda kiasi cha kushindwa kuwalinda viongozi wao wa nchi?

Lakini Irani anakuambia kabisa nakuja kukushambulia na kweli anakuja
Elewa Israel haitishiwi nyau!! Israel iliwaua viongozi karibu wote na Iran sasa hivi wanabwabwaja tu wakijua hawawezi kutamba mbele ya wanaume wa IDF!!
Na ndio maana Netanyau Sasa hivi ametulia kimya kama sio yeye maana anajua Sasa hivi ameshachika kuwavumilia hivyo ukija subiri kiama chako
Kuna uwezekano hamjui Mwamba waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ndiyo maana unabwabwaja ovyoovyo tu!@
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…