Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Kama kawaida siachi kuwasanua wanaume wenzangu. Inaumiza sana kuoa malaya. Usithubutu kuoa malaya.
Jana nilileta Uzi uutafute upate kumjua mwanamke malaya na ujinasue usije kuingia kwenye kimbwini ukamwoa.
Kuna wanaume wanalaumu eeehh nimemfungulia duka sasa limekua anaanza jeuri. My friend, ulioa malaya, shida ndo zilimtuliza sasa vichenji anapata anarudi kwenye status yake.
Wanaume wengine wanalaumu eeh nimemtafutia kazi , sijui kapata ajira amebadilika. Ahahahahh 🤣 🤣 🤣 kwisha habari zako. Ulioa malaya.
Ni shida pekee itamfanya mwanamke malaya atulie kwa mume wake.