Kitakachotokea Jumamosi baada ya gemu ya Yanga vs Al Hilal kuisha

Kitakachotokea Jumamosi baada ya gemu ya Yanga vs Al Hilal kuisha

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Gemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.

  1. Kocha Nabi hana uwezo.
  2. Morriso tumepigwa.
  3. Aziz Ki hamna kitu.
  4. Yannick Bangala ashakuwa mzee.
  5. Hamasa nyingi timu haina kitu.
  6. Marefa wa kibongo wametulemaza.
  7. Tumeshatolewa mapema kwenye makundi.
  8. GSM tuachie timu yetu.
  9. Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23.
  10. Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu.
 
Gemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.

1. Kocha Nabi hana uwezo
2.Morriso tumepigwa
3.Aziz Ki hamna kitu
4.Yannick Bangala ashakuwa mzee
5.Hamasa nyingi timu haina kitu
6.Marefa wa kibongo wametulemaza
7.Tumeshatolewa mapema kwenye makundi
8.GSM tuachie timu yetu
9.Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23
10.Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu
[emoji23]
 
Kweli
 
number 9
😂😂

11. Diarra ni shati tu pale golini,
 
Gemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.

1. Kocha Nabi hana uwezo
2.Morriso tumepigwa
3.Aziz Ki hamna kitu
4.Yannick Bangala ashakuwa mzee
5.Hamasa nyingi timu haina kitu
6.Marefa wa kibongo wametulemaza
7.Tumeshatolewa mapema kwenye makundi
8.GSM tuachie timu yetu
9.Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23
10.Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu
Kweli yanga kwa sasa ni gumzo kila kona kama mmeitelekeza timu yenu mmebaki kuiwaza na kuiota yanga kila saa ni wazi mafanikio yao yanaendelea kuwatesa sana mnaitafuta furaha lakini ndo amuipati yanga inazidi kuwatesa tu
 
Back
Top Bottom