Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Gemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.
- Kocha Nabi hana uwezo.
- Morriso tumepigwa.
- Aziz Ki hamna kitu.
- Yannick Bangala ashakuwa mzee.
- Hamasa nyingi timu haina kitu.
- Marefa wa kibongo wametulemaza.
- Tumeshatolewa mapema kwenye makundi.
- GSM tuachie timu yetu.
- Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23.
- Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu.