Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Kitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM.
Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania.
Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi.
Saivi nendeni na upepo unakoelekea.
2025 kete ni JPM tuKitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM.
Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania.
Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi.
Saivi nendeni na upepo unakoelekea.
Ikifika 2025 hotuba za Nyerere na Magufuli ndizo zitakuwa zinafanyiwa reference kuwahukumu waliopo! Usishangae eti Chadema watashindwa kutumia jina la Magufuli! Watakuja kutumia tu maana siasa zao leo wanakuambia huu Mkojo kesho watakuambia haya maji we kunywa tu japo sitowa mmoja wao. Refer 2015Kitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM.
Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania.
Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi.
Saivi nendeni na upepo unakoelekea.
Umerogwa wewe na sukuma gang wenzakoKitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM.
Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania.
Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi.
Saivi nendeni na upepo unakoelekea.
Umesahau Sera za kushusha umeme mpaka 27,000/=, internet ya bei chee, kuzuia mfumuko wa bei, kurekebisha mikataba ya madini, ujenzi wa miundombinu mikubwa ya kihistoria . Waliotekwa na kuweka ni wale waliokuwa wanajimilikisha nchi . Wale walioonekana wasaliti wakati nchi ipo kwenye vita wote adhabu Yao ni kifoSera za JPM za kuteka, kuua na kutupa maiti kwenye viroba?
Kamasi unatoa wewe kila sehemu ya mwili wakoKutajwa kwa Mbowe ,Ridhiwani, kulisaidia sana kuondoa madawa ya kulevya mitaani.
Vijana hawatoi kamasi tena mababarani
Nani afuate sera za dikiteeta ?Sera za JPM za kuteka, kuua na kutupa maiti kwenye viroba?
Hakuna wa kuchagua cdm,ila tunapanga kuwaachia viti kadhaa vya ubunge,wao pamoja na baadhi ya vyama vya siasa.Kitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM.
Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania.
Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi.
Saivi nendeni na upepo unakoelekea.
Wafuasi wa ccm ya sukuma gang wanaiogopa sana cdm kwani cdm walikuwa wanasimamia uhuru na haki.Aliyekosea Ni Magufuri, yeye alidhani CHADEMA Ni adui zake kumbe CHADEMA walikuwa washindani wake. Alipokuwa amefichwa kitandani ni CHADEMA ndio waliopiga kelele Rais haonekani.
Kwa ushauri tu CHADEMA wajisimamie kwenye Sera yao waachane na Mambo ya Magufuri. Watu wa Magufuri walionesha chuki kubwa kwa CHADEMA kumbe adui alikuwa mwingine.
Labda kwenu huko burundi2025 kete ni JPM tu
I'm very seriously mkuu. Technical CDM hawako vizuri hata kidogo. Mbona mambo yako wazi yanayoweza kufanya CDM wawe popular hata saivi.You are not serious.
Mungu anatisha na hamuigopi mtu awe na vifaru wala mabomuIla Mungu ni Mkuu Sana Jamani... Khaaa..
Kafutika jiwe na sasa ni mavumbi itakuwa cdm?Hata hivyo mlishajipanga kuwa wapiga kelele mpka mtakapofutika katika nchi hii bila kupata utawala.
Ipo siku mtakuta kuna chama kingine na nyie kubaki kama chama cha Dovutwa.