Kitakachowafanya CHADEMA kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za Magufuli

Kitakachowafanya CHADEMA kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za Magufuli

Kitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM.

Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania.

Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi.
Saivi nendeni na upepo unakoelekea.

Vitu vitano CDM wanahitaji kuviangalia
1. Mapenzi ya wananchi yapo kwa kiongozi gani.
2. Sera za huyo kiongozi ni zipi
3. Kupinga miradi ya JPM kutawaletea migogoro na watanzania
4. Katiba
5. Focus, plan
6. Right direction.

Hotuba za CDM zilenge zaidi kuleta positive feedback kwenye hitaji la watanzania wasasa.
Mkuu hauko serious kabisa. Una maana kwamba tufate sera za kuua,kutesa na kunyanyasa eti ndo wananchi wanazipenda?
 
Back
Top Bottom