Kitakachowafanya CHADEMA kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za Magufuli

Kitakachowafanya CHADEMA kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za Magufuli

Hata hivyo mlishajipanga kuwa wapiga kelele mpka mtakapofutika katika nchi hii bila kupata utawala.
Ipo siku mtakuta kuna chama kingine na nyie kubaki kama chama cha Dovutwa.
Corona ilituokoa sana jamani
 
Kitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM.

Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania.

Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi.
Saivi nendeni na upepo unakoelekea.
Umeongea ukweli.
Watu wengi sana japo jpm hayupo ila wanamkumbuka.
CDM wakicheza na akili za watu vizuri watajikuta wana wafuasi wengi mno ambao kwa sasa hawapo upande wowote.
 
Sera zipi?Kudanganya Umma kuwa tunajenga Kwa fedha za ndani kumbe ni mikopo?Udikteta uchwara?Au kuwashaghulikia wenye mawazo tofauti?
 
Sera zipi?Kudanganya Umma kuwa tunajenga Kwa fedha za ndani kumbe ni mikopo?Udikteta uchwara?Au kuwashaghulikia wenye mawazo tofauti?
Tumia akili zako vizuri, mkuu. Tunachoangalia ni mapenzi yanawanchi yako wapi. Umeshaambiwa hayo utayazungumza baada ya kupewa nchi. Use that approach usijiendeeendee tu without focus and plan.
 
Kitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM.

Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania.

Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi.
Saivi nendeni na upepo unakoelekea.
Sera zipi?

Za uuaji,ufisadi/wizi(trilioni 2.5),utekaji na uongo?

Watz walio wengi walimchukia sana JPM ivyo acha kuwakumbusha machungu ya huyo mfu wako
 
Tumia akili zako vizuri, mkuu. Tunachoangalia ni mapenzi yanawanchi yako wapi. Umeshaambiwa hayo utayazungumza baada ya kupewa nchi. Use that approach usijiendeeendee tu without focus and plan.
Wananchi wapi hao?Mimi nadhani Cha msingi ni kugusa changamoto zao directly na sio hizo unazoziita sera za JPM!
Kuna mambo mengi,
*mfumuko wa bei
*Changamoto ya ajira
*Umeme wa kusuasua
*Tozo
*Katiba yenye maoni ya wananchi na mengineyo!
Ukigusa hayo unampa nafuu mwananchi Moja Kwa moja!
 
Umesahau Sera za kushusha umeme mpaka 27,000/=, internet ya bei chee, kuzuia mfumuko wa bei, kurekebisha mikataba ya madini, ujenzi wa miundombinu mikubwa ya kihistoria . Waliotekwa na kuweka ni wale waliokuwa wanajimilikisha nchi . Wale walioonekana wasaliti wakati nchi ipo kwenye vita wote adhabu Yao ni kifo

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Umeme mlioshusha wakati wa uchaguzi ili mpate kura na baada ya uchaguzi mkapandisha?

Internet ile ya mb 8 kwa buku moja?

Huyu ibilisi kama mnampenda sana nendeni mkalale pembeni yake.
 
Kitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM.

Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania.

Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi.
Saivi nendeni na upepo unakoelekea.

Vitu vitano CDM wanahitaji kuviangalia
1. Mapenzi ya wananchi yapo kwa kiongozi gani.
2. Sera za huyo kiongozi ni zipi
3. Kupinga miradi ya JPM kutawaletea migogoro na watanzania
4. Katiba
5. Focus, plan
6. Right direction.

Hotuba za CDM zilenge zaidi kuleta positive feedback kwenye hitaji la watanzania wasasa.
Hawatakuelewa hata siku Moja hawa jamaa Bora wangeacha kumshambulia Magu na Ike Kanda hawana maneno mengi ila Vitendo tyuu, Hakuna mwanachadema aliyefanya utafiti mtaani akajua watanzania wanataka nin shida wamejikita kumshambulia Magu pasina kujua Magu is no longer
 
Umeme mlioshusha wakati wa uchaguzi ili mpate kura na baada ya uchaguzi mkapandisha?

Internet ile ya mb 8 kwa buku moja?

Huyu ibilisi kama mnampenda sana nendeni mkalale pembeni yake.
Daudi you have demons for really, how can you get the confidence of talking like this to deadly spirit, I hope it's not you.
 
Huyu ibilisi namzungumzia hivi tangu akiwa hai na nitaendelea kumzungumzia ata baada ya kwendazake.

Ibilisi ni ibilisi tu.
Idadi aliyoua Mungu wako kwenye bible haijawahi
fikiwa na mtu yeyote, au yeye ana justification ya kufanya ubaya(ubaya akifanya yeye ni sawa)?
Magufuli he wasn a hero na aliiua kama manabii wengi walivyofanya na wafalme wapakwa mafuta.
 
Kwa CDM, ili waweze kuingia bungeni na kushibisha matumbo yao na ndugu zao, LOLOTE LINAWEZEKANA!! Siyo hilo tu, hata kumchukua Ndugai na kumuingiza Kamati Kuu, Kumpa seat ya mbele kabisa, na Mwisho kutangazwa na Mwamba ndiye Mgombea Urais pekee 2025, na kushangiliwa humu mitandaoni na wafuasi wake, yanawezekana pia!!!
 
Back
Top Bottom