greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Hapo ndo mnapofeli ,ila siku mkija kujia ukweli muda ushaenda hvi inamaana magufuli hajawai kuwa na mazuri!!???Sera za JPM za kuteka, kuua na kutupa maiti kwenye viroba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndo mnapofeli ,ila siku mkija kujia ukweli muda ushaenda hvi inamaana magufuli hajawai kuwa na mazuri!!???Sera za JPM za kuteka, kuua na kutupa maiti kwenye viroba?
Haha kabisa, yaani chauma mzee wa ubwabwa ukimsikiliza Ni bora mara mia kuliko chadema.Ikifika 2025 hotuba za Nyerere na Magufuli ndizo zitakuwa zinafanyiwa reference kuwahukumu waliopo! Usishangae eti Chadema watashindwa kutumia jina la Magufuli! Watakuja kutumia tu maana siasa zao leo wanakuambia huu Mkojo kesho watakuambia haya maji we kunywa tu japo sitowa mmoja wao. Refer 2015
Sent using Jamii Forums mobile app
Fala wewe shangazi yako amekopa trillion kumi kwa ujenzi wa choo inaonesha ni jinsi gani anapenda kunya.Sera zipi?
Za uuaji,ufisadi/wizi(trilioni 2.5),utekaji na uongo?
Watz walio wengi walimchukia sana JPM ivyo acha kuwakumbusha machungu ya huyo mfu wako
Bora kukopa kuliko KUIBA,wezi tumewaondoa msipanic tafuteni shughuli halaliFala wewe shangazi yako amekopa trillion kumi kwa ujenzi wa choo inaonesha ni jinsi gani anapenda kunya.
Wanachedema wengi wale wapenda mabadiliko amini usiamini wako pamoja na magufuli.humi wengi ni team msoga na wale bendera fata upepo.Hawatakuelewa hata siku Moja hawa jamaa Bora wangeacha kumshambulia Magu na Ike Kanda hawana maneno mengi ila Vitendo tyuu, Hakuna mwanachadema aliyefanya utafiti mtaani akajua watanzania wanataka nin shida wamejikita kumshambulia Magu pasina kujua Magu is no longer
Hayo mazuri mlifanyiwa nyie,Hapo ndo mnapofeli ,ila siku mkija kujia ukweli muda ushaenda hvi inamaana magufuli hajawai kuwa na mazuri!!???
Chama kikifanya siasa zahivi,Vitu vitano CDM wanahitaji kuviangalia
1. Mapenzi ya wananchi yapo kwa kiongozi gani.
2. Sera za huyo kiongozi ni zipi
3. Kupinga miradi ya JPM kutawaletea migogoro na watanzania
4. Katiba
5. Focus, plan
6. Right direction.
Unafahamika ulivyo mpuuziLabda kwenu huko burundi
Mpuuzi ni bimkubwa wakoUnafahamika ulivyo mpuuzi
Unaona ulivyo mpuuziMpuuzi ni bimkubwa wako
Akili zako hazina tofauti na za kengeHaha kabisa, yaani chauma mzee wa ubwabwa ukimsikiliza Ni bora mara mia kuliko chadema.
Chadema leo wanakuambia hivi kesho wanabadilisha gia angani wanasema vile. Siasa za kupaniki, fujo , harakati nyingi zisizo na kichwa Wala miguu.
Mpuuzi ni aliyekuleta hapa dunianiUnaona ulivyo mpuuzi
Una confirm kuwa wewe ni mpuuziMpuuzi ni aliyekuleta hapa duniani
Hahaha imekuingiaa eeh ? Kenge Ni wewe usiyejielewa Kama chama chako.Akili zako hazina tofauti na za kenge
Aliyekosea Ni Magufuri, yeye alidhani CHADEMA Ni adui zake kumbe CHADEMA walikuwa washindani wake. Alipokuwa amefichwa kitandani ni CHADEMA ndio waliopiga kelele Rais haonekani.
Kwa ushauri tu CHADEMA wajisimamie kwenye Sera yao waachane na Mambo ya Magufuri. Watu wa Magufuri walionesha chuki kubwa kwa CHADEMA kumbe adui alikuwa mwingine.
Labda kwenu huko burundi
Wewe ni mrundi hivyo habari za cdm hazikuhusu endelea kuchunga ng'ombe hapo kwenu burigiTatizo chadema Hanna cha kupoteza Mana mnapewa Ruzuku mnakula mnalewa mnajiandalia matukio ya kupigwa risasi,kuvunjwa miguu,ili mtie huruma kwa wananchi,ila Jitafakalini ni Sera hipi mtatumia kuingia ikulu?,
Ruzuku ikiondolewa nna uhakika mtatafta pa kwenda
Sio hapa tu, ni formula ya siasa Duniani kote hata upande ulio wewe.Kumbe wanasema?
Haya waendelee kusema ila washuhulike na mwenyekiti wao wasituhusishe na upuuzi wao.