Corona ilituokoa sana jamaniHata hivyo mlishajipanga kuwa wapiga kelele mpka mtakapofutika katika nchi hii bila kupata utawala.
Ipo siku mtakuta kuna chama kingine na nyie kubaki kama chama cha Dovutwa.
Umeongea ukweli.Kitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM.
Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania.
Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi.
Saivi nendeni na upepo unakoelekea.
Tumia akili zako vizuri, mkuu. Tunachoangalia ni mapenzi yanawanchi yako wapi. Umeshaambiwa hayo utayazungumza baada ya kupewa nchi. Use that approach usijiendeeendee tu without focus and plan.Sera zipi?Kudanganya Umma kuwa tunajenga Kwa fedha za ndani kumbe ni mikopo?Udikteta uchwara?Au kuwashaghulikia wenye mawazo tofauti?
Umekuwa Zuzu ghafla.Kutajwa kwa Mbowe ,Ridhiwani, kulisaidia sana kuondoa madawa ya kulevya mitaani.
Vijana hawatoi kamasi tena mababarani
Sera zipi?Kitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM.
Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania.
Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi.
Saivi nendeni na upepo unakoelekea.
Ukweli ndio huoSera zipi?
Za uuaji,ufisadi/wizi(trilioni 2.5),utekaji na uongo?
Watz walio wengi walimchukia sana JPM ivyo acha kuwakumbusha machungu ya huyo mfu wako
Wananchi wapi hao?Mimi nadhani Cha msingi ni kugusa changamoto zao directly na sio hizo unazoziita sera za JPM!Tumia akili zako vizuri, mkuu. Tunachoangalia ni mapenzi yanawanchi yako wapi. Umeshaambiwa hayo utayazungumza baada ya kupewa nchi. Use that approach usijiendeeendee tu without focus and plan.
Hawa sukuma gang wamepigwa la kati na wenye chama sasa wanajaribu kutumia wapinzani kama ngao yao.Nani afuate sera za dikiteeta ?
Daudi acha utotoHawa sukuma gang wamepigwa la kati na wenye chama sasa wanajaribu kutumia wapinzani kama ngao yao.
Umeme mlioshusha wakati wa uchaguzi ili mpate kura na baada ya uchaguzi mkapandisha?Umesahau Sera za kushusha umeme mpaka 27,000/=, internet ya bei chee, kuzuia mfumuko wa bei, kurekebisha mikataba ya madini, ujenzi wa miundombinu mikubwa ya kihistoria . Waliotekwa na kuweka ni wale waliokuwa wanajimilikisha nchi . Wale walioonekana wasaliti wakati nchi ipo kwenye vita wote adhabu Yao ni kifo
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Hawatakuelewa hata siku Moja hawa jamaa Bora wangeacha kumshambulia Magu na Ike Kanda hawana maneno mengi ila Vitendo tyuu, Hakuna mwanachadema aliyefanya utafiti mtaani akajua watanzania wanataka nin shida wamejikita kumshambulia Magu pasina kujua Magu is no longerKitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM.
Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania.
Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi.
Saivi nendeni na upepo unakoelekea.
Vitu vitano CDM wanahitaji kuviangalia
1. Mapenzi ya wananchi yapo kwa kiongozi gani.
2. Sera za huyo kiongozi ni zipi
3. Kupinga miradi ya JPM kutawaletea migogoro na watanzania
4. Katiba
5. Focus, plan
6. Right direction.
Hotuba za CDM zilenge zaidi kuleta positive feedback kwenye hitaji la watanzania wasasa.
Ndio maana wanasema, kwenye siasa hamna adui wa kudumu.Hawa sukuma gang wamepigwa la kati na wenye chama sasa wanajaribu kutumia wapinzani kama ngao yao.
Daudi you have demons for really, how can you get the confidence of talking like this to deadly spirit, I hope it's not you.Umeme mlioshusha wakati wa uchaguzi ili mpate kura na baada ya uchaguzi mkapandisha?
Internet ile ya mb 8 kwa buku moja?
Huyu ibilisi kama mnampenda sana nendeni mkalale pembeni yake.
Huyu ibilisi namzungumzia hivi tangu akiwa hai na nitaendelea kumzungumzia ata baada ya kwendazake.Daudi you have demons for really, how can you get the confidence of talking like this to deadly spirit, I hope it's not you.
Kumbe wanasema?Ndio maana wanasema, kwenye siasa hamna adui wa kudumu.
Idadi aliyoua Mungu wako kwenye bible haijawahiHuyu ibilisi namzungumzia hivi tangu akiwa hai na nitaendelea kumzungumzia ata baada ya kwendazake.
Ibilisi ni ibilisi tu.
Kumbe hapo umeshapakwa mafuta !Idadi aliyoua Mungu wako kwenye bible haijawahi
fikiwa na mtu yeyote, au yeye ana justification ya kufanya ubaya(ubaya akifanya yeye ni sawa)?
Magufuli he wasn a hero na aliiua kama manabii wengi walivyofanya na wafalme wapakwa mafuta.
Charisma.Kumbe hapo umeshapakwa mafuta.