Kitakachowafanya CHADEMA kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za Magufuli

Haha kabisa, yaani chauma mzee wa ubwabwa ukimsikiliza Ni bora mara mia kuliko chadema.
Chadema leo wanakuambia hivi kesho wanabadilisha gia angani wanasema vile. Siasa za kupaniki, fujo , harakati nyingi zisizo na kichwa Wala miguu.
 
Sera zipi?

Za uuaji,ufisadi/wizi(trilioni 2.5),utekaji na uongo?

Watz walio wengi walimchukia sana JPM ivyo acha kuwakumbusha machungu ya huyo mfu wako
Fala wewe shangazi yako amekopa trillion kumi kwa ujenzi wa choo inaonesha ni jinsi gani anapenda kunya.
 
Wanachedema wengi wale wapenda mabadiliko amini usiamini wako pamoja na magufuli.humi wengi ni team msoga na wale bendera fata upepo.
 
Vitu vitano CDM wanahitaji kuviangalia
1. Mapenzi ya wananchi yapo kwa kiongozi gani.
2. Sera za huyo kiongozi ni zipi
3. Kupinga miradi ya JPM kutawaletea migogoro na watanzania
4. Katiba
5. Focus, plan
6. Right direction.
Chama kikifanya siasa zahivi,
kinakua sio chama, bali ni genge lawatu wanao kwenda naupepo...

Chama lazima kiwe namisimamo yake, nalazima kiifuate wakati wote.

Sio kwenda kwenda tuu nakila upepo uvumao.
🌍
🇹🇿
✌🏼
 
Haha kabisa, yaani chauma mzee wa ubwabwa ukimsikiliza Ni bora mara mia kuliko chadema.
Chadema leo wanakuambia hivi kesho wanabadilisha gia angani wanasema vile. Siasa za kupaniki, fujo , harakati nyingi zisizo na kichwa Wala miguu.
Akili zako hazina tofauti na za kenge
 
Akili zako hazina tofauti na za kenge
Hahaha imekuingiaa eeh ? Kenge Ni wewe usiyejielewa Kama chama chako.
Lione kubwaaa zimaa jingaa. Unakimbilia kutukana wenzio badala ya kujibu hoja. Umeishiwaa wewe.
 

Hacha kubisha ndugu yangu,Chadema Hakuna Sera anaweza kuja nayo tofauti ya kupitia upepo Wa mafmgufuli mkashinda,Kupambana na huyu mama na Genge lake analoliandaa kwa 2025 Lazima muangalie Wananchi wamekosa kitu gani kwenye fikira zao.
 
Labda kwenu huko burundi

Tatizo chadema Hanna cha kupoteza Mana mnapewa Ruzuku mnakula mnalewa mnajiandalia matukio ya kupigwa risasi,kuvunjwa miguu,ili mtie huruma kwa wananchi,ila Jitafakalini ni Sera hipi mtatumia kuingia ikulu?,
Ruzuku ikiondolewa nna uhakika mtatafta pa kwenda
 
Wewe ni mrundi hivyo habari za cdm hazikuhusu endelea kuchunga ng'ombe hapo kwenu burigi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…