Kitanda, godoro na meza vinauzwa. Shule ya udsm imeshaisha hivyo ndio tunarudi kijijini kwetu

Sasa kwanini umepoteza mda kuja kusoma vitu ambavyo havitakusaidia katika kuendesha maisha yako huo mda wako unge tumia kwenye shamba unģekua mbali

Kwa fani za STEM(science, tech, engineering, math) elimu ni ufunguo aisee....

Kichwa changu kimepata maarifa ambayo nitayatumia mpaka mwisho wa uhai wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…