Kitanda, godoro na meza vinauzwa. Shule ya udsm imeshaisha hivyo ndio tunarudi kijijini kwetu

Kitanda, godoro na meza vinauzwa. Shule ya udsm imeshaisha hivyo ndio tunarudi kijijini kwetu

Habari wadau.

Nauza kitanda cha chuma 5 x 6 na godoro lake.

Kwa kitanda peke yake bei 130,000

Godoro bei 80,000

Meza bei 50,000


Namba ya simu 0754 003 715View attachment 3095464
Karibu mtaaani! Na kila la heri katika biashara yako. Sema siku hiz watu wanaogopa vitu used....cha kukushauri mauziano yenu muandikishane hata kwa mwenyekiti/mtendaji.
 
Kumiliki kitanda cha 5×6 au 6×6, fridge, tv, n.k. shule kuna shida gani? Ufukara na umasikini siyo sifa njema. Badilikeni.

Upo sahihi sana. Nimeshangaa watu wanaosema kitanda cha 5 x 6 ni haramu kwa mwanafunzi
 
Back
Top Bottom