Kitanda, godoro na meza vinauzwa. Shule ya udsm imeshaisha hivyo ndio tunarudi kijijini kwetu

Kitanda, godoro na meza vinauzwa. Shule ya udsm imeshaisha hivyo ndio tunarudi kijijini kwetu

Umaskini shit sana

Huwezi amini watu wanaona 5*6 kitanda ni bonge la luxury.

Lakini kwa ujumla binadamu anatumia muda mwingi kitandani kuliko sehemu nyingine yoyote
 
Kwanini unarudi bush wakati ndo kuna riski kubwa ya kuteseka badala ya kua in town.

narudi kwetu kuendeleza miradi ya kwetu iliyosabisha nipate basic need toka nazaliwa mpaka leo hii.

kwa mimi mjini nateseka kuliko kwetu bush.

sababu iliyonileta mjini ni udsm. hivyo nimeshamalizana na udsm naondoka kama nilivyokuja.

hata vitanda sikuja navyo. ndio maana naviacha kwa kuviuza
 
Nakushauri kwa kua geto unalo bora ungekomaa town na biashara hata ya matunda usiangalie mtu usoni kisa umesoma kuliko kwenda bushi kulima wakat kilimo pia kinahitaji capital ili uvune mazao mengi kwa biashara.

Sio kila anaeenda bush anaenda kulima.

Kila wilaya ina matajiri wake.. inawezekana kwao kuna miradi kibao ya familia anaenda kuiendeleza
 
Sasa kwanini umepoteza mda kuja kusoma vitu ambavyo havitakusaidia katika kuendesha maisha yako huo mda wako unge tumia kwenye shamba unģekua mbali
hahaaa, usisahau maudhui ni kuuza sio ushauri. lakini asante kumuongezea maarifa
 
Town kurudi inategemea na fursa . Ila kwa sasa geto linarudishwa naenda shambani kuliponikuza
Dah nasikitika Sana ,pale ukifika kijijini watakupokea kwa bashasha hasa Kama ulikuwa una utaratibu wa kutuma hela za hapa na pale ,bad enough wao uwa wanaamini ukifika chuo umetoboa ,ni hapo nakuona ukiwa very stressed .

Aisee Kaka rudi nyumbani ila kapige jembe haswa bila kutizama watanionaje .

Ningenunua vitu vyako ili nikuongezee hela ya kwenda kujianza ila Kaka yako niko juu ya mawe ,hela ya vikoba niliyokopa imenitokea puani silali usiku na mchana nimekuwa Kama digidigi ,nenda kapambane mdogo wangu nikiaaliwa kulimaliza hili la mikopo ya vikoba salama bila kufa Wala kukimbia nchi basi nitakutafuta walau tupige hata story .

Kwaheri ,nenda mdogo wangu
 
Back
Top Bottom