Idadi ya uliwachinjia hapo inafikia ngapi vile mdogo wangu😂Habari wadau.
Nauza kitanda cha chuma 5 x 6 na godoro lake.
Kwa kitanda peke yake bei 130,000
Godoro bei 80,000
Meza bei 50,000
Namba ya simu 0754 003 715View attachment 3095464
HongeraNimesoma BSc in Actuarial Science
HahahhahaMkuu hutarudi tena town? Tatizo vitanda vya wana chuo vina mikosi mingi vimelaliwa na demu mbalimbali huenda akakosa fursa za kutoboa maisha bure
Umesomea Actuarial science ambao ni kwa lugha nyingine Risk analysis ila umeshidwa kujifanyia risk analysis mwenyewe.
Kwanini unarudi bush wakati ndo kuna riski kubwa ya kuteseka badala ya kua in town.Nimeshindwa kujifanyia risk analysis kivipi ?
Kwanini unarudi bush wakati ndo kuna riski kubwa ya kuteseka badala ya kua in town.
Kwanini unarudi bush wakati ndo kuna riski kubwa ya kuteseka badala ya kua in town.
Hatari sanaKitanda 5x6 mwanafunzi...!? Ulienda kusoma au kulala?
Ukiuliza GPA aliyopata mwamba sijui...Hatari sana
Habari wadau.
Nauza kitanda cha chuma 5 x 6 na godoro lake.
Kwa kitanda peke yake bei 130,000
Godoro bei 80,000
Meza bei 50,000
Namba ya simu 0754 003 715View attachment 3095464
Aisee kama ulipasi vizuri, usiende kubweteka, tumia kuwa home kujipanga kutafuta kazi kwenye Makampuni ya Bima na Benki
Ni wachache sana wanasoma hio course na kupasua
Nakushauri kwa kua geto unalo bora ungekomaa town na biashara hata ya matunda usiangalie mtu usoni kisa umesoma kuliko kwenda bushi kulima wakat kilimo pia kinahitaji capital ili uvune mazao mengi kwa biashara.
kozi ya kibabe hiyo inakuaje unaondoka dogo?Nimesoma BSc in Actuarial Science
kasema anaenda shambani, sasa shambani watu wanaenda kufanya nini?Sio kila anaeenda bush anaenda kulima.
Kila wilaya ina matajiri wake.. inawezekana kwao kuna miradi kibao ya familia anaenda kuiendeleza
kasema anaenda shambani, sasa shambani watu wanaenda kufanya nini?
Hicho kitanda kinaonekana kimetandikwa shuka vizuri purposely kuvutia wateja..ingekua vyema ungekiacha shagalabagala Tu kama siku zngne
hahaaa, usisahau maudhui ni kuuza sio ushauri. lakini asante kumuongezea maarifaSasa kwanini umepoteza mda kuja kusoma vitu ambavyo havitakusaidia katika kuendesha maisha yako huo mda wako unge tumia kwenye shamba unģekua mbali
Dah nasikitika Sana ,pale ukifika kijijini watakupokea kwa bashasha hasa Kama ulikuwa una utaratibu wa kutuma hela za hapa na pale ,bad enough wao uwa wanaamini ukifika chuo umetoboa ,ni hapo nakuona ukiwa very stressed .Town kurudi inategemea na fursa . Ila kwa sasa geto linarudishwa naenda shambani kuliponikuza