Salaamu wanaJF, na kheri ya mwaka mpya.
Nauza vitu vyangu vya ndani, kwa bei nafuu kabisa:
1. Kitanda (5x6) na Godoro
2. Sofa moja (ya siti mbili)
3. King'amuzi Dstv + dish + waya
4. Pasi
5. Feni.
PICHA halisi...
View attachment 453744
View attachment 453751 HITILAFU: Sofa imechanika kidoogo (kama sentimita mbili hivi) kwa mbele, hapo nilipozungushia kwa rangi.
View attachment 453764
- Vitu vyote bado vipo katika hali nzuri.
- BEI ni Tsh 470,000 (laki nne na elfu sabini) kwa vitu vyote kwa pamoja.
Nipo Dar, maeneo ya Mbagala - Zakiem.
Kwa yeyote anayehitaji, karibu sana PM kwa mazungumzo na mawasiliano zaidi.
Natanguliza shukrani.
Amani kwenu. Barikiwa sana wote.