Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu dstv pamoja na waya na dish lake inatokaje?Salaamu wanaJF, na kheri ya mwaka mpya.
Nauza vitu vyangu vya ndani, kwa bei nafuu kabisa:
1. Kitanda (5x6) na Godoro
2. Sofa moja (ya siti mbili)
3. King'amuzi Dstv + dish + waya
4. Pasi
5. Feni.
PICHA halisi...
View attachment 453744
View attachment 453751 HITILAFU: Sofa imechanika kidoogo (kama sentimita mbili hivi) kwa mbele, hapo nilipozungushia kwa rangi.
View attachment 453764
Nipo Dar, maeneo ya Mbagala - Zakiem.
- Vitu vyote bado vipo katika hali nzuri.
- BEI ni Tsh 470,000 (laki nne na elfu sabini) kwa vitu vyote kwa pamoja.
Kwa yeyote anayehitaji, karibu sana PM kwa mazungumzo na mawasiliano zaidi.
Natanguliza shukrani.
Amani kwenu. Barikiwa sana wote.
Kwan alimaanisha fixed assets... Asset ni chochote unachoweza kuliqudate ukapata mpunga ila fixed ni ardhi na vilivyokuwa attached juu yake kama majengo, petrol stations n.kJielimishe maana sahihi ya asset. Hizi sio assets
Yaani katika hali ya kawida hata kama vya wizi huwezi uza kwa bei hiyo labda atuambie alikuwa house maid kwa wazungu kule masaki wameondoka wamemwachia na hana sehemu ya kuviweka maana yake hana uchungu wala hasara navyo. Ila ninashaka na mmiliki labda atakaye nunua aombe risiti ya awali.Mbona umekuwa mgumu kutoa namba ya simu? Au vya wizi?