Kitanda na rangi za chumba nilichoandaliwa ukweni kimenisononesha sana

Sasa unalala je ukweni , nyumba zote za wageni + na mafanikio yako unaenda kulala ukweni jombaa!
 
Nyumba nimeijenga mwenyewe, nimewakabidhi nyumba ikiwa fully furnished, ndio maana nashangaa. Rangi za vyumba vyote vilikuwa ni nyeupe, vitanda vyote vilikuwa ni queen size, hiki kimetoka wapi?
Nyumba siyo ya kwako ni ya kwao, au nyumba ni yako hiyo? Kuijenga wewe haimaanishi una mamlaka nayo. Mwanaume wa ajabu Sana wewe
 
Unaenda kulala ukweni kwa sababu gani,fika mchana waambie nimekuja kwa dharula kikazi nikaona nipite niwasalimu,masaa mawili chaaaap unarudi.

Usilale ukweni kama hujaja na mkeo.
 
Kaskazini mwanaume ni mwiko kulala ukweni. Mbwiga wewe.
 
Unaenda kulala ukweni kwa sababu gani,fika mchana waambie nimekuja kwa dharula kikazi nikaona nipite niwasalimu,masaa mawili chaaaap unarudi.

Usilale ukweni kama hujaja na mkeo.
Ata ukiwa na Mkeo,tusilale ukweni beba mke wako nendeni gest ya karibu lala huko,na kama Mkeo kamiss sana ndugu zake muache alale na mamake na ndugu zake nenda mwenyewe kalale huko rud asbh,
mkwe ukiwa ukweni n heshima kubwa sn Huku Kanda ya ziwa,huwez lala ukakoroma ukweni
 
.
 
Unaenda kulala ukweni kwa sababu gani,fika mchana waambie nimekuja kwa dharula kikazi nikaona nipite niwasalimu,masaa mawili chaaaap unarudi.

Usilale ukweni kama hujaja na mkeo.
Nimeitwa na wakwe, hoja zao nomezisikiliza Hadi saa nane usiku. Huku migombani Kuna guest house Gani ningepata kwa muda huo?
 
Umechelewa, tayari kwisha habari yako!!!!
 
Umekwisha, huu mwezi humalizi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…