Kitanda na rangi za chumba nilichoandaliwa ukweni kimenisononesha sana

Wanajua wewe ni kachawi.Umeandaliwa kilinge hicho!
 
1. Rangi ya dhambarau ni Rangi ya kifalme kwa nyakati za kale.

2. Rangi nyekundu ni ukombozi kwa damu ya Yesu
 
Boy!, hivi unajua ya kwamba humu tuko watu wazima pia!?
 
Unalalaje ukweni bro chukua chumba gest ulale nyumbani unaenda kusalimia na kupiga msosi labda kama uchumi hauko sawa unapaswa ulale nyumbani kwenu tu hata kama pakoje,mwanaume unalale ukweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ