Uchaguzi 2020 Kitanzi cha CCM Kawe: Watia nia 176 wa ubunge dhidi ya Halima Mdee CHADEMA


Ndugu, lengo lao sio ubunge

Wengi ni CV zao zifike kwa wakubwa waonekane teuzi za baadae
 
Hivi kawe cdm kura za maoni tayari ?

Sent using Jamii Forums mobile app
yes, Halima kashinda by 67%?? or so! mesema kama haki itatendeka, hana shida na mtu, lkn ikiwa watatumia kauli ya Jiwe: 'Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi, nikulipe mshahara,nikupe gari na kukujazi mafuta halafu umtangaze mpinzani.' hili katu hatalikubali!
 
Hahahaha ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ni kuzuri sana sasa hivi
Your browser is not able to display this video.
 
Nimesema watabaki walau 20 wenye nguvu na shida halisi itaonekana kwenye tano bora
 
Ila mkuu uchaguzi wa 2015 ccm dar walisalitiana sana kuanzia mkoa hadi katani , but this time kawe uchaguzi mtamu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasije wakanyukana tu mangumi wenyewe kwa wenyewe...

Ova
 
Hizi ramli huwa zinadanganya sana wandugu, huu uzi usifutwe ili tuje tuufukue hapa October 26
 
Vita vya panzi furaha kwa kunguru,wewe una beki kama Gwajiboy umpe namba amzuie mshambuliaji hatari kama Mdee .
Kitachotokea ni beki kujifunga goal mwenyewe.
 
Hahahahaha maccm yakigombania buku 7. Kikwete hakukosea aliposema ccm kuna MAFISI. Yanavyochapana hapa ni sawa kabisa na mafisi ya Serengeti yanapogombania kitoweo.
Kaa mambwaa kabisa haya matakata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…