Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hivi kawe cdm kura za maoni tayari ?Mshana, mbona sioni Halima kulitetea jimbo lake? She is so naive napata maumivu mimi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kawe cdm kura za maoni tayari ?Mshana, mbona sioni Halima kulitetea jimbo lake? She is so naive napata maumivu mimi!
Hiyo namba nne yako ndio inakwenda kutokea, watashindwa na mwanamke halafu hawataweza hata kuangaliana usoni. Huo wingi wa waliochukua fomu hautawaacha salama, lazima wapasuke makundi.
Japo wao wanaona sifa wengi kujitokeza kwenda kuchukua fomu, utadhani hizo fomu wanazichukulia mwezini.
Sawa sawa na wengi zaidi ndio target yao hyNdugu, lengo lao sio ubunge
Wengi ni CV zao zifike kwa wakubwa waonekane teuzi za baadae
yes, Halima kashinda by 67%?? or so! mesema kama haki itatendeka, hana shida na mtu, lkn ikiwa watatumia kauli ya Jiwe: 'Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi, nikulipe mshahara,nikupe gari na kukujazi mafuta halafu umtangaze mpinzani.' hili katu hatalikubali!
Hahahaha ni kweliyes, Halima kashinda by 67%?? or so! mesema kama haki itatendeka, hana shida na mtu, lkn ikiwa watatumia kauli ya Jiwe: 'Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi, nikulipe mshahara,nikupe gari na kukujazi mafuta halafu umtangaze mpinzani.' hili katu hatalikubali!
Kweli ni kuzuri sana sasa hiviKwani Jumla ya Wajumbe waliomchagua Mdee si ni 63 kati ya kura 71. Ona Sasa CCM Wagombea tu Wapo Wengi kuliko wapiga kura wa Chadema huko Kawe. Kimahesabu huko kawa CCM inawapiga kura wengi na wamejiandaa kisaikolojia atakayepenya kati yao huyo ndiye atakuwa Mbunge wa Kawe.
CCM kumeonekana ni Kuzuri sana sasa hivi.
Nimesema watabaki walau 20 wenye nguvu na shida halisi itaonekana kwenye tano boraMimi mtazamo wangu ni tofauti,nadhani wingi wa watia nia ni advantage kwa CCM,maana watia nia 80 mpaka hapo kila mtia nia kisaikolojia ameshakata tamaa! Hata watakaoshindwa wataona ni kawaida tu,labda kama kutakuwa na mizengwe ya waziwazi.Hatari ingekuwa kama wagombea wangekuwa wachache,labda 4 hivi hapo kila mmoja angekuwa anaona chance ya kupata uteuzi ni kubwa kuliko hali ilivyo sasa.Kisaikolojia wote wameshakata tamaa,hata wasipoteuliwa "reaction" yao sio kubwa kihivyo.
Ila mkuu uchaguzi wa 2015 ccm dar walisalitiana sana kuanzia mkoa hadi katani , but this time kawe uchaguzi mtamu sanayes, Halima kashinda by 67%?? or so! mesema kama haki itatendeka, hana shida na mtu, lkn ikiwa watatumia kauli ya Jiwe: 'Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi, nikulipe mshahara,nikupe gari na kukujazi mafuta halafu umtangaze mpinzani.' hili katu hatalikubali!
Namna gani paleNdugu -Y.. [emoji125][emoji196][emoji125][emoji196][emoji125]
View attachment 1508075
Mh! sijapenda kimya kingi, Halima namtegemea sana CDM akae na Ubunge kwa michango bungeniKimya kingi...?
Na badoMorogoro tayari wameshaanza kuparurana
View attachment 1508064
Kaa mambwaa kabisa haya matakata.Hahahahaha maccm yakigombania buku 7. Kikwete hakukosea aliposema ccm kuna MAFISI. Yanavyochapana hapa ni sawa kabisa na mafisi ya Serengeti yanapogombania kitoweo.