Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokana na udhaifu uliyokomaa wa mtoto 'asiekuwa' kwa sababu ya kutegemea sana dola mnaiogopa sana na kuichukia TUME huru.Mwisho wa siku utaskia Kura zimeibiwa
Hao wote NI BYE BYE hawana nafasi wala ruksa wala fursa ndani ya Chama chetu, waende kwingine na wamerahisisha kazi kwa vyombo vya uchujaji na uteuzi ndani ya CCM.Morogoro tayari wameshaanza kuparurana
View attachment 1508064
Hili linaweza kuwa ajabu lingine la dunia ama linaweza kuingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia World Guinness Book of Records, ama linaweza kuvunja rekodi ya nchi na dunia kwa jimbo moja la ubunge kuwa na watia nia wengi kuwahi kutokea na karibia asilimia mia moja wa chama kimoja.
Pamoja na kwamba kibubu cha tume ya uchaguzi ya CCM kitatuna kwa mapato na pengine kuwa jimbo lililoingiza mapato mengi zaidi kwa kuuza form nyingi zaidi lakini madhara yake ni makubwa kuliko hayo mapato.
1. Katika watia nia wote hao 80 nina hakika hawapungui walau 20 wenye nguvu ya pesa, ushawishi ndani ya chama na wale wa mbeleko na vimemo. Kwa kuzingatia hili pekee tayari yatatokea makundi yasiyopungua 10 hivi. Makundi yenye nguvu na misuli ya kila aina. Hapa badala ya kupambana na adui yataanza kupambana yenyewe kwa yenyewe.
Jimbo la Kawe lililomegwa kutoka Kinondoni limekuwa na umaarufu mkubwa kuliko hata Kinondoni yenyewe na hii pengine ni kutokana na jiografia yake na aina ya mtu anayelishikilia.
3. CCM wanalitaka hilo Jimbo kwa hali na mali. Na wamewekeza muda mrefu sana tena kwa gharama kubwa mno. Hivyo kitendo cha kulikosa kitakuwa aibu kubwa, fedheha na hasara kubwa kisiasa.
4. Kitendo cha wanaume na uwekezaji wao wote kuja kushindwa na mwanamke mmoja ni ndoto ya kutisha sana na jinamizi wasilolipenda CCM
5. Kuonesha umwamba na ubabe kuwa wakitaka kitu hawashindwi kwakuwa wana kila kitu kila nyenzo ya kupata ushindi
Ni kwa muktadha huo wa kukamia kulikopitiliza hilo jimbo.. Wamejikuta wanatoa boko. Kwakuwa watatumia muda mwingi sana kwenye:
Mchujo
Kupata tano bora
Kwenye kupata mgombea mmoja
Kwenye kuunganisha makundi
Kwenye kuponya majeraha kabla ya uchaguzi
Kumbuka kila hatua kati ya hizo zote itaacha maumivu kwa kundi fulani
Ni wakati wakihangaika na yote haya Halima Mdee atakuwa busy kuimarisha himaya yake.
Matokeo yake ni nini? Muda utasema
Fanya utafiti bila mihemko utagundua hauko sahihi. Nina uzoefu wa kawe kabla ni jimbo la kinondoniMdee anakubalika sana Kawe. Ni mtu wetu ni dada yetu na amefanya mambo mengi mazuri sana Kawe pamoja na figisu za ccm.
Tano tena kwa Mdee
Kuna mtu kadhubutu kuchukuchua Kongwa kweliNdugu -Y.. [emoji125][emoji196][emoji125][emoji196][emoji125]
View attachment 1508075
Halima ni sawa na wavulana 4000 wa uvccm,utopolo 6000 ndio sawa na sauti ya zege...policeccm bila madc,marc,tiss hakuna ushindi zaidi ya kukimbia na mabox ya kura kama kinondoniHili linaweza kuwa ajabu lingine la dunia ama linaweza kuingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia World Guinness Book of Records, ama linaweza kuvunja rekodi ya nchi na dunia kwa jimbo moja la ubunge kuwa na watia nia wengi kuwahi kutokea na karibia asilimia mia moja wa chama kimoja.
Pamoja na kwamba kibubu cha tume ya uchaguzi ya CCM kitatuna kwa mapato na pengine kuwa jimbo lililoingiza mapato mengi zaidi kwa kuuza form nyingi zaidi lakini madhara yake ni makubwa kuliko hayo mapato.
1. Katika watia nia wote hao 80 nina hakika hawapungui walau 20 wenye nguvu ya pesa, ushawishi ndani ya chama na wale wa mbeleko na vimemo. Kwa kuzingatia hili pekee tayari yatatokea makundi yasiyopungua 10 hivi. Makundi yenye nguvu na misuli ya kila aina. Hapa badala ya kupambana na adui yataanza kupambana yenyewe kwa yenyewe.
Jimbo la Kawe lililomegwa kutoka Kinondoni limekuwa na umaarufu mkubwa kuliko hata Kinondoni yenyewe na hii pengine ni kutokana na jiografia yake na aina ya mtu anayelishikilia.
3. CCM wanalitaka hilo Jimbo kwa hali na mali. Na wamewekeza muda mrefu sana tena kwa gharama kubwa mno. Hivyo kitendo cha kulikosa kitakuwa aibu kubwa, fedheha na hasara kubwa kisiasa.
4. Kitendo cha wanaume na uwekezaji wao wote kuja kushindwa na mwanamke mmoja ni ndoto ya kutisha sana na jinamizi wasilolipenda CCM
5. Kuonesha umwamba na ubabe kuwa wakitaka kitu hawashindwi kwakuwa wana kila kitu kila nyenzo ya kupata ushindi
Ni kwa muktadha huo wa kukamia kulikopitiliza hilo jimbo.. Wamejikuta wanatoa boko. Kwakuwa watatumia muda mwingi sana kwenye:
Mchujo
Kupata tano bora
Kwenye kupata mgombea mmoja
Kwenye kuunganisha makundi
Kwenye kuponya majeraha kabla ya uchaguzi
Kumbuka kila hatua kati ya hizo zote itaacha maumivu kwa kundi fulani
Ni wakati wakihangaika na yote haya Halima Mdee atakuwa busy kuimarisha himaya yake.
Matokeo yake ni nini? Muda utasema
Halafu mafisi jike yani wao muda wote uharo hata akila nyama fresh[emoji16]Hahahahaha maccm yakigombania buku 7. Kikwete hakukosea aliposema ccm kuna MAFISI. Yanavyochapana hapa ni sawa kabisa na mafisi ya Serengeti yanapogombania kitoweo.
What do u mean exactly?!Fanya utafiti bila mihemko utagundua hauko sahihi. Nina uzoefu wa kawe kabla ni jimbo la kinondoni
Shida ni ajira hakuna,halafu kutwa wao ni kumsifia meko hata akipiga chafya.hao 100 wanasaka ajira wasife njaa mana kawe alummin yuko geto kwa shababi kwa mkopo mume kamtorokaKawe wamefika 100, kinondoni 55
[emoji23][emoji23][emoji23] **** vile masimba yanagombania nyamaMorogoro tayari wameshaanza kuparuranaView attachment 1508064
Fomu ya juu kuliko zote imetoka, ikawa nongwa kwa majority. Form za watia nia ubunge zimekuwa utitiri, imekuwa nongwa pia. BTW, hiki ni chanzo kizuri cha mapato kwa hao CCM, mbona ya upande wa pili yanaumiza wengi? This is why huwa nasema kuitoa CCM madarakani inaweza kuwa ngumu kuliko, coz hata tunaosema tuko nje bado tunaiabudu na kuisujudia kwa maandiko na mabandiko yetu.
Makundi ndani ya CCM YALIKUFA RASMI 2015 usitarajie kuyaona tena.AKISHAPITISHWA MMOJA WOTE WANAUNGANA KUMUUNGA MKONO
Hapo ni demokrasia tu iko kazini,KILIMAJARO WAMEOMBA WATU 241 kuomba kuteuliwa na CCM .CHADEMA wengi wahawajaomba sababu hawaitaki chadema .Ushahidi majimbo ambayo Chadema wamweka wagombea ni asilimia tano tu ya majimbo yote ya uchaguzi Tanzania
Na 2015 ilikuaje?Unaweza kuwa sahihi maana halima 2010 aliupata baada ya Katibu wa Mkoa wa CCM kuingiza jina la Kizigha kinyemela wanaCCM wakanuna na kumpa mdee.
Kiongozi sijakuelewa vizuri, hao wapiga 71 ni wajumbe wa CDM walio mpitisha Halima kuwa mgombea wa chama chao, ama ndio wapiga kura wa jimbo zima la kawe?Kwani Jumla ya Wajumbe waliomchagua Mdee si ni 63 kati ya kura 71. Ona Sasa CCM Wagombea tu Wapo Wengi kuliko wapiga kura wa Chadema huko Kawe. Kimahesabu huko kawa CCM inawapiga kura wengi na wamejiandaa kisaikolojia atakayepenya kati yao huyo ndiye atakuwa Mbunge wa Kawe. CCM kumeonekana ni Kuzuri sana sasa hivi.
Ningekuwa huko ningempa Mdee haijalishi nashabikia chama kipi?[emoji44][emoji44][emoji30][emoji30]halafu waje kushindwa wote na Mdee [emoji848][emoji848][emoji848][emoji3][emoji3]