Uchaguzi 2020 Kitanzi cha CCM Kawe: Watia nia 176 wa ubunge dhidi ya Halima Mdee CHADEMA

Hawa waliopigana bora tu wasichukue hizo fomu. hakuna atakayefikiriwa hata mmoja. hizo pesa wakazitumie kwenye mambo mengine. CCM hii siyo ile 2015 ambayo kuna mtu alimshughulikia mwenzake na bado akachaguliwa kuwa mbunge
 
Mwisho wa siku utaskia Kura zimeibiwa
Kutokana na udhaifu uliyokomaa wa mtoto 'asiekuwa' kwa sababu ya kutegemea sana dola mnaiogopa sana na kuichukia TUME huru.
Mnaogopa DEMOCRACY na uhuru wa waTz katika kuamua mambo yao/siasa kwa haki.
Matokeo yake mna kelele nyingi za mapambio na kuabudu kuliko kutoa hoja za msingi.
Kama kibatali kinachotoa joto jingi kuliko mwanga, hamfai mmekosa mvuto.
Na msingekuwa pia na moshi mwingi labda mngeweza kufaa angalau kwa kupikia.
 
Halima yupo na panga anasubiri panya watoke akate vichwa tu!

Yaani these motherfvckers think they can dethrone her?

They are on drugs or something!
 
Mdee anakubalika sana Kawe. Ni mtu wetu ni dada yetu na amefanya mambo mengi mazuri sana Kawe pamoja na figisu za ccm.
Tano tena kwa Mdee
Fanya utafiti bila mihemko utagundua hauko sahihi. Nina uzoefu wa kawe kabla ni jimbo la kinondoni
 
Hao wote NI BYE BYE hawana nafasi wala ruksa wala fursa ndani ya Chama chetu, waende kwingine na wamerahisisha kazi kwa vyombo vya uchujaji na uteuzi ndani ya CCM.
[emoji44][emoji44][emoji44]
 
Halima ni sawa na wavulana 4000 wa uvccm,utopolo 6000 ndio sawa na sauti ya zege...policeccm bila madc,marc,tiss hakuna ushindi zaidi ya kukimbia na mabox ya kura kama kinondoni
 
Hahahahaha maccm yakigombania buku 7. Kikwete hakukosea aliposema ccm kuna MAFISI. Yanavyochapana hapa ni sawa kabisa na mafisi ya Serengeti yanapogombania kitoweo.
Halafu mafisi jike yani wao muda wote uharo hata akila nyama fresh[emoji16]
 
Reactions: BAK
 


Hii 5% mnaitaja sana, nadhani mnatuanda kisaikolojia kuna kitu mmekiandaa.
haya Muda utasema.
 
Kiongozi sijakuelewa vizuri, hao wapiga 71 ni wajumbe wa CDM walio mpitisha Halima kuwa mgombea wa chama chao, ama ndio wapiga kura wa jimbo zima la kawe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…