Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heeee makubwa!Morogoro tayari wameshaanza kuparuranaView attachment 1508064
Hapo wenye nguvu hawafiki wa tano ( nguvu ktk kura zao hizo ) huku nje wajipangeWatia nia wamefika 177
Hii kali nimecheka kwa nguvuDah...kibongobongo...kazi ya ubunge ndiyo kazi rahisi kukiko zote ....inahitaji sifa mbili tu ..kujua kusoma na kuandika...wakati Konda wa daladala lazima ajue na kuhesabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanamke wa shoka?Halima ni mwanamke wa shoka
Achana na hao wanaojiita superwoman wa TV tu
Ova
Hapana ndugu yangu; hao wanaweza kuingia bungeni na kututungia sheria. Lazima tuwaangalie kwa makini na kuwasema mapema kabla hatujachelewa.
======
UPDATE: Waliochukua fomu hadi leo, Julai 17, wamefikia 176
======
Hili linaweza kuwa ajabu lingine la dunia ama linaweza kuingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia World Guinness Book of Records, ama linaweza kuvunja rekodi ya nchi na dunia kwa jimbo moja la ubunge kuwa na watia nia wengi kuwahi kutokea na karibia asilimia mia moja wa chama kimoja.
Pamoja na kwamba kibubu cha tume ya uchaguzi ya CCM kitatuna kwa mapato na pengine kuwa jimbo lililoingiza mapato mengi zaidi kwa kuuza form nyingi zaidi lakini madhara yake ni makubwa kuliko hayo mapato.
1. Katika watia nia wote hao 80 nina hakika hawapungui walau 20 wenye nguvu ya pesa, ushawishi ndani ya chama na wale wa mbeleko na vimemo. Kwa kuzingatia hili pekee tayari yatatokea makundi yasiyopungua 10 hivi. Makundi yenye nguvu na misuli ya kila aina. Hapa badala ya kupambana na adui yataanza kupambana yenyewe kwa yenyewe.
Jimbo la Kawe lililomegwa kutoka Kinondoni limekuwa na umaarufu mkubwa kuliko hata Kinondoni yenyewe na hii pengine ni kutokana na jiografia yake na aina ya mtu anayelishikilia.
3. CCM wanalitaka hilo Jimbo kwa hali na mali. Na wamewekeza muda mrefu sana tena kwa gharama kubwa mno. Hivyo kitendo cha kulikosa kitakuwa aibu kubwa, fedheha na hasara kubwa kisiasa.
4. Kitendo cha wanaume na uwekezaji wao wote kuja kushindwa na mwanamke mmoja ni ndoto ya kutisha sana na jinamizi wasilolipenda CCM
5. Kuonesha umwamba na ubabe kuwa wakitaka kitu hawashindwi kwakuwa wana kila kitu kila nyenzo ya kupata ushindi
Ni kwa muktadha huo wa kukamia kulikopitiliza hilo jimbo.. Wamejikuta wanatoa boko. Kwakuwa watatumia muda mwingi sana kwenye:
Mchujo
Kupata tano bora
Kwenye kupata mgombea mmoja
Kwenye kuunganisha makundi
Kwenye kuponya majeraha kabla ya uchaguzi
Kumbuka kila hatua kati ya hizo zote itaacha maumivu kwa kundi fulani
Ni wakati wakihangaika na yote haya Halima Mdee atakuwa busy kuimarisha himaya yake.
Matokeo yake ni nini? Muda utasema
Sasa watia nia wengi wanaibiwa na kundi la wajanja wachache waliojipenyeza humo usiku na mchanaUnaweza kuwa sahihi maana halima 2010 aliupata baada ya Katibu wa Mkoa wa CCM kuingiza jina la Kizigha kinyemela wanaCCM wakanuna na kumpa mdee.
Wote wanachunwa pesa zao na madalali wa siasa wakidanganywa watashindaWatia nia wamefika 177
And you are the dispenser of that reality?Halima itabaki stori aliwahi kuwa mbunge machachari wa Kawe!! hawezi kushinda by any means and she should start to prepare to face that reality and get used to it!!
And you are the dispenser of that reality?
Which makes you an ignominious.
Sasa safari hii Angela kizigha yuko moto anapambana na Yusuph Mwenda .. Muda huu wajumbe wapiga kura baadhi wanakutana sehemu kupanga yaoUnaweza kuwa sahihi maana halima 2010 aliupata baada ya Katibu wa Mkoa wa CCM kuingiza jina la Kizigha kinyemela wanaCCM wakanuna na kumpa mdee.
Mie Naona halima keshapita maana huku si kujichanganya, maskini CCM KaweSasa safari hii Angela kizigha yuko moto anapambana na Yusuph Mwenda .. Muda huu wajumbe wapiga kura baadhi wanakutana sehemu kupanga yao
Uchaguzi ni Leo ukumbi wa mbezi beach huko
Hahahaha,tu subiri tuoneMie Naona halima keshapita maana huku si kujichanganya, maskini CCM Kawe
2010-2015 Ccm wakawe walijichanganya kumleta Angela kazigha ,wakasalitianaMie Naona halima keshapita maana huku si kujichanganya, maskini CCM Kawe
Hata Kigamboni kama wataforce kuliingiza lishenzi Bashite jua upinzani utachukua. Inabidi intelligensia ya chama ifanyekazi haswa kujua nani Kawe anapendwa maana halima has to go kwa kweli2010-2015 Ccm wakawe walijichanganya kumleta Angela kazigha ,wakasalitiana
2015-2020 Ccm walirudia kosa lile lile kwa kumleta Kipi Warioba ,na ule upepo wa EL ,wakasalitiana zaidi ( kiasi viongozi wengi wa Ccm mkoa na wilaya walipoteza nafasi zao
2020-2025 , wakibugi tena imekula kwao
Kama kawe watapita Hawa halima kutusua ni ngumuHata Kigamboni kama wataforce kuliingiza lishenzi Bashite jua upinzani utachukua. Inabidi intelligensia ya chama ifanyekazi haswa kujua nani Kawe anapendwa maana halima has to go kwa kweli