Kitchen na dining rooms za watanzania wengi hazitumiki inavyotakiwa. Hivi ni kwa nini?

Hamna undugu unaojengwa Kwa kugombania Sinia Moja la ubwabwa ndio maana muafrica akaitwa nyani sababu nyingine ni hii
 
Mfano kwa wakazi wa Dar wale wasio na feni ndani ya nyumba kipindi cha joto unawashauri wapikie ndani na kula humo humo ndani?
 
Mfano kwa wakazi wa Dar wale wasio na feni ndani ya nyumba kipindi cha joto unawashauri wapikie ndani na kula humo humo ndani?
Sasa mbona hata misimu ambayo siyo ya joto hawatumii jiko na dining?

Kuna vitu huwa nashangaa sana kuhusu Watanzania mtu ana flat T.V ya mamilioni, friji la bei, bonge la muziki, sofa za gharama, nje kapaki gari ya 35m ila jenereta, solar panel, AC, washing machine au feni ndani hana

Hivi Watanzania huwa tunafeli wapi yaani hatujui vitu gani tuvipe kipaumbele katika nyumba zetu

Mtu ana ghorofa umeme ukikatika anatumia mshumaa
​
 
Huo ni utaratibu nyumbani kwa wajomba zangu hadi Leo, kitengwe kipepetwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…