Kiteknolojia China iko sawa na nchi za Marekani na Ulaya

Huoni kuwa hizo Ulizonitumia Ni research, Paper Thesis ambazo zimeongozwa na Vyuo? Yes hiyo ni Moja ya factors lakini zipo nyingi.
Sikutegemea ungetumia Criteria Moja kama deriving factor yako, unanistaajabisha. Anyways tofauti ipo kwenye mtazamo. Na Mimi sio Mchumi. Naomba niishie hapa.
Hii ndio report uliyotuma kama Screenshot, uonekane umepost hoja.
 

Attachments

Umepiga hesabu za cost of living kati ya China na Marekani?

Miaka ya nyuma Marekani ilikuwa ikiwavutia scientists na engineers wa China kwenda huko

These days there is huge exodus of Chinese scientists and enngineers leave U.S for China
 

Attachments

  • Screenshot_20241113_174924_Google.jpg
    796.3 KB · Views: 4
Supply chain za Marekani, Ulaya na India hazijaifikia China

Manufacturing ecosystem iliyoko China ni ya hali ya juu

Ndio maana bado hata hizo factories zilizopo India, Vietnam, Indonesia hata Marekani na Ulaya bado zinaimport critical components au parts kutoka kwa Chinese suppliers
 

Sababu ni cheaper kutengeneza huko. Kazi ngumu mpe mjinga wewe fanya kazi laini kwa maslahi makubwa. Boss wako anafanya kazi chache kuliko wewe ila analipwa zaidi.

Miundombinu West Ipo ila gharama. China bado wanajitafuta wakijipata nao wata outsource vitu wabaki na kazi laini kwa maslahi makubwa. China walipo sasa West ilipita huko miaka 50 iliyopita.
 
Sababu ni cheaper kutengeneza huko. Kazi ngumu mpe mjinga wewe fanya kazi laini kwa maslahi makubwa. Boss wako anafanya kazi chache kuliko wewe ila analipwa zaidi
Kiuchumi Mchina anafaidika maana wanaosupply ni China-based manufacturers

Hii ina faida kwa uchumi wa China kuuza components na parts nje ya nchi na kuongeza pato kwa serikali na ajira kwa wanachi wa China
 
China walipo sasa West ilipita huko miaka 50 iliyopita.
Unaweza kututajia mifano halisi ya mataifa ya West ambayo miaka 50 iliyopita yalikuwa na uchumi kama wa China wa sasa $18 trillion

Au mataifa ambayo total global manufacturing output share yalikuwa sawa na ya China ya sasa 37%
 
Umesema vyema

China's strong manufacturing ecosystem kama infrastructure, skilled workforce, technological advancement n.k imeifanya China iwe the world's factory na kuwavutia wawekezaji kutoka mataifa mengine

Kwa mfano jiji la Shenzhen mpaka limepewa jina as world's hub for the electronics industry. Lina strong ecosystem au supply chain kusupport utengenezaji wa kifaa chochote cha umeme duniani iwe ni simu, kompyuta, TV n.k

Shenzhen iko full package kuanzia component manufacturers, low-cost workers, technical workforce, assembly suppliers, R&D centers

Karibu 90% ya components na vifaa vya electronics duniani vinatengenezwa Shenzhen, China.

Hakuna kampuni ya kutengeeza electronics duniani ambayo haina suppliers au office jijini Shenzhen
 
Hiyo research unakubaliana nayo au unaipinga?
 
China ina supply kubwa ya cheap labors that's it. Engineer wa China analipwa $400 kwa mwezi wakati kiwanja janitor tu anatengeneza hiyo kwa wk na benefits zote from health insurance, paid time off, life insurance, pension nk.
Hii excuse sasa imebaki kutumiwa na wachache sasa hivi wewe mmoja wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…