Kiteknolojia China iko sawa na nchi za Marekani na Ulaya

Kiteknolojia China iko sawa na nchi za Marekani na Ulaya

Hii excuse sasa imebaki kutumiwa na wachache sasa hivi wewe mmoja wao
Huwa nawashangaa sana wanaotumia hiyo excuse

Imagine mtu kama Tim Cook wa Apple ameweka wazi kuhusu hilo wako China kwa sababu ya uwepo wa kwa sababu kuu 2 supply chain na skilled labourforce

Ingekuwa ni suala la low labor cost kuna mataifa yana low labor cost wangeenda kuwekeza huko
 
China habari nyengine
Ndio maana wanaihofia, China imekuwa nightmare kwao

Si umeona raisi wa Microsoft mpaka anasema ni wakati wa Marekani na Ulaya kushirikiana

Utafiti unaonyesha kufikia 2030 China itachangia industrial global output kufikia 45%

Wakati Marekani itakuwa inachangia 11% na mataifa yote yenye High Income kwa pamoja yatachangia 38%

Halafu kuna mtu anakwambia The next China is India

The next China is China
 
China suala jengine
 
Vyuo bora duniani kwa tafiti za kisayansi kwa sasa kwenye top 10 China ina vyuo saba. Namba moja ikiwa ni Chinese Academy of Sciences

View attachment 3151770
Sio poa sishangai Sana Hao watu tayari walisha onyesha Ubora miaka zaidi ya 2000 huko iliyopita kupitia the great wall of china Nadhani pia typing write machine iligunduliwa toka kwao if I'm mistaken so hiki wanacho Fanya sasa ni marudio tu ya uwezo waliowahi kuwa nao ancestors wao ,
 
Hiyo mbona sio siri China kwa sasa ndio inaongoza kwenye technological innovation.

Huko kuna hadi maduka yana technology ya kulipia kwa ku-scan kiganja cha mkono tu. Wanawazidi west kwenye kila nyanja technology ya ujenzi wa infrastructure, ubunifu nadhani ni ndio nchi pekee inayotumia vioo ku-reflect mwanga wa jua na kuzalishia umeme, BYD imeipiku Tesla kama brand inayouza magari mengi ya umeme duniani.

Technologically china wako mbali kwa sasa west wanafanya catching up.
Kwa kweli Ila west wanacho Wazidi wachina ni propaganda tu
 
Kiwanja hawana uwezo wa kuzalisha kama China.

Upande wa graduates wa STEM (Science, Technology, Engineering, Maths) China ndiyo inaongoza duniani

Mwezi June China imezalisha engineers 1,700,000 wakati Marekani ni 120,000 tu

Mind the gap
Ila jamaa ukishapenda kitu hua unafurahisha na kusikitisha sana, ila unatoa data ya graduate bila kuangalia idadi ya watu wa chini....wewe unataka nchi ya watu 200milion itoe graduates zaidi ya nchi yenye watu 1bilion! Inashangaza sana.
 
Sio poa sishangai Sana Hao watu tayari walisha onyesha Ubora miaka zaidi ya 2000 huko iliyopita kupitia the great wall of china Nadhani pia typing write machine iligunduliwa toka kwao if I'm mistaken so hiki wanacho Fanya sasa ni marudio tu ya uwezo waliowahi kuwa nao ancestors wao ,
Unawapata vizuri wanacho fanya sasa kwangu sio kipya wamekuwa wakifanya katika historia yao.

Madaynasty yao ya nyuma huko yamefanya mabalaa mengi hawa wa sasa wanafanya marudio tu uzuri wanajijua wao wana akili toka kale hivyo haiwapi shida kupush button ya maendeleo popote walipo duniani
 
Ila jamaa ukishapenda kitu hua unafurahisha na kusikitisha sana, ila unatoa data ya graduate bila kuangalia idadi ya watu wa chini....wewe unataka nchi ya watu 200milion itoe graduates zaidi ya nchi yenye watu 1bilion! Inashangaza sana.
Calculate ratio halafu uje na jibu
 
Kiwanja hawana uwezo wa kuzalisha kama China.

Upande wa graduates wa STEM (Science, Technology, Engineering, Maths) China ndiyo inaongoza duniani

Mwezi June China imezalisha engineers 1,700,000 wakati Marekani ni 120,000 tu

Mind the gap
Population matter....... Population kubwa ya china pia ime changia kuwa na engineers wengii than US
 
Population matter....... Population kubwa ya china pia ime changia kuwa na engineers wengii than US
Piga ratio ya population ya China na Marekani na engineers

Bado utaona China wanazalisha emgineers wengi zaidi ya Marekani

Na bado 30% ya graduates nchini Marekani wana asili ya Asia hasa Wachina na Wahindi
 
Kama ni ku-outsource walishaanza ukienda Latin America kama Mexico na ASEAN countries kuna investment nyingi za Mchina na wameanza kuingia hata Ulaya

That proves my point. Kazi ngumu mpe mjinga wewe fanya kazi laini kwa maslahi makubwa ndo walichofanya wawest na wachina wakijipata watafanya kitu hicho hicho.
 
Back
Top Bottom