Kiteknolojia China iko sawa na nchi za Marekani na Ulaya

Kumbuka pia china inawatu bilion moja na million mia nne na marekan wapo milion mia tatu
Hata ukizingatia wastani wa engineers na population za mataifa yote 2 bado kwa wastani China inazalisha wengi zaidi ya Marekani
 
China hawana uvumbuzi wowote ila ni kunakili tu na kuiba teknolojia kwa wavumbuzi. Angalia ile ndege yao ya J-35 ni photocopy ya F-35 ya Marekani..!!
Ile kwenye 6th generation fighter naona wamejitutumua wenyewe, ila Ulaya naona wameamua kufanya partnership kuunda.

T14 Armata

Hiyo ilikuwa zamani

Siku hizi watoto wa kizungu wanasoma muziki kuliko hesabu wjat do you expect?

John Adams, the 2nd President of the United States, once said
"I must study politics and war that my sons may have liberty to study mathematics and philosophy. My sons ought to study mathematics and philosophy, geography, natural history, naval architecture, navigation, commerce and agriculture in order to give their children a right to study painting, poetry, music, architecture, statuary, tapestry, and porcelain."

Ndo maana nasema walipo wachina sasa West ilikua huko 60yrs ago.
 
Mbona Marekani yuko mweyewe kwa nini isiwe China?

Na sio China anajitutumua bali anaweza kuisimamia hiyo project akiwa peke yake
 
China hana mshirika wa kuaminika anayeweza kuwa nae kwenye partnership ya aina hiyo tofauti na Marekani.
 
Hata ukizingatia wastani wa engineers na population za mataifa yote 2 bado kwa wastani China inazalisha wengi zaidi ya Marekani

Kazi sio engineering tu. West ishapita huko, wanasoma engineering na mambo mengine ambayo China watakuja kuanza kufanya miaka 50 ijayo wakati West itakua mbele zaidi.

China ikijipata nayo ita delegate kazi nyingi kwa nchi zinazojitafuta. Wao watafanya kazi chache kwa maslahi makubwa. It's the circle of life.
 
Ndo maana nasema walipo wachina sasa West ilikua huko 60yrs ago.
CEOs wa MNCs za nchi za Magharibi kwa kauli zao wenyewe wamekiri kuwa China ilipofikia kiteknolojia ni level nyingine kiteknolojia. Kati ya wewe na hao CEOs nani tumsikilize?

Tutajie nchi za West ambazo miaka 60 iliyopita zilikuwa kama China ya leo
 
China hana mshirika wa kuaminika anayeweza kuwa nae kwenye partnership ya aina hiyo tofauti na Marekani.
Kwenye project kama hiyo inayohusu teknolojia ya kijeshi, silaha hakuna nchi kibaraka wa Marekani kutoka West anayeweza kufanya multinational cooperation na China kwa sababu ya tofauti katika sera za defense and security.

Uzuri Mchina anaweza kusimama peke yake haina shida
 
Anasimama peke yake sababu hana mshirika wa kumuamini.
 
Kazi sio engineering tu. West ishapita huko, wanasoma engineering na mambo mengine ambayo China watakuja kuanza kufanya miaka 50 ijayo wakati West itakua mbele zaidi.
Mambo gani hayo ambayo kwa sasa West wanafanya China itakuja kufanya miaka 50 ijayo?

Unazungumzia Marekani hii ambayo wana mradi wa ujenzi wa high speed railways California, kutoka L.A mpaka San Francisco tangu mwaka 2015, mpaka leo zimejengwa km 190 tu!

  • Wakati China tangu 2015 imeshajenga km 27,000 za high speed railways

Marekani hii ambayo tangu daraja la Francis Scott Key ligongwe na meli ya mizigo bado halijatengenezwa jipya.
  • Wakajifunze China jinsi ya kutengeneza madaraja bora, kwa haraka at a cheaper cost.
  • Na kama haitoshi meli iliyogonga daraja ilipelekwa China kwa matengenezo, inashangaza kuwa Marekani haina hata shipyard ya kufanya marekebisho ya meli kubwa kama ile

Marekani hii ambayo Metro zake za majiji makubwa (1st tier cities) kama NYC ni chafu, zimechakaa na baadhi zinanuka
  • Ukilinganisha na za miji ya kawaida ya China ambayo ni 3rd au 2nd tier cities zinaonekana ni takataka

"China's progress in advanced infrastructure is more than 100 times faster than the U.S."
–Elon Musk

Nyie endeleeni kubisha ila wenzenu walishakiri kitambo sana China is miles ahead of West katika nyanja tofauti tofauti.

Marekani wana speed ya trekta ukilinganisha na China
 
Hata ukizingatia wastani wa engineers na population za mataifa yote 2 bado kwa wastani China inazalisha wengi zaidi ya Marekani
Wanazalisha kulingana nademand yao china inaendelea kujengwa napia wanamiradi mingi huku kwetu kwenye dunia yatatu kwaio uhitaji nimkubwa, tofaut namarekan wenzetu wanazalisha wasomi kulingana nademand sio huku kwetu unazalisha walim halaf huna kaz nao
 
Kasome message #90 halafu uone kama Marekani hawana uhitaji

Nitakupa mifano michache kuonyeshaa Marekani wana uhaba wa skilled personnel kwenye engineering

  • TSMC kampuni ya kutengeneza chip ya Taiwan wamefungua factory Marekani wamekutana na changamoto ya kupata skilled personnel​
  • Pia kwenye ship building, engineering skills ni changamoto. Mpaka wameanza kuingia ubia na South Korea. Kampuni ya S.K wamenunua mojawapo ya ship building yard Marekani
    Marekani imeanza hadi kufungua military repair facilities S.K na Japan lengo ni kuongeza maritime capabilities ya jeshi a navy la Marekani​

"We lack a workforce skilled in critical areas, from shipbuilders to nuclear scientists.
Supply-chain deficiencies have placed great stress on delivery schedules of new weapons.”
China are peer competitors, who have even surpassed the US in many ways.
Nuclear power is no longer the silver bullet for the American empire."

–The Commission on the Strategic Posture of the United States
Wanafunzi wengi wa Marekani wanakimbia field ya engineering wanasomea humanities na commerce.

Ukienda pale kwa Elon Musk programmers wake wengi ni Wachina na Wahindi
 
John Adams, the 2nd President of the United States, once said
"I must study politics and war that my sons may have liberty to study mathematics and philosophy. My sons ought to study mathematics and philosophy, geography, natural history, naval architecture, navigation, commerce and agriculture in order to give their children a right to study painting, poetry, music, architecture, statuary, tapestry, and porcelain."

Ndo maana nasema walipo wachina sasa West ilikua huko 60yrs ago.
Ila wee jamaa bwana unachekesha hasa mstari wako wa mwisho umejaa ujinga
 
Kazi sio engineering tu. West ishapita huko, wanasoma engineering na mambo mengine ambayo China watakuja kuanza kufanya miaka 50 ijayo wakati West itakua mbele zaidi.

China ikijipata nayo ita delegate kazi nyingi kwa nchi zinazojitafuta. Wao watafanya kazi chache kwa maslahi makubwa. It's the circle of life.
Unaifahamu historia ya China kwa udogo tu achana hata na hii inayo wahusu wakomunisti
 
Ila wee jamaa bwana unachekesha hasa mstari wako wa mwisho umejaa ujinga
Mtu kama huyo ni kumpuuza maana hayupo tayari kujifunza ila kuitetea marekani...ukitaka umfurahishe mwambie yametoka mafuta mapya kwaajili ya kusodomoana
 
Kasome message #90 halafu uone kama Marekani hawana uhitaji

Nitakupa mifano michache kuonyeshaa Marekani wana uhaba wa skilled personnel kwenye engineering

  • TSMC kampuni ya kutengeneza chip ya Taiwan wamefungua factory Marekani wamekutana na changamoto ya kupata skilled personnel​
  • Pia kwenye ship building, engineering skills ni changamoto. Mpaka wameanza kuingia ubia na South Korea. Kampuni ya S.K wamenunua mojawapo ya ship building yard Marekani
    Marekani imeanza hadi kufungua military repair facilities S.K na Japan lengo ni kuongeza maritime capabilities ya jeshi a navy la Marekani​

"We lack a workforce skilled in critical areas, from shipbuilders to nuclear scientists.
Supply-chain deficiencies have placed great stress on delivery schedules of new weapons.”
China are peer competitors, who have even surpassed the US in many ways.
Nuclear power is no longer the silver bullet for the American empire."

–The Commission on the Strategic Posture of the United States
Wanafunzi wengi wa Marekani wanakimbia field ya engineering wanasomea humanities na commerce.

Ukienda pale kwa Elon Musk programmers wake wengi ni Wachina na Wahindi
Nchi ikishajaza watu weusi akili zinapungua halafu walichobugi nikulipa mahela mengi kwenye mambo yahovyo kwaio mwanafunz hasumbuki tena kusoma makoz magum wakat hata akifanya ususi mapesa kibao
 
Back
Top Bottom